Fahamu Majina ya kinyakyusa na maana zake

Kwanini mtu amwite mwanae unisamehe?
90% ya majina ya kinyakyusa yamekaa kiimani zaidi, kwahiyo jina lolote ukiambiwa maana yake husianisha na Mungu.

Hapo ina maana unisamehe Mungu. Anyways Mwachiluwi hapo bado kuna Umboke, Lusajo, Amanyisye, Tukupilika, Tukusuma, Ulimboka, Alinanuswe, Gwamahala, Nelusigwe

Jina pekee la kinyakyusa kituko nililowahi sikia ni matanga pasi
 
Kweli kabisaa
 
Kwenye hiyo orodha kuna jina la mama yangu N***....e
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…