Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 618
- 1,440
- Thread starter
- #61
Kuna watu udai uweza kuongea na jini sijui apo vipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali mkuu ndo mana masomo yte nimeyabana apa sehem Moja Ili usipitweBraza huu uzi mzuri sana sema natamani ungekuwa unamaliza somo moja kabla ya kuingia lingine. Mfano lile la kwanza kabisa uliloezea chakra ya koo, ulisema utaendelea lakini ukaja na somo lingine. Mie nauliza je chakra ya koo naifunguaje?
Halafu somo la pili la spiritual meditation, je nafanyaje ili nijue mimi ni nani?
Sisi wengine vichwa maji, masomo yakichanganywa changanywa hatuelewi😜
Hicho kibao cha kufanyia meditation kwenye profile yako kinaonyesha wewe ni mwanafunzi wa meditation ya mwanga na sauti🤣🤣Meditation bora mtu akuelekeze ufanye mwenyewe na upate experiences zako mwenyewe. Kwa kusoma kitabu am afraid unaweza kuwa unafanya Meditation huku unatafuta experiences za aliyeandika kitabu, and this won't be a Meditation at all. Kama ni breath Meditation mtu akufundisha inavyofanyika then nawe unatoka na your own experiences.
Hamna mkuu nimefurai tu niongeze siku za kuishi SI unajua maisha yenyewe haya mafupi😂😂Dogoli kinyamkela mbona unacheka mkuu?
mwenyewe natamani sana hii kitu niianze hiiNdo unatakiwa ujitafute ujijue kama wewe n nani nanulikuja apa duniani kwa mission
Nina miaka 10 sasa Niko naishi nayo.
Pia faida zipo nying kama ninazo fafanua kwenye Uzi zangu,moja wapo umenipa furaha ya moyo(amani),kuona jambo kabla halijatokea,imenipa maisha mazuri mno kutoka nilipo kua ad sasa nilipo siwe vyema kupita bhakharesa ila Nina pata ninacho kitaka sio yaan ninacho kiitaj kupata iwe kula nk bas napata kwa wakat na nafanya nacho hitaji kwa wakat nk,mkuu faida n mingi mno siwez zimaliza apa
exactlyMWANZO MPAKA UFUNUO NI SISI
Sehemu ya kwanza (1)
Imeandaliwa na kuandikwa na Dokta Dogoli kinyamkelaView attachment 3200051
Katika utangulizi tuliona maana ya baadhi ya maandiko Kama mashariki, maji, Eden , Adam nk.
Sasa tuendelee na SoMo letu.
Tuliona pia kuhusu pande mbili kulia na kushoto Sasa hapa tutaanza kuliweka sawa hili.
Upande wa kulia/kiume Ni Ni upande ambao unahusika na Mambo yote ya kiroho.
Na upande wa kushoto Ni upande ambao unahusika na Mambo yote ya kifizikia/kimwili/kibinadamu ( material things).
Kristo ameketi mkono wa kuume, hii inamaana yeye anahusika na mambo ya kiroho Ila Kuna mpinga kristo, chapa ya mnyama 666, haya Ni Mambo yote ya kimwili/kibinadamu au kifizikia, hili tutaelewana zaidi huko mbele katika andiko la chapa ya mnyama.
Mungu alimuumba mtu kwa mfano wake,kwa mfano wa Mungu alimuumba mwanamme na mwanamke.
Mbeleni Tena kwenye mwanzo 3:22 unasema kwamba " Bwana Mungu akasema Sasa huyu mtu amekuwa Kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya, na Sasa asije akanyoosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima, akala akaishi milele".
Katika biblia ya kale Mungu alikuwa anaitwa Elohim, naa inasadikika kwamba Hilo ndiyo lilikuwa jina la kwanza la Mungu.
Elohim Ni neno ambalo liko kwenye uwingi, ambalo Lina kanuni au principal ya kiume na kike, Ile nishati au nguvu ambayo huwa inanyanyuka pale chini kwenye uti wa mgongo (base of the spine) Ni nguvu au nishati ya kike, ambayo katika dini haizungumzii Ila inazungumzwa hii nguvu ya kiume au nishati ya kiume tu.
Maandiko ya kwanza kabisa yalikuwa yanamzungumzia Mungu akiwa na hizo principal au kanuni zote mbili ndani yake.
Lakini dini nyingi zikaitoa hii nguvu ya kike maana hawataki ijulikane Kama nguvu ya kike nayo inahusika au Ni sehemu pia ya MUumbaji mtakatifu.
Ukiangalia katika mwanzo 2:21 unatuambia kwamba " Bwana Mungu akamletea Adam usingizi mzito naye akalala, Kisha akatwaa ubavu wake mmoja akafunika nyama mahala pake."
Hivyo Basi mwanzo inatuambia kwamba maisha yote yametokea baada ya kuikata kata hii Atom, Kama ukiiondoa electron kutoka kwenye Atom Basi huwa inaizidisha Ile nishati au nguvu ya Atom, hivyo Basi kila unapoigawanya atom Basi ndiyo unazidi kuizidisha nguvu yake.
Hivyo Basi Adam na Eva inawakilisha kuigawanya atom ili tuzidi kuuzaalisha ukuaji wa kifizikia.
Katika mwanzo 3:1 inatuambia kwamba " Basi nyoka alikuwa mwelevu kuliko wanyama wote aliowafuga bwana Mungu, Akamwambia mwanamke ,atiii hivi ndiyo alivyowaambia Mungu msile matunda yote ya bustani.
Mwelevu Ni mjuaji hivyo nyoka hapa anawakilisha vipengele vyote vya kifizikia/kimwili/kibinadamu.
Hivyo Basi Eva Ni mfano wa akili/nafsi (mind) katika dhana ya kifizikia ya Adam, Eva (akili/mind) inashawishiwa au inaingizwa majaribuni na Mambo ya kifizikia nyoka (serpent).
Hivyo Basi huwa tunaingizwa majaribuni kupitia mawazo yetu ambayo muda mwingi huwa katika Mambo ya kifizikia zaidi.
Nyoka anatushawishi kula tunda lililokatazwa kutoka kwenye mti wa ujuzi wa mema na mabaya, hapo mema na mabaya Sasa yanachanganywa na kuingiliana, hapo mchanganyo ndipo unapoanzia Sasa, tunajipoteza na kulisahau lile jukumu letu katika haya maisha.
Basi matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya msile na siku mtakayokula matakufa hakika.
Hii Ni pale tunapokuwa kwenye meditation, au ule uzingativu wa Hali ya juu na yuleee Mungu aliye ndani yetu, hapa inatakiwa tuufunge upande wa kushoto wa ubongo wetu/ mawazo.
Hakika mtakufa, hapa hakizungumziwi kifo Cha kifizikia, Ila tunapozongwa na huu upande wa kushoto wa ubongo wetu, au tunapozongwa na kuwa zaidi katika huu upande wa mawazo ya kifizikia Basi tunakuwa tumejiachanisha na upande wa kiroho ambao upande wa kulia.
Ni Nani amewaambia kwamba mko uchi, je mmekula lile tunda la ule mti nilioeaambia msile?.
Mungu hapa anatukumbusha kwamba Wala hajasema kwamba Kuna chochote kibaya juu yetu au juu yako, na je Ni Nani aliekwambia kwamba una makosa na haujafanya kilicho sahihi!!.
Hiki ndicho kinachotokea Sasa ukiwa kwenye nafsi ya chini ( lower self), ambayo inaingozwa na dini, Katiba, makanisa, misikiti, Pamoja na mashirika mengi ya kijamii ambayo yenyewe yapo kwa ajili ya kukutia hofu.na kufanya Uzidi kujiona wewe Ni wa chini tu.
DHAMBI YA ASILI
DHAMBI hii ya asili Wala sivyi Kama wengi ambavyo tunakichukulia, Wala haiusiani na masuala ya kula wa Nini, na Wala haiondoki kwa Njia ya kumwagiwa maji Kama baadhi ya dini zinavyifanya, Ila Ni kitendo Cha kujisahau sisi wa kweli kwamba sisi si hii haali ya kifizikia tuliyo nayo.
Neno DHAMBI (Sin) Ni jina la Mungu mwezi, Abraham aliishi hapa na akaambiwa aondoke kwenye huu mji, yaani aondoke katika maisha ya emotion(hisia) Kwa sababu kuishi kihisia Basi unakuwa unaishi dhambini. kumbuka matukio yetu mengi ya kihisia yanadhibitiwa au kuratibiwa na mwezi.
Ulikuwa nami mwalimu wako Dogoli kinyamkela
Itaendelea.
siku moja niliamua kufanya meditation nikalala ubavu wangu wa kulia na kuanza na pumzi nilichagua kulala et ndio niliona nitakua comfortable nikaona rangi rangi za zambarau nikaacha nikalala asubuhi mume ananiambia ameota najiunganisha na mashetani niache jana nimefanya nikaishia kuona kama vision ya mtu amekaa anafanya meditation sielewi nimepatia na bado nimeona hizo rangi rangi za zambarau nina set ya vitabu najisomea still sielew napatia au nakosea??Hicho kibao cha kufanyia meditation kwenye profile yako kinaonyesha wewe ni mwanafunzi wa meditation ya mwanga na sauti🤣🤣
Hahaha unajiunganisha na mashetani tena🤣🤣🤣🤣siku moja niliamua kufanya meditation nikalala ubavu wangu wa kulia na kuanza na pumzi nilichagua kulala et ndio niliona nitakua comfortable nikaona rangi rangi za zambarau nikaacha nikalala asubuhi mume ananiambia ameota najiunganisha na mashetani niache jana nimefanya nikaishia kuona kama vision ya mtu amekaa anafanya meditation sielewi nimepatia na bado nimeona hizo rangi rangi za zambarau nina set ya vitabu najisomea still sielew napatia au nakosea??
unadhani hata alinikatisha tamaa kunakitu ndani yangu kinanisukuma sana kufanya meditation sasa sjajua nimefanya sahihi au la, tena nikuambie najikuta tu wale watu nilokua sielewani nao kuna sauti husema nimewasamehe kidhati kabisa sasa ndio na make peace ama vipivipi? nimekua so calm, nielezee kwanza hapo kwenye hizo rangi rangu ni illusion au iko kitu? hio vision nimeona mtu amefunga macho mbele yangu nikaogopa ni nnHahaha unajiunganisha na mashetani tena🤣🤣🤣🤣