Fahamu makundi ya generations kulingana na miaka watu waliyozaliwa. Je, upo kwenye kizazi gani?

Fahamu makundi ya generations kulingana na miaka watu waliyozaliwa. Je, upo kwenye kizazi gani?

Banco

Member
Joined
Nov 23, 2023
Posts
29
Reaction score
100
Habari zenu wanajukwaa..

Haya ndio makundi ya generations, namna yalivyokuwa grouped katika miaka watu waliyozaliwa, kuanzia mwaka 1901..

Kitu nilichonote ni kwamba wamegroup katika interval ya miaka 16 kwenye kila kizazi..

Kuna sources kadhaa zinazoelezea hivi vizazi, na nyingine zinatofautiana miaka, lakini sources nyingi zimevigroup hivi vizazi kama ifuatavyo..

Lost Generation: 1901 - 1916
Greatest Generation: 1917 - 1932
Silent Generation: 1933 - 1948
Baby Boomers: 1949 - 1964
Generation X: 1965 - 1980
Generation Y (Millennials): 1981 - 1996
Generation Z: 1997 - 2012
Generation Alpha: 2013 - 2028

Je, wewe ni kizazi gani?
 
Khee hebu ngoja kwanza hivi kumbe Gen Z inaanzia 1997, kwahiyo na sisi wa late 90s wameamua kutuweka kundi moja na vitoto vya 2000s, yani siku zote nilikuwa najua mimi ni Millennial nikidhani Gen Z inaanzia mwaka 2000 🙄🙄
 
Hatuwezi kaa kundi moja na watoto wa 2000. Irudiwe, irudiwe.
Vumilieni.😂
 
97 na 2000 sio mbali.
Umezaliwa 97 inamaana life umeanza ku experience in 2000s.

Tofauti na waliozaliwa 90,91,92
 
Khee hebu ngoja kwanza hivi kumbe Gen Z inaanzia 1997, kwahiyo na sisi wa late 90s
Sipaswi kuwa gen z mimi. Tafiti batili hii hawa wa 2000 wawekwe kundi Lao

wameamua kutuweka kundi moja na vitoto vya 2000s, yani siku zote nilikuwa najua mimi ni Millennial nikidhani Gen Z inaanzia mwaka 2000 🙄🙄
Hatuwezi kaa kundi moja na watoto wa 2000. Irudiwe, irudiwe.
Nilidhani nyie ni gen Y kumbe Z
Kesho muanze kuniamkia🤸
 
Back
Top Bottom