Dooh sasa kati ya mi na wewe nani anatakiwa amuamkie mwenzie, ndio maana tunakataa kuwekwa kundi moja na nyie vitoto vya 2000 maana hamna adabu, kama hapo tayari mmeshaanza kutuona watoto wenzenu 🤣🤣Nilidhani nyie ni gen Y kumbe Z
Kesho muanze kuniamkia🤸
Dogo dharau umeanza lini?Nilidhani nyie ni gen Y kumbe Z
Kesho muanze kuniamkia🤸
Ulivyo kabishi kakae na vitoto vya 2000 huko ndio wenzako, sisi Millennials huwa tunajenga hoja kwa uhalali sio kushinda ubishi.Khee hebu ngoja kwanza hivi kumbe Gen Z inaanzia 1997, kwahiyo na sisi wa late 90s wameamua kutuweka kundi moja na vitoto vya 2000s, yani siku zote nilikuwa najua mimi ni Millennial nikidhani Gen Z inaanzia mwaka 2000 [emoji849][emoji849]
Khee hebu ngoja kwanza hivi kumbe Gen Z inaanzia 1997, kwahiyo na sisi wa late 90s wameamua kutuweka kundi moja na vitoto vya 2000s, yani siku zote nilikuwa najua mimi ni Millennial nikidhani Gen Z inaanzia mwaka 2000 🙄🙄
Huwa sijadili hoja kwa kutafuta ushindi labda kama wewe ndio malengo yako ndio maana umewaza hivyo, mimi huwa nabisha ili nipate majibu ya uhakika na kueleweka kwa kuzingatia uhalisia na siyo kutaka nikubali tu mawazo ya watu, wewe ungekuwa siyo mbishi basi usingekuwa unaendeleza mjadala ila cha ajabu unajiona siyo mbishiUlivyo kabishi kakae na vitoto vya 2000 huko ndio wenzako, sisi Millennials huwa tunajenga hoja kwa uhalali sio kushinda ubishi.
Nimechekajee lo hahaha Umetishaaaaaa!
Siwezi amkia gen alpha🤐Nilidhani nyie ni gen Y kumbe Z
Kesho muanze kuniamkia🤸
Mimi ni lost Generation... HahahaNimechekajee lo hahaha Umetishaaaaaa!
Watch your mouth nisije kukupa laana🤸Siwezi amkia gen alpha🤐
😂😂😂Basi unajiona kakubwaaaa😎Watch your mouth nisije kukupa laana🤸
😂😂😂Basi unajiona kakubwaaaa😎
Watoto mnakataanaDooh sasa kati ya mi na wewe nani anatakiwa amuamkie mwenzie, ndio maana tunakataa kuwekwa kundi moja na nyie vitoto vya 2000 maana hamna adabu, kama hapo tayari mmeshaanza kutuona watoto wenzenu 🤣🤣
Dah utakua mtamu Sanaa ww[emoji39][emoji39]Generation Y (Millennials): 1981 - 1996
Shangazi fulan hv wakujielewaGeneration Y (Millennials): 1981 - 1996
HahahahaDah utakua mtamu Sanaa ww[emoji39][emoji39]
Ni ushuzi tu kama ushuzi mwingine. Hakuna loloteIna manufaa gani hii?