Fahamu mambo mbalimbali kuhusu biashara ya bidhaa za electronics

Mtoa mada njoo utupe mrejesho.. vipi ulifanikiwa kuanza? unaionaje biashara?
 
Sikufanikiwa.
Wakati najiandaa kuanza ndio nataka kulipia Frame nikapata barua ya uhamisho. Sasa nabuni biashara nyingine kutokana na eneo ambalo nipo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ww jamaa bhana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mm pia napenda sana kuwa na duka la vifaa vya umeme wa majumbani.
 
Asante hii nami ntafanyia kaz
 
Pia ukihitaji machimbo ya jumla kariakoo naweza kukusaidia.
habari mkuu nlikua naomba unisaidie machimbo, hayo ya jumla asante, kesho kutwa nataka kwenda dar kwa ajili ya kuchukua mzigo.
 
Natumai hu mzima, vp ulifanikisha mpango wako wa kuagiza speakr, wire na motherboard kutoka China, ili uweze kuunda device mwenyew? Tunaweza kumake deal brooh
 

Aisee kufeli au kutokufeli Kw Biashara kunamhusu mwenye Biashara, ku attempt tu kuuliza hili swali Ni Dalili kwamba utafeli.

Hii biashara Ni nzuri Sana Kama una mtaji, Ila whether Kwa utafiti, au chochote, kabla ujaanza hakikisha nafsi, Mwili Na roho yako vinaamini itafanikiwa.

Wala usifanye biashara sababu mke, Baba, Mchungaji Kasema italipa, Fanya sababu wewe unaamini itakulipa; Na sio jamii forum .
 
Sikufanikiwa.
Wakati najiandaa kuanza ndio nataka kulipia Frame nikapata barua ya uhamisho. Sasa nabuni biashara nyingine kutokana na eneo ambalo nipo.
🀣🀣🀣
Jamaa walikuwa wanakulia mingo.
ile kuanza tu wakakuhamisha
😁😁😁
 
Usichukue mkopo kwanza, naifahamy hiyo biashara kiasi kizuri. Sasa anza mdogo mdogo ulisome soko vizuri
 
Watu wa Mungu habari!
Natamani sana kuanzisha biashara ya kuuza vifaa vidogo vidogo vya umeme, mfano:
-switches
-bulbs
-extension cables
-holders
-n.k

Naomba kufaham, nahitaji mtaji kiasi gani kwa kuanzia.. nakusudia iwe biashara ya kuanzia chini kabisa, hivyo msaada wa kujua minimum capital.

Lakini pia naomba kupata ushauri wa jumla na changamoto zake, ikiwemo upatikanaji wa vifaa, maduka ya kununulia n.k

Ahsanteni sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…