Mwili kuchoka
Maumivu ya mwili mzima na viungo
Kichwa kuuma & Kizunguzungu
Kukosa hamu ya kula
Kushindwa kunusa harufu
Homa
Kikohozi
Kukosa pumzi (Kupumua kwa shida)
Kifua kubana
Makohozi yenye damu au njano nzito
Kushindwa kupumua (Kukosa hewa - unawekewa oxygen)
Homa kali
Mapafu kujaa maji (Pneumonia)