big dreamer
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 399
- 1,076
Asalaam aleykum..
Kristu..
Bwana yesu asifiwe
Kutokana na maendeleo ya utandawazi karne hii imekuwa ni kawaida watu kutafuta wenza au marafiki kupitia hasa mitandao ya kijamii,kwa zaman kidogo miaka ya 90 na 2000 mwanzani magazeti yalikuwa yakitumika kutafuta wenza au marafiki lakini kwasasa mitandao ndio imekuwa njia rahisi kwasababu kadhaa,,,
Ni njia ambayo hata dini hazijakataza hata sheria za nchi hazijakataza ndio maana maelfuya watu wanaitumia na wengi tu wamefanikiwa kuwa pata wenzi wa
maisha
-Kilichonisukuma kuandika uzi huu nimekuwa nikiona watu wakianzisha thread zao humu kutafuta mwenza lakin kuna baadhi ya wanachama wakichangia uzi huo kwa utani au majibu ya kudhiaki lakini pia wapo wanachama waelewa wanaochukulia in positive way, tuangalie au tufahamu mambo kadhaa kuhusu 'kutafuta mwenza mtandaoni'
Kume kuwa na dhana mtu akitafuta mwenza mtandaoni basi 'anasura mbaya au shepu mbaya au masikini sana mpaka amekosa mtaani kaamua kuja mtandaoni kutafuta' KITU AMBACHO SI KWELI tuangalie sababu na faida za watu kutafuta wenza mtandaoni
WATU WENYE AIBU (domo zege) (SHY PEOPLE)
Ni dhahiri kabisa ktk jamii kuna watu wenye aibu kupitiliza ambapo hata mwanamke hata akijilengesha mazingira yote lakin jamaa bado atashindwa kumaliza kona,hvyo kwa kutumia mitandao hasa jf ambako hatujuani inakuwa rahisi kwake kufunguka na kuweza kupata mwenza anaemhitaji
WATU AMBAO WAPO BIZE SANA AU HAWACHANGAMANI SANA NA WATU KTKA SHUGHULI ZAO
Kwamfano mimi ni operator wa mgodini au nipo ofisi flan nyet serikalini ambapo nipo bize sana napata muda usiku tu wakupumzika na sikutani na watu wageni sana sasa mtandao inakuwa njia rahisi kutafuta mwenza
UNAWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI AMBAO NAO WANAUHIJITAJI
Mfano jamii forums kila siku inafikia na milioni ya watu wanachama (members) na wasio members hivyo unapata wide chance of choice tofauti na kutafuta mtaani ambapo kuwafikia watu milioni unaweza ukaanzia chanika mpaka kariakoo kutafuta mwenza tena kwa miguu na bado usiwafikie hao 1m na ikibid utembee na bango la kutafuta mwenza kitu ambacho ni kigumu
NI RAHISI KUKUTANA NA AINA YA UNAEMHITAJI MWENYE VIGEZO VYAKO VYA MSINGI VYA AWALI
Mtu anasema natafuta mke au mume awe mrefu, mweusi,awe dini flani na kabila flani inakuwa ni rahisi kwake kumpata mwenye vigezo hvyo vya awali maana ninaamini hautaishia hapo kumchunguza tofauti na mtaani utakutana nae huyu amekidh vigezo vya muonekano lakin sio dini au kabila unalolitaka ww hvyo kwa mtu selective ina msaidia
MLIPUKO WA CORONA COVID 19
ingawa hata tanzania hatukuwa na lockdown lakin wizara usika ilikuwa na inasisitiza tusitembee ovyo kama hauna safari za lazima hivyo inakuwa ni ngumu kama unafuata sharti hlo na jirani zetu kenya na wengne wao walikuwa katka l.d hvyo online dating inakuwa msaada wao
HOFU YA JAMII INAYOMZUNGUKA
Hapa ipo ktk nyanja mbili
(a) Mabinti wengi warembo na kazi/biashara nzuri na usafiri wake mzuri,wanaume wengi huwaogopa kuwatongoza mabinti wa aina hii hvyo mabint hao ujikuta wanawigo mdogo wa kuchagua mume hvyo mtandao inakuwa msaada wake kwa namna flani
(b) Unakuta mwanamama mtu mzma kidogo kama 35 au 40yrs nakuendelea jamii inayomzunguka inamheshimu sana mfano yupo kwenye ndoa baadae mume wake amefariki so anapata wakati mgumu wa kutafuta mwenza coz hawez kwenda sehem mfano bar au sehem nyngne ambapo alikuwa haend na mumewe wanawe na jamii yake itamshangaa hivyo mtandaoni inakuwa ni msaada kwake
ZIFUATAZO NI HASARA ZA ONLINE DATING (kutafuta mwenza mtandaoni)
Kila chenye faida hakikosi hasara lakin hizi HASARA ZINAWEZA EPUKWA UKIWA MAKINI TU
INAWEZA KUWA HATARI
a) Kuna wenye nia mbaya na majambazi pia mtandaoni ambao pia wapo ktk kusaka fursa mbalimbali hvyo akiona tangazo lako basi ata scam au kujifanya anasifa unazotaka mtatafutana pm au inbobo then mkapeama apointment ya kukutana (mara nyingi wanapenda sehem za vificho hata lodge au geust house then ukifika huko unaweza akaja na wenzie wanakufanya wanachota hata kukutoa figo wakauze
B) Jambazi ke au me haijalishi jinsia pia anaweza anzisha thread yake ya kutafuta mpenzi alafu akakushawish mkutane sehem fulani na wakakufanyia wanachokiitaji pia
C) FUMANIZI
Kuna wapenzi au mke na mume wanaakili za ovyo wanaweza amka asubuhi hawana hela mume akamwambia mke ebu 'post tangazo la kutafuta mchumba mtandaoni' tutafute hela ya sikukuu then mke anapost njemba unaikubali pisi kali hiyo ,anajifanya anahamu na wewe then mwanaume unaingizwa kingi,mnakutana lodge mara pruu paah wajuba wa maana wanatokea mmoja anakuambia huyu mke wangu na cheti hiki hapa, mzee unachezea kipgo na wanataka hela milioni 2 kama hautaki tunaita waandishi wa habari wakurekodi. mzee inabidi upge cm au uende atm uwape ili uepeke fedhea na aibu ktk familia,kazin na mtaani kwako
d)KUTUMA HELA AU NAULI
kuna baadhi ya watu ni scammer hvyo akishaona umemuelewa ataomba mkutane then atakuomba hela ya nauli then ukishatuma tu unakuta unampgia kumuhuliza vipi umeipata ?unakuta dume mwenzio anapokea anakuambia 'asante bro tumeipata ' hapo ndio hautayaamini masikio yako (lakini kuna watu ambao wapo serious ukiwatumia wanakuja sio wote wanaingia mitini hii naushaidi nalo kwa watu kadhaa)
Note: Hizo hasara tajwa hapo juu inaweza tokea hata mtu unaekutana nae mtaani sio lazma mtandaoni tu
SOLUTION YA KUTATUA CHANGAMOTO TAJWA HAPO JUU
1) Usiwe na haraka sana yakukutana nae kabla ya kujiridhisha je ni kweli yupo single au kwel anahuitaji wa mpenzi?
hii kusaidia kumjua kidogo ktk hatua za awali kwa mfano unachati nae then anakuambia mimi huwa na wahi kulala sana ikifika saa mbili tu nakuwa nishalala hapo inabidi uweke kiulizo,yan hakuna siku ambayo anaweza chelewa kidogo?
2)kwa mara ya kwanza msikutane sehem za vificho au lodge na isiwe usiku
hii itakusaidia kama anania mbaya mara nyingi hawawez kufanya sehem ya watu wengi na mchana
2)USIWE NA PUPA AU HARAKA
hii itakusaidia kumjua mtu vzuri atakama ni scammer ataigiz badae ataacha tu
3)MTEMBELEANE ma KAZINI KWANZA (kabla ya nyumban)
mtu kakuambia anabiashara fulani au kazi flan kama mpo karibu si kosa kutembeleana makazin tena sio mara moja tu ilikujiridhisha na kwel huyo mtu anafanya shughuli halali
4)Usimtumie hela au nauli kabla haujajiridhisha kuwa anania kweli
5) Kama kweli mnania basi kupima afya na vingne kabla ya kukutana kimwili
6) Usiziamini sana picha zake alizokutumia ukadhani ndivyo 100% alivyo,siku hz photo edits ni nyng mno hvyo usiziamin sana picha zake mpaka mkutane,kuna jamaa alishawahii kumkimbia mwanamke stendi
7) Ujiongeze mwenye maana wewe ni mtu mzima sio mtoto hatukufundishi kila kitu,najua kila mmoja wetu hapa ana misimamo yake ili ajiridhishe kama mtu huyo ni sahihi
Otherwise mitandao ni pakukutania tu kama mtu unakutananae mtaani mkabadilishana namba mambo mengne yakafuata
Nb: Moderators wanaweza wakau'pin' huu uzi kama wataona utawasaidia wengi
xxxxxxxASANTENI WAUNGWANAxxxxxxx