Fahamu makundi ya generations kulingana na miaka watu waliyozaliwa. Je, upo kwenye kizazi gani?

Fahamu makundi ya generations kulingana na miaka watu waliyozaliwa. Je, upo kwenye kizazi gani?

Khee hebu ngoja kwanza hivi kumbe Gen Z inaanzia 1997, kwahiyo na sisi wa late 90s wameamua kutuweka kundi moja na vitoto vya 2000s, yani siku zote nilikuwa najua mimi ni Millennial nikidhani Gen Z inaanzia mwaka 2000 [emoji849][emoji849]
Ulivyo kabishi kakae na vitoto vya 2000 huko ndio wenzako, sisi Millennials huwa tunajenga hoja kwa uhalali sio kushinda ubishi.
 
Khee hebu ngoja kwanza hivi kumbe Gen Z inaanzia 1997, kwahiyo na sisi wa late 90s wameamua kutuweka kundi moja na vitoto vya 2000s, yani siku zote nilikuwa najua mimi ni Millennial nikidhani Gen Z inaanzia mwaka 2000 🙄🙄

vitoto vya 2000s☺️☺️
 
Ulivyo kabishi kakae na vitoto vya 2000 huko ndio wenzako, sisi Millennials huwa tunajenga hoja kwa uhalali sio kushinda ubishi.
Huwa sijadili hoja kwa kutafuta ushindi labda kama wewe ndio malengo yako ndio maana umewaza hivyo, mimi huwa nabisha ili nipate majibu ya uhakika na kueleweka kwa kuzingatia uhalisia na siyo kutaka nikubali tu mawazo ya watu, wewe ungekuwa siyo mbishi basi usingekuwa unaendeleza mjadala ila cha ajabu unajiona siyo mbishi
 
Dooh sasa kati ya mi na wewe nani anatakiwa amuamkie mwenzie, ndio maana tunakataa kuwekwa kundi moja na nyie vitoto vya 2000 maana hamna adabu, kama hapo tayari mmeshaanza kutuona watoto wenzenu 🤣🤣
Watoto mnakataana
 
Back
Top Bottom