Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikufanikiwa.Mtoa mada njoo utupe mrejesho.. vipi ulifanikiwa kuanza? unaionaje biashara?
😂😂😂 Ww jamaa bhana 😂😂😂Sikufanikiwa.
Wakati najiandaa kuanza ndio nataka kulipia Frame nikapata barua ya uhamisho. Sasa nabuni biashara nyingine kutokana na eneo ambalo nipo.
Asante hii nami ntafanyia kazMkuu mimi Niko kwenye hiyo field naweza kukushauri. Kwa capital hiyo Naona its possible na ukapata faida sana. Biashara ya vifaa Vya umeme inakua nzuri sana Kama una mtaji wa kutosha Hasa Kwa mtu ambae uko nje ya Kariakoo, Naona kabisa unaenda kumake profit nzuri Kwa sababu una connection na wadau wa umeme.
Ukiwa na mtaji unakua na mzigo wa kutosha na unanunua bei ya jumla zaidi na unaweza kuvutia wateja Kwa kupunguza bei zaidi ya wengine.
Kama ikikupendeza pia changanya na vitu Vya bomba, Liwe duka la umeme na bomba. Kuna hela sana humo.
Otherwise all the best champ
Ufanyie kazi mkuuAsante hii nami ntafanyia kaz
habari mkuu nlikua naomba unisaidie machimbo, hayo ya jumla asante, kesho kutwa nataka kwenda dar kwa ajili ya kuchukua mzigo.Pia ukihitaji machimbo ya jumla kariakoo naweza kukusaidia.
Natumai hu mzima, vp ulifanikisha mpango wako wa kuagiza speakr, wire na motherboard kutoka China, ili uweze kuunda device mwenyew?Habari wana JF na wasakatonge Wenzangu nimepata wazo la biashara ambayo itapelekea kuweza kuanzisha Kikundi cha vijana hasa wenye ujuzi na electronics na wale wa plastics,
wazo langu limetokana na kuona vifaa vingi vya electronics kutoka china vikiuzwa kwa bei ya chini uko china na vinpoletwa huku africa huwa bei ghali kidogo hususani vifaa vya Muziki.
China kuna makampuni mengi hasa ya PCB yanayotengeneza motherboard za electonics na kuziuza .nimejaribu kubomoa baadhi ya vifaa kama redio ,charge ,mp3 player ,na kukuta Motherboard za vifaa hivyo zimeudwa namakampuni tofauti , kampuni iliyoweka jina imekiunganisha tu.
Nilihitaji hasa kununua china motherboard , speaker, wire, lcd nakisha mimi kudesign shape ya nje, kupiga rangi , na label na kushawishi mafundi redio walio mitaani kuja kuunganisha vifaa hivyo na kupata kifaa kamili.
Habari wana JF na wasakatonge Wenzangu nimepata wazo la biashara ambayo itapelekea kuweza kuanzisha Kikundi cha vijana hasa wenye ujuzi na electronics na wale wa plastics,

Tunaweza kumake deal broohHabari wana JF na wasakatonge Wenzangu nimepata wazo la biashara ambayo itapelekea kuweza kuanzisha Kikundi cha vijana hasa wenye ujuzi na electronics na wale wa plastics,
wazo langu limetokana na kuona vifaa vingi vya electronics kutoka china vikiuzwa kwa bei ya chini uko china na vinpoletwa huku africa huwa bei ghali kidogo hususani vifaa vya Muziki.
China kuna makampuni mengi hasa ya PCB yanayotengeneza motherboard za electonics na kuziuza .nimejaribu kubomoa baadhi ya vifaa kama redio ,charge ,mp3 player ,na kukuta Motherboard za vifaa hivyo zimeudwa namakampuni tofauti , kampuni iliyoweka jina imekiunganisha tu.
Nilihitaji hasa kununua china motherboard , speaker, wire, lcd nakisha mimi kudesign shape ya nje, kupiga rangi , na label na kushawishi mafundi redio walio mitaani kuja kuunganisha vifaa hivyo na kupata kifaa kamili.
Habari wana JF na wasakatonge Wenzangu nimepata wazo la biashara ambayo itapelekea kuweza kuanzisha Kikundi cha vijana hasa wenye ujuzi na electronics na wale wa plastics,
wazo langu limetokana na kuona vifaa vingi vya electronics kutoka china vikiuzwa kwa bei ya chini uko china na vinpoletwa huku africa huwa bei ghali kidogo hususani vifaa vya Muziki.
China kuna makampuni mengi hasa ya PCB yanayotengeneza motherboard za electonics na kuziuza .nimejaribu kubomoa baadhi ya vifaa kama redio ,charge ,mp3 player ,na kukuta Motherboard za vifaa hivyo zimeudwa namakampuni tofauti , kampuni iliyoweka jina imekiunganisha tu.
Nilihitaji hasa kununua china motherboard , speaker, wire, lcd nakisha mimi kudesign shape ya nje, kupiga rangi , na label na kushawishi mafundi redio walio mitaani kuja kuunganisha vifaa hivyo na kupata kifaa kamili.
SanaItakuwa poa mkuu
Mkuu chimbo la vifaa vya umeme msaada inbox plsPia ukihitaji machimbo ya jumla kariakoo naweza kukusaidia.
Habari Wapambanaji.
Nina wazo la kuanzisha duka la vifaa vya umeme wa majumbani na baadhi ya vifaa vya viwandani.
Vifaa vya majumbani kama vile.. Taa, switches, conduits pipes, cables, wires, earth roads, circuits breakers, junction boxes, square boxes, distribution boards nk.
Vifaa vya viwandani kama. Magnetic Contactors, timers, relays, CBs push button switches nk.
Pia katika duka hilo natarajia niwe natoa na huduma za kusuka starters kwa wale wahitaji kwakuwa nina ujuzi wa ku design circuits mbalimbali kama za DOL, YD, Jogging, Forward and reverse nk. Nimeongea na bank moja kwamba naweza kupata mkopo wa angalau 35m.
Je hiyo inatosha au naweza ku fail katika biashara hiyo. Nipo katika Wilaya moja ambayo inakuwa sana kiuchumi na kazi za viwandani ni nyingi sana.
Ushauri please.
🤣🤣🤣Sikufanikiwa.
Wakati najiandaa kuanza ndio nataka kulipia Frame nikapata barua ya uhamisho. Sasa nabuni biashara nyingine kutokana na eneo ambalo nipo.
Mjomba naomba nisaidie hayo machimbo ya vifaa vya umemePia ukihitaji machimbo ya jumla kariakoo naweza kukusaidia.
Hatari sana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa walikuwa wanakulia mingo.
ile kuanza tu wakakuhamisha
[emoji16][emoji16][emoji16]
Uzi mzuri ila details ndo hatuna.Kwamba watu uzi wangu hawauoni au!?? Vibaya hivyo