Fahamu matokeo ya meditation

Hivi kwa nini meditation inakuwa link sana na dini za buddhism na hinduism na sio sana kwa Abrahamic religions
 

Asante.
 

Duh noma sana.
 
Paka ni mnyama wa kwanza anaependwa na binadamu, paka ukimpa chakula hushukuru kwa kusimamisha wima mkia wake akiuchezesha, paka hutoa sauti nane tofauti, sauti ya njaa, sauti ya hasira, sauti ya kuumwa, sauti ya kutaka kushiriki tendo, sauti ya kuona hatari, sauti ya mama akiita watoto, sauti ya baba akiita mke wake. Paka anauwezo wa kutambua mchawi akimuona humkwaruza mguu wake, paka anauwezo wa kumtibu mtu kama uchawi kawekewa ana uwezo wa kuondoa jini katika nyumba yaani negative energy au nishati chafu akishindwa kabisa huondoka kwenye hiyo nyumba. Kwa jamii za afrika Paka weusi huonekana kama wenye nguvu za giza ila ukweli ni kua paka weusi wana nguvu kubwa kiroho na sio wabaya kama wengi wanavyozani. 🐈
 
Mafuta ya upako ni mafuta kama mafuta ya mnyama ngekewa ukiyapata haya utakua ni mtu wa kupendwa na kila mtu, mafuta ya tembo, mafuta ya paka ukiyapata haya hutosogelewa na wabaya, mafuta ya kuku weusi, kinyonga, bundi na fisi, mafuta haya ukiyapata na kuyatumia kwa usahihi utakua mtu sio wa kawaida ndio ile watu husema ana maajabu, halogeki, mafuta ya upako yako ya aina nyingi sio tu mzeituni/olive..
 
TAMBUWA KUWA UNIVERSAL ♾️ INAZINGUMZA NA WEWE KILA MARA
KILA WAKATI

UNIVERSAL INAZINGUMZA NA VIUMBE VYAKE KWA KUTUMIA ISHARA MBALI MBALI..

LEO TUANGAZIE ZAIDI KATIKA ISHARA AMBAZO ANAZIPATA MTU KUPITIA NDOTO

NDOTO YA LEO NI NDOTO YA SAMAKI.

KUOTA SAMAKI KATIKA NDOTO INATABIRI RIZIKI YAANI MALI.

IKIWA UMEONA SAMAKI KWENYE NDOTO HAPO UNAONA UTAJIRI.

IKIWA UTAKAMATA SAMAKI NDOTONI BASI TAYARI UMESHAPATA PESA ..

YAANI JAMBO LINAUMBWA KWANZA HUKO KWENYE ULIMWENGU WA ROHO NA HATIMAYE LINADHIHIRIKIA HUKU KWENYE MWILI

Maana halisi ya ndoto hii kuota SAMAKI nimekuwekea kwenye group letu pendwa la MAARIFA NI TIBA...huko utajifunza mengi yaliyosirini na unaruhusiwa kuuliza kitu Chochote.🙏 Join nasi tujifunze pamoja Sasa ni saa ya kuinuka kwa waafrica baada ya kudanganywa kwa mda mrefu nasasa tupo AQUARIUS ♒ ♒ 🏺 AGE

HII NI DHAMA YA KIMUNGU UTAWALA MPYA WA KUJITAMBUWA NA KUJUWA UKWELI UATA KAMA ULIFICHWA KIASI GANI.. ..HII SIO DHAMA YA KUAMINISHWA TENA NI DHAMA YA KUJUWA MWENYEWE

Sio mtu tu from no where anakwambia ukifka utakaa mbinguni nawew unaamini nakudhamia humo kwenye ujinga badala umuulize vizuri pakoje na yeye kashawahi kupaona?? Na je yeye kwanini hajaenda kukaa huko Kama kunaraha.??

Karibu kwenye ulimwengu wa (WAFALME)
 
Noma sana!
Sawa sawa
 
MWANZO MPAKA UFUNUO NI SISI
Sehemu ya kwanza (1)

Imeandaliwa na kuandikwa na Dokta Dogoli kinyamkela

Katika utangulizi tuliona maana ya baadhi ya maandiko Kama mashariki, maji, Eden , Adam nk.

Sasa tuendelee na SoMo letu.

Tuliona pia kuhusu pande mbili kulia na kushoto Sasa hapa tutaanza kuliweka sawa hili.

Upande wa kulia/kiume Ni Ni upande ambao unahusika na Mambo yote ya kiroho.

Na upande wa kushoto Ni upande ambao unahusika na Mambo yote ya kifizikia/kimwili/kibinadamu ( material things).

Kristo ameketi mkono wa kuume, hii inamaana yeye anahusika na mambo ya kiroho Ila Kuna mpinga kristo, chapa ya mnyama 666, haya Ni Mambo yote ya kimwili/kibinadamu au kifizikia, hili tutaelewana zaidi huko mbele katika andiko la chapa ya mnyama.

Mungu alimuumba mtu kwa mfano wake,kwa mfano wa Mungu alimuumba mwanamme na mwanamke.

Mbeleni Tena kwenye mwanzo 3:22 unasema kwamba " Bwana Mungu akasema Sasa huyu mtu amekuwa Kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya, na Sasa asije akanyoosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima, akala akaishi milele".

Katika biblia ya kale Mungu alikuwa anaitwa Elohim, naa inasadikika kwamba Hilo ndiyo lilikuwa jina la kwanza la Mungu.

Elohim Ni neno ambalo liko kwenye uwingi, ambalo Lina kanuni au principal ya kiume na kike, Ile nishati au nguvu ambayo huwa inanyanyuka pale chini kwenye uti wa mgongo (base of the spine) Ni nguvu au nishati ya kike, ambayo katika dini haizungumzii Ila inazungumzwa hii nguvu ya kiume au nishati ya kiume tu.

Maandiko ya kwanza kabisa yalikuwa yanamzungumzia Mungu akiwa na hizo principal au kanuni zote mbili ndani yake.

Lakini dini nyingi zikaitoa hii nguvu ya kike maana hawataki ijulikane Kama nguvu ya kike nayo inahusika au Ni sehemu pia ya MUumbaji mtakatifu.

Ukiangalia katika mwanzo 2:21 unatuambia kwamba " Bwana Mungu akamletea Adam usingizi mzito naye akalala, Kisha akatwaa ubavu wake mmoja akafunika nyama mahala pake."

Hivyo Basi mwanzo inatuambia kwamba maisha yote yametokea baada ya kuikata kata hii Atom, Kama ukiiondoa electron kutoka kwenye Atom Basi huwa inaizidisha Ile nishati au nguvu ya Atom, hivyo Basi kila unapoigawanya atom Basi ndiyo unazidi kuizidisha nguvu yake.

Hivyo Basi Adam na Eva inawakilisha kuigawanya atom ili tuzidi kuuzaalisha ukuaji wa kifizikia.

Katika mwanzo 3:1 inatuambia kwamba " Basi nyoka alikuwa mwelevu kuliko wanyama wote aliowafuga bwana Mungu, Akamwambia mwanamke ,atiii hivi ndiyo alivyowaambia Mungu msile matunda yote ya bustani.

Mwelevu Ni mjuaji hivyo nyoka hapa anawakilisha vipengele vyote vya kifizikia/kimwili/kibinadamu.

Hivyo Basi Eva Ni mfano wa akili/nafsi (mind) katika dhana ya kifizikia ya Adam, Eva (akili/mind) inashawishiwa au inaingizwa majaribuni na Mambo ya kifizikia nyoka (serpent).

Hivyo Basi huwa tunaingizwa majaribuni kupitia mawazo yetu ambayo muda mwingi huwa katika Mambo ya kifizikia zaidi.

Nyoka anatushawishi kula tunda lililokatazwa kutoka kwenye mti wa ujuzi wa mema na mabaya, hapo mema na mabaya Sasa yanachanganywa na kuingiliana, hapo mchanganyo ndipo unapoanzia Sasa, tunajipoteza na kulisahau lile jukumu letu katika haya maisha.

Basi matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya msile na siku mtakayokula matakufa hakika.

Hii Ni pale tunapokuwa kwenye meditation, au ule uzingativu wa Hali ya juu na yuleee Mungu aliye ndani yetu, hapa inatakiwa tuufunge upande wa kushoto wa ubongo wetu/ mawazo.

Hakika mtakufa, hapa hakizungumziwi kifo Cha kifizikia, Ila tunapozongwa na huu upande wa kushoto wa ubongo wetu, au tunapozongwa na kuwa zaidi katika huu upande wa mawazo ya kifizikia Basi tunakuwa tumejiachanisha na upande wa kiroho ambao upande wa kulia.

Ni Nani amewaambia kwamba mko uchi, je mmekula lile tunda la ule mti nilioeaambia msile?.

Mungu hapa anatukumbusha kwamba Wala hajasema kwamba Kuna chochote kibaya juu yetu au juu yako, na je Ni Nani aliekwambia kwamba una makosa na haujafanya kilicho sahihi!!.

Hiki ndicho kinachotokea Sasa ukiwa kwenye nafsi ya chini ( lower self), ambayo inaingozwa na dini, Katiba, makanisa, misikiti, Pamoja na mashirika mengi ya kijamii ambayo yenyewe yapo kwa ajili ya kukutia hofu.na kufanya Uzidi kujiona wewe Ni wa chini tu.

DHAMBI YA ASILI
DHAMBI hii ya asili Wala sivyi Kama wengi ambavyo tunakichukulia, Wala haiusiani na masuala ya kula wa Nini, na Wala haiondoki kwa Njia ya kumwagiwa maji Kama baadhi ya dini zinavyifanya, Ila Ni kitendo Cha kujisahau sisi wa kweli kwamba sisi si hii haali ya kifizikia tuliyo nayo.

Neno DHAMBI (Sin) Ni jina la Mungu mwezi, Abraham aliishi hapa na akaambiwa aondoke kwenye huu mji, yaani aondoke katika maisha ya emotion(hisia) Kwa sababu kuishi kihisia Basi unakuwa unaishi dhambini. kumbuka matukio yetu mengi ya kihisia yanadhibitiwa au kuratibiwa na mwezi.

Ulikuwa nami mwalimu wako Dogoli kinyamkela
Itaendelea.
 
MEDITATION 🧘
🗣️Watu mbalimbali wamekuwa wakianza kupata ufahamu juu ya meditation na wengine tayari wameshaanza kujifunza kufanya kitendo kicho.

🧘🏾‍♀️Meditation ni kitedo cha muhimu kwani kina faida kubwa na wengi waliojitolea muda wao kujifunza meditation (mfano mimi), wamenufaika na meditation.

🗣️ Mwalimu wako Dogoli kinyamkela Nimeona nielezee katika Uzi huu na ninaamini itawasaidia wengi wambao wangependa kujua.

***

✍️Kwanza kabisa, kabla ya kufanya meditation ni kufahamu lengo la meditation ni nini, ni muhimu ukufahamu akili ni nini, inafanyaje kazi, energy zinazomzunguka mtu, utambue vyema baadhi ya maelezo ambayo yatasaidia mtu kujua uelewa kidogo kuhusu meditation.

👊Kutambua hivyo itakusaidia kufahamu jinsi meditation inavyofanya kazi katika ufahamu.

👉Tukianza na sababu ya meditationa ni kuweza kufahamu akili yako inavyofanya kazi, kujiepusha na mateso/shida ndogondogo, huepusha hasira, hukupa uwezo mkubwa wa kuwa m'bunifu mfano kama wewe ni mchoraji, mwanamuziki n.k, inakusaidia kuwa na maamuzi sahihi katika maisha yako.

✍️ Na kama utaweza kuwa na maamuzi mazuri katika choices mbalimbali katika maisha itakusaidia sana kwani msingi wa maisha ni choices tunazoweka kila siku na kila saa.

🧘🏾‍♀️ Ukishaweka nia sahihi juu ya meditation kinachofuata ni kufahamu nini kinatakiwa kiwepo kabla ya kufanya meditation. Pia katika imani nyingine kama Wahindi na Wabudha, viongozi wao wa imani wanapata nguvu ya kiimani, ufahamu na wanafunuliwa jicho la tatu kupitia meditation.

🤔 Hata sayansi nayo inaamini Enlightenment inaweza kutokea katika meditation na kumfanya mtu afunguke kiimani.

🧬 Meditation inabadili mpaka DNA na kumpa mtu enlightenment (Ipo siku nitaelezea experience/hali ya enlightenment inakuwaje).

Kuandaa Sehemu ya Meditation.

🧘🏾‍♀️Andaa sehemu nzuri na maalum ambayo utakuwa unafanya meditation.

🛕Mfano inaweza ikawa chumbani unapolala, chagua sehemu au eneo ambalo utakaa chini vyema bila usumbufu, penye hewa nzuri na safi (fresh air), penye hali ya hewa cool au ya kawaida.

🗣️ Ni vyema kuchagua sehemu ambayo hauitumii kwa shughuli nyingine au mfano ukiwa haupiti sana eneo hilo au huweki vitu unavyotumia eneo hilo.

✍️ Ni kwa sababu itapunguza kuwazawaza pale utakapokuwa unataka kunyamazisha akili, inaepeusha kumbukumbu za eneo hilo kuja wakati wa meditation, pia ni vyema kwani meditation ni kama sala, ni kitendo kisafi hivyo ni vyema eneo la kufanyia sala na meditation kuwekwa katika hali nzuri.

📚Ukishachagua eneo unaweza ukaweka vitabu vyako vya imani katika eneo hilo, inategemeana na imani yako.

🥼 Halafu ukishamaliza kinachofuatia tafuta mto wa kukalia ambapo utaukalia. Tafuta mto mzuri ambao ukiukalia hautaumia (kwani utakuwa unakaa kwa muda mrefu). Halafu tafuta nguo za kuvaa ambazo hazibani na zilizo comfortable.

🧘🏾‍♀️Chagua wakati maalumu ambao utakuwa unameditate. Ni vyema kutumia dakika 20 na kuendelea katika kumeditate. Pia meditate kila unapoamka na kila kabla ya kulala.

🧘🏾‍♀️ Baadaye utakapoweza kumeditate vyema utaweza hata kumeditate kwa dakika moja katika kila lisaa.
Ukishajianda hivyo kinachofuatia ni kukaa na kumeditate.
🧘🏾‍♀️🧘🏾‍♀️🧘🏾‍♀️🧘🏾‍♀️🧘🏾‍♀️🧘🏾‍♀️🧘🏾‍♀️🧘🏾‍♀️🧘🏾‍♀️🧘🏾‍♀️🧘🏾‍♀️🧘🏾‍♀️🧘🏾‍♀️🧘🏾‍♀️🧘🏾‍♀️

👆👆 Huo hapo juu kwenye hizo emoji nilizoziweka ndiyo mkao ambao utakaokaa wakati wa kumeditate

👆Huo ni mkao mzuri katika meditation kwani una faida zifuatazo.

🧘🏾‍♀️Unakusaidia damu kuzunguka maeneo ya juu ambapo ndipo sehemu zenye umuhimu katika meditation, zinasababisha energy kutoka kwenye dunia kupitia kwenye uti wa mgongo na kukupa utulivu wakati wa meditation, pose linasaidia chakula kumeng'enywa vyema kutokana na damu kuwepo katika utumbo mdogo vyema.

🗣️Ni mkao mgumu kukaa, mwanzoni miguu huwa inakufa ganzi kutokana na kubanwa lakini amini nakwambia ukijilazimisha baada ya muda mfupi maumivu yanaisha kabisa na unaweza kukaa muda mrefu sana bila kuumia kabisa.

Kuanza meditation

✍️ Ukiwa umeshakaa, kinachofuata ni kuanza meditation. Ukishakaa, relax hakikisha kila kiuongo kimerelax, unganisha mikono yako ubebane pamoja, hisi upendo mwilini mwako, shukuru kwa afya uliyonayo, shukuru kwa jinsi mwili unavyokulindia roho yako iliyohifadhiwa na mwili, hisi furaha, peace, and love within. Halafu vuta pumzi kubwa tano. Vuta pumzi ndani taaaaratibu, halafu pause kidogo then toa pumzi njee.

✍️ TAARATIBU TENA. Wakati huo weka mawazo kwenye pumzi. Baada ya kuvuta pumzi kubwa tano endelea kuvuta pumzi kikawaida huku ukiweka akili kwenye pumzi inavyoingia na kutoka.

🧘🏾‍♀️Unaweka akili kwenye pumzi kwa lengo la kutoweka akili kwenye mawazo. Akili ya mwanadamu haiwezi kukaa bila mawazo. Unapomeditate unaweka wazo kwenye pumzi tu, unaangalia jinsi pumzi inavyoingia na kutoka na kufeel energy inayoingia na kutoka mwilini. Uwe umefunga macho.

🗣️Ni vigumu kwa mara za mwanzo kwa sababu, ni vigumu kutuliza akili katika wazo moja kwa muda mrefu ila we jitahidi kufocus kwenye pumzi tu. Baada ya muda, wakati hauwazi wala haufuati kinachokuja akilini ukiwa unaweka mawazo yako katika kutazama tu jinsi pumzi inavyoingia na kutoka mwilini utaanza kuhisi umeme unakuzunguka mwilini, au kichwa kinakuwa kizito, au umeme unapanda na kushuka kwenye uti wa mgongo na utaanza kuhisi mwili mzima umerelax, hapo utakuwa katika hisia ya meditation. Ni hisia nzuri maana zinakufanya unarelax na mwili unajitengenezea umeme wake.

Asili kweli imejaa mafumbo
by Dogoli kinyamkela

🧘🏾‍♀️🧘🏾‍♀️🧘🏾‍♀️🧘🏾‍♀️🧘🏾‍♀️🧘🏾‍♀️🧘🏾‍♀️🧘🏾‍♀️

DIBAJI
Mshana Jr
 
Noma sana!
 
Braza huu uzi mzuri sana sema natamani ungekuwa unamaliza somo moja kabla ya kuingia lingine. Mfano lile la kwanza kabisa uliloezea chakra ya koo, ulisema utaendelea lakini ukaja na somo lingine. Mie nauliza je chakra ya koo naifunguaje?
Halafu somo la pili la spiritual meditation, je nafanyaje ili nijue mimi ni nani?
Sisi wengine vichwa maji, masomo yakichanganywa changanywa hatuelewi😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…