Fahamu matokeo ya meditation

Fahamu matokeo ya meditation

KUTOKA KATIKA KITABU CHA MAFUNDISHO YA SIRI


✍️Kuelewa elimu hii inahitaji utulivu WA Hali ya juu huku ukiegemea kwenye nguvu Yako ya kiroho ,hivyo usisome kama unasoma hadithi ya sungura na fisi Bali usome kwa kuhisi nguvu kuu ya maono na ufahamu .

✍️Ndugu msomaji ,kwanza lazima utambue mwili wako ni bustani ya Edeni. Ile ambayo imetajwa kwenye Quran ,Hadith na bibilia .👇👇

✝️📖Mto wa kunyeshea bustani ulitiririka toka Edeni, kuanzia hapa ukagawanyika kuwa mito minne. Mto wa kwanza uliitwa Pishoni, nao huzunguka nchi yote ya Havila ambako kuna dhahabu. (Dhahabu ya nchi hiyo ni nzuri, bedola na vito shohamu pia hupatikana huko.) Jina la mto wa pili ni Gihoni, ambao huzunguka nchi yote ya Kushi. Jina la mto wa tatu ni Tigrisi, unaopita mashariki ya Ashuru. Mto wa nne ni Frati. BWANA Mungu akamchukua huyo mtu, akamweka kwenye Bustani ya Edeni ailime na kuitunza

✍️Kabla sijaendelea tuthibitishe Hili kwenye maandiko ya waislam👇👇

📖🕋Katika ukurasa wa 115 wa kitabu Al-Mahasin, Muhammad ibn Qays anamnakili Imam Abu Ja’fer al-Baqir a.s. akisema kuwa, “Siku moja Shaytani alimwona Mtume Nuh a.s.akisali, basi Shaytani alimwonea wivu Mtume Nuh a.s. na hakuweza kujizuia, akasema. “Ewe Nuh! Allah swt aliyetukuka, Mkuu, amejenga mwenyewe Bustani ya Eden, akapanda miti na kutiririsha mito ndani mwake.

✍️👽💀Kichwa ni “Mahali palipoinuliwa” au Mbinguni.

✍️ CSF (CerebroSpinal Fluid)maji maji ya uti wa mgongo ni mto Gihon (Nile) moja ya mito minne katika bustani ya Edeni iliyotajwa kwenye📚 kitabu cha mwanzo Sura ya 2.

✍️Mito hii Inazunguka nchi ya Ethiopia 🇪🇹 ambayo ni Etheric Optical au Optic Thalamus ambayo ni nuru ya Ulimwengu. Inapatikana kupitia Mti wa Uzima aka Vegus (Negus/King) Neva. Tazama picha👇👇iliuelewe kuhusu Vegus kwenye ubongo.

✍️Mito 4 iko kwenye ATOMy ya Binadamu (Adamu/Mtu). Ni vichwa 4 vinavyotengana na Mto Mmoja wa Uhai ambao ni MATE/Chumvi/WOKOVU.

✍️ Euphrates ni mkondo wa Damu. Inamaanisha "Nzuri Kuvuka" na inarejelea kizuizi cha moyo.

✍️Pison ni njia ya mkojo. UR maana yake ni Dhahabu. Ilipitia nchi ya Havila (huenda India) ambayo maandiko yanataja kuwa na dhahabu.

✍️Mto Hiddikel ambao ni Tigris ni njia ya utumbo

✍️Na Gihon/Nile ni CSF CerebroSpinal Fluid) au maji maji ya uti wa mgongo yanayotiririka juu ya mkondo (Up the Spine/Micro Cosmic Orbit). Pia inaitwa Chrism ambayo ni Mafuta ya Upako ambapo ndipo tunapata neno Kristo.

✍️Tezi yetu ya Pineal inaoshwa kila mara au Kupakwa Mafuta kwa CerebroSpinal Fluid au maji maji ya uti wa mgongo

✍️Gihoni inamaanisha "kupasuka". Shahawa (pamoja na mafuta mengine yaliyotengwa kutoka kwenye tezi mbalimbali) inachukuliwa kuwa ugani wa Chrism.

✍️ Mojawapo ya sababu zilizofichika za mazoezi ya useja (Brahmacharya) katika seminari (shahawa) inahusiana na uboreshaji wa maji ya manii kwa njia ya uhamishaji na kuinua Kristo.

✍️Kumtuma Musa kwenye Mto Nile... Samaki/mbegu inayotiririka juu ya mkondo hadi kufikia nchi ya maziwa (feminine lunar magnetic serotonin/melatonin) na asali( masculine solar electric dmt).

✍️Akili ya Is-Ra-El ambayo imefunguliwa katika Pineal/Penial iliyogunduliwa katika Mwanzo 32:30 📖Na Yakobo ambaye alimwona Mungu uso kwa uso na akaishi.

✍️Alikuwa mjukuu wa Sar Abram (Cerebrum) Wabrahmin ambaye alikuja kuwa Baba na Mama wa Mbio Mpya.

✍️Jicho Lako Liwe Moja (MAAT+ hew 6.22).📖matayo au methew

✍️Tumia mfumo wa RESPIRITry kuungana na Chanzo Nguvu na L.O.V.E (Law Of Vibrational Energy)... Mwanadamu haishi kwa mkate pekee bali kwa Neno/mtetemo/Prana/nguvu ya maisha inayotoka katika kinywa cha Mungu (Medulla Oblangata kwenye msingi wa Fuvu la Kichwa/Golgotha.)

✍️ Neno KULA limefichwa katika maneno BREAth (pumzi) na MAUTI. Haya ndio majina halisi ya miti 2 🌳 🌳 iliyoko bustanini.

✍️ Kutoa shahawa mwikini huondoa nguvu ya maisha na kuleta kifo (mti wa ujuzi wa mema na mabaya ambao ni uwili wa kuzaliwa na kifo), ambapo kutumia pumzi huinua Chrism juu ya mgongo (Mti wa Uzima) na kuleta damu / nafsi juu.

✍️ kichwa/Mbingu ambapo Khrist anakaa kwenye Kiti cha Enzi katikati ya Ubongo akiwa amezungukwa na mishipa 12 ya fuvu (wanafunzi) ambao ni "waamuzi" Wake.

✍️Hii ndiyo Nira/Yoga ya Nuru ambayo ilifundishwa na Bwana Yesu na Wana wengine wengi wa Aliye Juu walioamshwa.

✍️Akili hii iliyokuwa ndani ya Yashua na iwe ndani yenu pia. Alituachia Ishara ya Yona.

✍️Yona maana yake ni Njiwa ambayo ni ishara ya Taji Chakra/Roho Mtakatifu.

✍️ Yona amefichwa ndani ya tumbo la samaki/mbegu na ni lazima ainuliwa ili Aweze kunena Neno la Wokovu kwa “Mataifa” na kuwaokoa kwa Njia Moja ya Upako wa Ndani/Kioo/Ukristo.

✍️Unafikiri ni kwa nini yeye (Yona) aliwalazimisha watu wa Ninawi wafunge na kutafakari kwa siku tatu? Alikuwa akifundisha mchakato ule ule ambao Mungu alimpitisha tu. Jangwa lile lile la kutafakari Kristo alikuwamo kwa siku 40.

✍️Kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka katika jangwa la kutafakari vivyo hivyo Uzao wa Mwanadamu lazima pia uinuliwe.

✍️Soma kitabu cha ufunuo wa RA- na uelewe kwamba Alama ya Baba iko katika Paji la Uso.😉

✍️Ujumbe uliofichwa katika Jina Ra+ sTafari ni "Alama/Ishara/Muhuri Kichwani Inastahili Kuheshimika"

🗣️Mwalimu WAKATI Niko Malaysia alisema:👇👇

📖 "Mgongo na Ubongo ni madhabahu za Mungu"
 
MAAJABU YA MWILI WA MWANADAMU.

Na Dogoli kinyamkela

Siri katika neno M.A.S.O.N Inefichuliwa

"Roho mtakatifu" ambayo ni (pumzi nzima kwa ujumla) ni kweli anakaa katikati yetu yaani ndani yetu wanaume na wanawake katika hali ya Mafuta, marhamu au kristo ndani yetu, ndiyo maana ilinenwa "Tazama mimi ni pamoja nanyi siku zote" - kwamba ni hiyo mbegu ya uhai ipo ndani yetu siku zote na ndiye kristo ndani yetu. Kwa kuongeza katika Sayansi ya alkemia ya ngono..inafahamika kama Bata wa pepon au Kalahamsa katika vilindi vya maji akieleI'a katika vilindi vya maji yaani SWAM of the paradise. Imenenwa katika mwanzo, "Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji" ... Maji hayo ya kwanza kwenye kitabu cha mwanzo ni Majimaji ya uzima au utelezi (shahawa/manii) ndani ya hayo majimaji kuna kiini cha muhimu kinacho tulia juu ya uso wa vilindi vya maji kwenye giza (ndani ya via vyako vya uzazi)...hicho kiini cha muhimu kwenye hayo maji ya kwanza ya uumbaji ni Semen au shahawa yenyewe kale kambegu ...hakaonekani kwa macho ila kapo ndani ya yale majimaji .... Hako kakiini ndani ya majimaji ni Mungu juu ya uso wa vilindi vya maji ni mbegu ya uhai... KWAHIYO MUNGU YUPO NDANI YETU.

Huu ni ukweli wa kisaikolojia ulio thibitishwa na kufichwa ndani ya herufi za neno MASON (M.A.S.O.N.)

Herufi M, au Mem, ni herufi ya 13 katika alfabeti za kiebrania (pia ni herufi ya 13 katika alfabeti za kiingereza) na ina maanisha mwanamke, Mariamu/mary, maji au mama.

Herufi A, ni herufi ya kwanza ambayo ni Alefu, na inawakilisha ng'ombe, au dume au nguvu-baba /Baba- mwanaume.

Herufi S au Sin, Inawakilisha Mwanamke na mwanaume au Mama na Baba (Adam na Eva) pia inawakilisha dhambi au kupungukiwa na kitu fulani

Wakristo wa kwanza kabla ya mpinga kristo CONSTANTINE, walielewa hilo na walitambua Alfabeti hizo za ajabu kupitia hekima ya kiungu. Baada ya kugundua hilo kwamba M na A wamepungukiwa au wamepungua (S) kitu fulani walipanga mpango wa kuwaokoa M na A

Herufi O kutoka katika Ayin ambayo ni alfabeti ya 16, inawakilisha Hekima, au jicho linaloona yote (yaani optic Thelamus)..jicho la chumba cha ndani kifiziolojia..... Hilo ni jicho la Freemasonry "Jicho la tatu". kama vile ilivyo nenwa "kama jicho lako likiwa moja, mwili wako wote utakuwa na nuru" kama vile Ayubu alivyo sema "Sasa jicho langu linakuona wewe" Ayubu (shahada ya 33)... Kama vile yakobo alivyo ona maono ya ngazi kutoka kwenye ardhi imefika mbinguni yenye pingili 33 "akasema nimemuona Mungu uso kwa uso nami sikufa" -unaelewa hizo siri na muunganiko wake.

Jicho hilo linaloona yote yaani jicho la kuona yote, linalowakilishwa na herufi O, hapa linaingilia kati na kumtuma mwanaye (S.O.N) kuokoa na kuja kusambaza na kusawazisha upungufu unao sababishwa au uliosababishwa na kitendo kilicho kuja kusababisha anguko wakati wa Adamu na Hawa walipokula tunda.

Herufi NUN (ambayo pia ni NON) ambayo ndiyo iliyo zalisha herufi N, ni herufi ambayo kiebrania inamaanisha samaki (Mbegu inayo zaliwa kwanza - manii shahawa) Ambapo kila baada ya siku 28.5, au mwezi yaani pale wakati mwezi au kila mwezi alama ya zodiaki au ya jua inapokuwepo ndani yako au tarehe yako ya kuzaliwa.

Ndio maana kwenye Biblia kuna YOSHUA mwana wa NUN (NON /NUNI) Yeshua au Yesu".

Kwa kuhifadhi mbegu hiyo au Samaki huyo. Baadaye mbegu hiyo huinuliwa juu huku ikiwa imebeba marhamu ya thamani na kisha (wewe) kufanywa kristo, na kusulubiwa na kusafishwa.

Ndivyo kama paulo alivyo sema "Ikiwa kristo hakufufuka au kusulubiwa, basi mahubiri yetu ni bure"

Ukweli unabaki kuwa kwamba Mason wanazijua siri na wanazitumia na kwamba wahusika haswa (ambao ni wakristo) wa siri hizo wamepigwa upofu na kuendelea kuleta upinzani juu ya siri hizi katika makanisa.

Jiwe hapo pichani ndiyo jiwe kuu la pembeni linapatikana Ulimwengu wa chini kwenye giza (uke wa mwanamke) likisafishwa huwa kito au kufanyika kuwa kito cha thamani au Dhahabu. Likiwa ndani ya ulimwengu wa chini kabla ya kusafishwa huitwa BLACK STONE yaani jiwe jeusi kutoka ulimwengu wa chini ambalo mason wanaliita ASHRAR. Ukifanikiwa kulitoa underworld-huko ulimwengu wa chini na kulifanya kuwa dhahabu litakuinua na kuwa karibu na Nuru -u
1736789128000.jpg
tauona mwangaza. @everyone
 
DUNIA YA SITA NA CODE ZA SIRI.

Bustani ya Eden inayozungumziwa Katika Vitabu vya Code. (Bible/Quran) sio Eneo kama unavyodhani, Bali WEWE NDIYE BUSTANI YA EDENI yaani Ramani ya Roho/Ufahamu wa Mtu, Shina la Mti huo ni Uti wa Mgongo matawi yanaashiria Nadis 144000. Nyoka kwenye mti ni mfano wa nyoka ya Kundalini yaani NGUVU YA UHAI/ NGUVU YA KIUNGU kutoka katika (CHANZO KIKUU/ASILI) hiyo ndiyo nguvu inayotafsiriwa kama Shetani.

Adam ni kiwakilishi cha Nguvu dume (Pingala) yaani mafuta dume (Chanya)
Eva "hawa" ni kiwakilishi cha nguvu Jike (Ida)
Kwenye Bustani ya Eden kula Tunda kutoka kwenye mti wa katikati ni (MAARIFA/UFAHAMU/UAMSHO.) Nyoka wa kundalini huleta Maarifa ya Asili ya Kiungu kwani (hupanda juu ya mti) "kupitia UTI wa Mgongo" na kuamsha vituo vya Ndani vya "HEKIMA" Ambayo ni "chakra" (magurudumu ya kinishati) pamoja na kundalini Hadi katika Chakra ya Sita (Tezi penuel/Jicho la Tatu) hapo ndipo Jicho/Macho ya Kiroho ya mtu Hufunguliwa (AWAKENING)

Zamani Ma babu zetu walilitambua hili jambo kama jicho la kale la Kemet yaani jicho la kuona.
Hivyo Adam na Eve wanapoamshwa huwa ni kitu kimoja na ndipo hujigundua kuwa wapo "UCHI"
Huu sio Uchi uujuao wewe Bali ni Fumbo likimaanisha
"KUZALIWA UPYA/ KUAMKA/KUJITAMBUA/KUUONA ULIMWENGU KATIKA UHALISIA WAKE"

Hapo ndipo waanzilishi wa Dini walipowazuia Adam na Eva (MTU MWEUSI) Msile Matunda ya mti wa katikati kwani alijua Mtafanana naye, kumbuka mti wa katikati ni (UJUZI/MAARIFA) na Zaidi akasema Wakila watakufa, huku shetani yeye akiwaambia Adam na Eva kuwa wakila watakuwa kama Mungu. (WATAAMKA)
zingatia Shetani (Ametafsiriwa kama nyoka na sio kiumbe tofauti) ambaye sasa ndiyo huyo nyoka wa kundalini ambaye ukimuamsha hupanda juu na kuzifungua Chakra zako hatimae Jicho la Tatu.

Zingatia Bustan ya Eden sio Eneo Bali ni huo Mwili wako, hili ni fumbo kuhusu sayansi Takatifu ya Ufahamu wetu wa ndani TAMBUA MUNGU NI UFAHAMU (CONSCIOUSNESS) Ndio Maana Walio leta Dini kwako Walificha kwa Code ngumu ili usiijue hii Elimu ya Ukiroho wa kweli kwani walijua fika (HUTOTAWALIKA) Ndio Maana wakakufanya uamini kila wasemacho wao.
Huu sio wakati wa KUAMINI BALI NI WAKATI WA KUELEWA KUPITIA KATIKA UZOEFU WAKO WA NDANI.

BUSTANI YA EDEN SIO ZAMANI, SIO ENEO, SIO HADITHI NI WEWE. Jitafute Ujitambue ili uweze Kushinda huu Mtego /Matrix ili usiendelee kuzaliwa katika Ulimwengu wa Utashi wa Chini...
1736789918688.jpg
 
TAMBUWA KUWA UNIVERSAL ♾️ INAZINGUMZA NA WEWE KILA MARA
KILA WAKATI

UNIVERSAL INAZINGUMZA NA VIUMBE VYAKE KWA KUTUMIA ISHARA MBALI MBALI..

LEO TUANGAZIE ZAIDI KATIKA ISHARA AMBAZO ANAZIPATA MTU KUPITIA NDOTO

NDOTO YA LEO NI NDOTO YA SAMAKI.

KUOTA SAMAKI KATIKA NDOTO INATABIRI RIZIKI YAANI MALI.

IKIWA UMEONA SAMAKI KWENYE NDOTO HAPO UNAONA UTAJIRI.

IKIWA UTAKAMATA SAMAKI NDOTONI BASI TAYARI UMESHAPATA PESA ..

YAANI JAMBO LINAUMBWA KWANZA HUKO KWENYE ULIMWENGU WA ROHO NA HATIMAYE LINADHIHIRIKIA HUKU KWENYE MWILI

Maana halisi ya ndoto hii kuota SAMAKI nimekuwekea kwenye group letu pendwa la MAARIFA NI TIBA...huko utajifunza mengi yaliyosirini na unaruhusiwa kuuliza kitu Chochote.🙏 Join nasi tujifunze pamoja Sasa ni saa ya kuinuka kwa waafrica baada ya kudanganywa kwa mda mrefu nasasa tupo AQUARIUS ♒ ♒ 🏺 AGE

HII NI DHAMA YA KIMUNGU UTAWALA MPYA WA KUJITAMBUWA NA KUJUWA UKWELI UATA KAMA ULIFICHWA KIASI GANI.. ..HII SIO DHAMA YA KUAMINISHWA TENA NI DHAMA YA KUJUWA MWENYEWE

Sio mtu tu from no where anakwambia ukifka utakaa mbinguni nawew unaamini nakudhamia humo kwenye ujinga badala umuulize vizuri pakoje na yeye kashawahi kupaona?? Na je yeye kwanini hajaenda kukaa huko Kama kunaraha.??

Karibu kwenye ulimwengu waView attachment 3200044 (WAFALME)
Noma sana
 
DUNIA YA SITA NA CODE ZA SIRI.

Bustani ya Eden inayozungumziwa Katika Vitabu vya Code. (Bible/Quran) sio Eneo kama unavyodhani, Bali WEWE NDIYE BUSTANI YA EDENI yaani Ramani ya Roho/Ufahamu wa Mtu, Shina la Mti huo ni Uti wa Mgongo matawi yanaashiria Nadis 144000. Nyoka kwenye mti ni mfano wa nyoka ya Kundalini yaani NGUVU YA UHAI/ NGUVU YA KIUNGU kutoka katika (CHANZO KIKUU/ASILI) hiyo ndiyo nguvu inayotafsiriwa kama Shetani.

Adam ni kiwakilishi cha Nguvu dume (Pingala) yaani mafuta dume (Chanya)
Eva "hawa" ni kiwakilishi cha nguvu Jike (Ida)
Kwenye Bustani ya Eden kula Tunda kutoka kwenye mti wa katikati ni (MAARIFA/UFAHAMU/UAMSHO.) Nyoka wa kundalini huleta Maarifa ya Asili ya Kiungu kwani (hupanda juu ya mti) "kupitia UTI wa Mgongo" na kuamsha vituo vya Ndani vya "HEKIMA" Ambayo ni "chakra" (magurudumu ya kinishati) pamoja na kundalini Hadi katika Chakra ya Sita (Tezi penuel/Jicho la Tatu) hapo ndipo Jicho/Macho ya Kiroho ya mtu Hufunguliwa (AWAKENING)

Zamani Ma babu zetu walilitambua hili jambo kama jicho la kale la Kemet yaani jicho la kuona.
Hivyo Adam na Eve wanapoamshwa huwa ni kitu kimoja na ndipo hujigundua kuwa wapo "UCHI"
Huu sio Uchi uujuao wewe Bali ni Fumbo likimaanisha
"KUZALIWA UPYA/ KUAMKA/KUJITAMBUA/KUUONA ULIMWENGU KATIKA UHALISIA WAKE"

Hapo ndipo waanzilishi wa Dini walipowazuia Adam na Eva (MTU MWEUSI) Msile Matunda ya mti wa katikati kwani alijua Mtafanana naye, kumbuka mti wa katikati ni (UJUZI/MAARIFA) na Zaidi akasema Wakila watakufa, huku shetani yeye akiwaambia Adam na Eva kuwa wakila watakuwa kama Mungu. (WATAAMKA)
zingatia Shetani (Ametafsiriwa kama nyoka na sio kiumbe tofauti) ambaye sasa ndiyo huyo nyoka wa kundalini ambaye ukimuamsha hupanda juu na kuzifungua Chakra zako hatimae Jicho la Tatu.

Zingatia Bustan ya Eden sio Eneo Bali ni huo Mwili wako, hili ni fumbo kuhusu sayansi Takatifu ya Ufahamu wetu wa ndani TAMBUA MUNGU NI UFAHAMU (CONSCIOUSNESS) Ndio Maana Walio leta Dini kwako Walificha kwa Code ngumu ili usiijue hii Elimu ya Ukiroho wa kweli kwani walijua fika (HUTOTAWALIKA) Ndio Maana wakakufanya uamini kila wasemacho wao.
Huu sio wakati wa KUAMINI BALI NI WAKATI WA KUELEWA KUPITIA KATIKA UZOEFU WAKO WA NDANI.

BUSTANI YA EDEN SIO ZAMANI, SIO ENEO, SIO HADITHI NI WEWE. Jitafute Ujitambue ili uweze Kushinda huu Mtego /Matrix ili usiendelee kuzaliwa katika Ulimwengu wa Utashi wa Chini...
View attachment 3201056
Aisee !
 
Changamoto kubwa ya wengi si kushindwa kufanya meditation, bali ni kitopata matokeo ya nia zao za kumeditate.

Mabingwa wa meditation kila wakati wanasisitiza faida zitokanazo na meditation, lakini sijaona hata mmoja akitaja hasara na kutoa suruhu kwa wanaofanya hivyo bila kuona mabadiliko yoyote, au kuona matokeo ya dhahiri.

MUNGU.Akinipa fursa nitaposti madhara ya meditation, sababu hakuna kisicho na madhara ukitumia vibaya, acha leo nitoe sababu za wanaohisi hawaoni matokeo.

Baada ya visa vya wanaoshindwa kuwa vingi nilirejea katika chanzo na haya ni sehemu ya niliyopata.

Mlango wa tano wa fahamu, chakra ya tano, kanisa la tano au kinara cha tano.
Katika Biblia ni kanisa lililoko Sardi.

Katika mwili wako mlango huu upo eneo lilipo koo.

Eneo lenye kuupa mwili uwezo wa kujielezea wenyewe pia kukuwezesha wewe kujielezea na Kubwa usilojua ndiyo mlango ambao unawezesha mwili kujilinda na hatari usizoziona, mambo ya kichawi, mapepo, machale n.k.

Mlango huu ukiwa wazi muhusika huwa muwazi, mkweli popote na kwa kila jambo, na maneno yake huchukuliwa kwa uzito mkubwa.

Mtu Ambaye mlango huu uko wazi mbali na kwamba hawezi kusema uongo, ukweli huohuo ambao unaweza kumdhuru mwenyewe, humfanya kutoka salama katika jambo baya.

Ndiyo wale wanaosamehewa katika jambo zito walilolifanya, kwa sababu walisema ukweli.

Mbali na hilo ni eneo zinakozalishwa hisia, taarifa dalili za mwili, dalili nzuri na mbaya juu ya jambo fulani na hata kukulinda na hatari zisizoonekana.

Mlango huu ukiwa wazi hulogeki, wala hudhuriki na vitu vibaya visivyoonekana.
Mfano wachawi wakikuvamia usiku utaamka gafla, na usingizi hauji mpaka watu au vitu vibaya viondoke au hali kuwa shwari.

Eneo hili ndiko hutokea nguvu zinazoweza kukukinga na madhara upitapo maeneo yenye roho wabaya Bila kunaswa.

Ni sehemu ya kazi za mlango wa tano, Sababu si sehemu ya mada wacha niendelee na vilivyo sehemu ya Mada.

Kila mtu ana ishara fulani za kimwili, zinazomsaidia kupata taarifa fulani kabla ya Jambo kutokea.
Mfano, kuna watu wakikaribia kupata pesa au kupoteza, huwashwa viganja vya mikono, kope za jicho hucheza n.k.

Mwingine kope, sikio, unywele hucheza akikaribia kupata taarifa ya msiba, harusi, au taarifa fulani mbaya au nzuri.

Zipo ishara nyingi zenye kutoa taarifa Ya yajayo kwa kila mwili wa mtu na ni mwili husika ndiyo unajua maana ya kila ishara Au aina ya taarifa.

Wanaojua ishara hizi, hutoa taarifa kabla ya tukio.
Mfano mimi, mboni ya chini ya jicho la kushoto ikicheza/ kuvuta, lazima msiba utokee.

Hilo ujue usijue lipo, ujue usijue hutokea. Busara ni kujua maana ya taarifa za mwili wako ili ujue kinachokujia mbele, Bila kupiga ramli kwa waganguzi.

Ishara kila mtu anazo, wengi hawajui tu ishara zao ni zipi, Sababu ishara zinatofautiana kati ya mtu na mtu.

Kwa kutojua ishara, alama au lugha ya mwili wako, ni sawa na kushindwa kusikia sauti ya Mungu baba, au Kristo walioko ndani yako, hivyo kukosa masikilizano baina yako wewe wa nje na wewe wa ndani.

Tukirudi kwenye meditation, nako pia tumetofautiana namna ya kupokea matokeo, sababu ya utofauti wa lugha Za miili.

Huyu atapata matokeo ndani ya meditation, na yule nje ya meditation.

Nikiwa na maana kuna wanaopewa matokeo katika maono, ndoto, moja kwa moja, kupitia mtu mwingine n.k.
Hivyo Namna mwingine anavyoweza kupata matokeo inaweza kutofautiana sana na wewe.

Mwili wa mtu ni kama mashine au mtambo ambao unaweka mzigo huku, matokeo unayapata upande mwingine.

Kama kupakua kitu U tube, unapakua kitu huku unakikuta katika eneo fulani la hifadhi.
Kama ni video ina sehemu yake, picha zinasehemu yake, nyaraka na kila kitu kina sehemu yake kinakohifadhiwa.

Kama hujui una weza tafuta kitu katika simu yako na usijue kimehifadhiwa wapi, sababu hujui wapi kwa kupata unachokikusidia kinachoingia na kutoka ndani ya simu.

ishara za mwili hutoa taarifa kupitia mwili bila ubongo, ikiwa na maana ni tendo ambalo liko nje ya uwezo wa mtu.

Katika mlango huohuo ndipo hupitia pia taarifa au maelezo ya kimungu ya moja kwa moja, yanayochakatwa kupitia ubongo.

Taarifa au maelezo hayo ambayo huletwa kupitia ubongo, unaweza kuyaona moja kwa moja kupitia mlango wako wa asili wa mwili wako.

Nimesema mlango wa asili wa mwili wako, nikimaanisha kila mmoja ana mlango wake wa asili wa kupokea maelekezo ya moja kwa moja ya kiMungu.

Katika post ya meditation, nilisema kuna wakati ambao anayemeditate anaweza kuona maono au kupata majibu umo ndani ya meditation.

Hili linawahusu wenye mlango wa asili wa maono, ( wenye uwezo wa kuwasiliana na roho).
Wengine wana milango ya asili ya ndoto.

Mtu huyu akimaliza kumeditate matokeo yake kwa ufasaha atayaona kupitia ndoto, kwa namna tofauti tofauti
Wenye asili ya akili au mawazo.

Mtu huyu akimeditate, matokeo yake yatakuja kwa kuzama katika fikra na kila atakachojiuliza kuhusiana na ombi lake, ataona anapata majibu, na kila kitu kinafunguka kirahisi.

Tuwe pamoja
SISI NI AFRIKA TU UMOJA.
Mada nzuri,umeiharibu kuingiza sijui,kristo sijui mara kanisa,
Upuuzi mtupu
 
Endelea mkuu Dogoli kinyamkela

  • Huwa unafanya meditation kila siku?
  • Una shuhuda gani za namna meditation imeweza kukusaidia hadi sasa?

Mimi hii issue ya meditation bado nina uelewa nayo mdogo sana, kiasi bado cha kushindwa kuamini. Naiona kama ni some kind of imagination tu, unapokuwa umefunga macho.

Labda pengine inawezekana ni vile hadi sasa in reality sijakutana na mtu ana kwa ana anayepractice hii, zaidi ya kuona tu kwenye Tv.
Ikiwa huna hela na unafanya MEDITATION unakuwa kama chizi.
Hii kitu tuwaachie wenye fedha tu. Stress za hela zikuandame na bado uwaze vitu ambavyo havina uhalisia.

Meditation inakuzwa sana sidhani kama ina matokeo chanya kihivyo.
 
Mada nzuri,umeiharibu kuingiza sijui,kristo sijui mara kanisa,
Upuuzi mtupu
Naam sababu Mimi Sio mnafki Ili unielewe lazima niseme kweli mana kweli SI inamueka mtu huru🤷🏽‍♂️,kwaiyo kwenye masomo nafundisha vile SoMo linavyo taka Ili mtu anielewe kirahisi zaidi,ukiona SoMo halikifai,pita kushoto wenye faida nalo walichukue so lazima kunifatilia sio lazima kukoment kwenye huu Uzi mkuu,yangu n hayo tu🙏🏽
 
Huu uzi umekaa kitoto sana.
Na mtoa mada ni kama amesoma sehemu na kuja kuziamishia humu.

Swali kwa mtoa mada. Je, ulishawahi kupractice meditation?
Sijibugi maswali ya kitoto kama Yako,mana nimeona neno uz n wa kitoto ajabu na wewe umeuliza swali LA kitoto sasa sijui Nan moto apo🤷🏽‍♂️
 
Naam sababu Mimi Sio mnafki Ili unielewe lazima niseme kweli mana kweli SI inamueka mtu huru🤷🏽‍♂️,kwaiyo kwenye masomo nafundisha vile SoMo linavyo taka Ili mtu anielewe kirahisi zaidi,ukiona SoMo halikifai,pita kushoto wenye faida nalo walichukue so lazima kunifatilia sio lazima kukoment kwenye huu Uzi mkuu,yangu n hayo tu🙏🏽
Ok
 
Jaribu kuita roho ya mama wa babu zako,
Ili uweze kuwa vile unavyotakiwa kuwa, Jifunze jinsi ya kukaa sawa na roho ya kimungu na hapo ndipo unapoweza kupata nguvu zako za kweli.

Kuna hekima ya juu na nguvu ya juu nyuma ya njia ya kiroho ya Mababu zako, Ukijaribu kuigundua. Hutaruhusu mtu yeyote akuzuie Kuinuka kwa kusudi lako la kweli la kiro
1736860930514.jpg
ho.
 
Jaribu kuita roho ya mama wa babu zako,
Ili uweze kuwa vile unavyotakiwa kuwa, Jifunze jinsi ya kukaa sawa na roho ya kimungu na hapo ndipo unapoweza kupata nguvu zako za kweli.

Kuna hekima ya juu na nguvu ya juu nyuma ya njia ya kiroho ya Mababu zako, Ukijaribu kuigundua. Hutaruhusu mtu yeyote akuzuie Kuinuka kwa kusudi lako la kweli la kiroView attachment 3201730ho.
Next
 
SEX ENERGY CULTIVATION
Sehemu 01:

Watu wengi wanajua umuhimu wa nishati ya ngono bali wanashindwa ni kwa namna gani wanaweza kuivuna nishati hii muhimu na ikawasaidia katika safari yao ya kiroho, Ninyi wenyewe ni mashahidi, hata watu wa Dini wanaojifanya ni watu wa Watakatifu kuliko watu wengine nao wameshindwa kuitawala nguvu ya ngono na kuishia kufanya uzinzi na punyeto kwa siri.

Ni miezi 10 imepita sasa tangu nilipoanza kuifunza kuhusu nishati ya ngono, na sasa ni wakati wangu kuwafundisheni kile nilichopokea kutoka juu kuhusu siri zote za nishati ya ngono na namna ya kuivuna nishati hiyo muhimu kuliko zote mwilini chini ya ushirikiano wa mwalimu wetu bora wa nyakati zote, Sir James Lordy kashirina.

Vitu muhimu unavyotakiwa uvijue ni:
-Kila kitu kimundwa na nishati
-Thamani ya Mbegu za kiume (Sperm)- kwa wanaume.

SEX ENERGY/NISHATI YA NGONO.
Haikua kwa bahati mbaya tulipojifunza somo linaloelezea kuwa kila kitu kimeundwa kwa nishati, (somo: EVERYTHING IS MADE UP OF ENERGY), ambapo kwa evidence za kutosha tuliona namna ambavyo kila kitu kimeundwa kwa nishati.
Nishati iundayo kila kitu katika ulimwengu ilitambuliwa tangu zamani na wazee wetu, wamisri wa kale waliitambua kama "Sekhem", Wahindi waliitambua kama "Prana", Wachina hasa watao waliitambua kwa jila la "Chi" na kwa wanaoitambua sasa, huiita LIFE FORCE ENERGY.

Japokuwa kila kitu kimeundwa kwa nishati (Chi/Prana/Sekhem) Miili yetu ina ukomo wa kunyonya nishati zinazotuzunguka, miili yetu inauwezo wa kupata nishati kutoka kwenye vyakula tunavyokula, hewa tunayovuta, sauti, mwanga wa jua

Nishati ya ngono ni tofauti na nishati zingine, kwa sababu nishati ya ngono ni nishati iliyochakatwa tayali ikisubiri kutumiwa na mwili tofauti na nishati iliyopo kwenye vyakula au mwanga wa jua ambavyo huhusisha Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula pamoja na Melanin ili kuweza kuchakata malighafi hizo ili kupata nishati ya mwili.

Pili, nishati ya ngono ni zao la nishati zingine zote. Takribani asilimia 30 za nishati ya "Chi" ambayo mwanaume/mwanamke huifyonza katika vitu vyote kama chakula,mwanga wa jua, sauti n.k hutumika kutengeneza nishati ya Ngono (wachina hasa watao huiita "Ching" ambayo ni sawa na Sexual Energy) na asilimia 70% zinazobakia hutumika kwenye shughuli zingine za mwili km kufikiri, kumeng'enya chakula, kufanya kazi n.k.

Nishati hii ya Chi (/Life force energy/ prana au Sekhem) haionekani kwa macho, bali una uwezo wa kuihisi (feeling it), ipo kwenye kila Maada japokuwa yenyew sio Maada, inapatikana kwenye hewa safi lakini sio hewa, huingia mwilini sambamba na oksijeni lakini sio oksijeni.
Hivyo basi, Hewa ikivutwa kwa usahihi, huuisha seli zote mwilini, pia huchaji AURA, Huongeza nguvu ya mvuto (power of attraction).
Ukila vyakula asilia kwa wingi,hasa mboga majani 🍀,ukiota mwanga wa jua, sikiliza mziki unaoendana na mitetemo yako, mawazo mema basi utaweza kuivuna Nishati hii ya "Chi" kwa wingi zaidi.

Nishati ya ngono nayo haionekani kwa macho bali mtu huihisi, unaweza kuihisi nishati hii pale unapopatwa na ashki au nyege.
Japokuwa Nishati hii haionekani, kifizikia ina hifadhiwa kwenye Mbegu za kiume (Sperm) kwa wanaume, na kwa wanawake huifadhiwa kwenye Ovari.

Kwa muda mwingine tutaenda kujifunza umuhimu wa mbegu za kiume, na mwishoni kila mwanaume atajua namna ya kujizuia Kumwaga (ejaculation)

ITAENDELEA...
✍️Mimi ni Dogoli kinyamkela
1736958797465.jpg
, The Serpent bloodline 🐍. @highlight
 
SEX ENERGY CULTIVATION.
SEHEMU YA 02.
🤜Na Dogoli kinyamkela
1736958951136.jpg


👉Kutoruhusu kumwaga mbegu zako either kwa kujiepusha na mapenzi au punyeto kwa muda mrefu haimaanishi kuwa umeweza kuivuna nguvu hii muhimu ya ngono, hapo ulichofanikiwa ni kuzuia nguvu zako za ngono kupotea.

👉Nishati ya ngono huhifadhiwa kwenye korodani (Testis) kwa wanaume, inaweza kuwa katika hali baridi au hali ya moto, nishati baridi ni nzito kuliko nishati moto, lakini kiujumla nishati ya ngono ni nzito kuliko nishati zingine.

👉Wanafizikia wanatuambia viyoyozi huwekwa juu na sio chini kwa sababu hewa baridi ni nzito kuliko hewa ya joto, kwa hiyo ni lazima tu hewa baridi itashuka chini kwa sababu ya uzito wake.
Kwa hiyo hata katika mwili, nishati ya ngono haiwezi kujipandisha yenyewe kwenda juu, kichwani ni jukumu lako kuipandisha juu nishati hii ili uweze kupata mwamko wa kiroho na faida zingine kede kede.

👉Baada yaTafiti za kisayansi kuhusu tiba za sindano (Acupuncture) ilipendekeza kwamba, mifereji ya nishati (Energy Channels) hupatikana maeneo kunakopatikana mishipa ya damu na neva kwa wingi (blood vessels and Nerves endings) katika mwili.

👉Sasa ili uweze kupandisha nishati hii, kwanza inakupasa ufungue mifereji ya nishati na sakiti ya mzunguko mdogo wa ndani (-Microcosmic Orbit-) ya mwili.
Nishati hutiririka katika mifereji mikubwa na midogo katika mwili, wataalamu wa sindano za tiba(/Acupuncturist) Hutambua kwamba mfereji mkuu wa nishati umepita katika uti wa mgongo, vivyo hivyo Sakiti ya mzunguko wa nishati huanzia kwenye kwenye msamba, hupanda juu kwenye uti wa mgongo hadi kwenye kichwa kisha hushuka mpaka kwenye kitovu na kumalizikia kwenye msamba(perinium).

👉Upumuaji unaojumuisha uchezaji wa korodani, husaidia kufungua mifereji mbali mbali ya nishati na kuunda sakiti ya mzunguko wa nishati mwili.
Baada ya kufanya Mazoezi ya upumuaji unajumuisha uchezaji wa korodani, nishati baridi ya ngono huanza kupandishwa juu kuelekea kichwani kupitia njia ya mfereji mkuu wa nishati ulipita katika uti wa mgongo,

👉kinachopandishwa juu sio mbegu za kuime bali ni nishati, Nikola tesla hakua mjinga alivyosema "If you want to find the secrets of the universe, think in terms of energy, frequency, and vibration" akimaanisha kwamba "Ikiwa unataka kupata siri za ulimwengu, fikiria kwa misingi ya nishati, masafa, na mtetemo." Baada ya kuielewa nukuu hiyo ndio ulikua mwanzo wangu wa kujifunza ni kivipi kila kitu kimeundwa kwa nishati, hivyo sikukurupuka kuanza kuchambua Ngono/penzi katika mtazamo wa nishati.

👉Mwanaume ukisisimka kingono, nishati moto ya ngono huzaliwa, katika fizikia, nishati ya "kinetic" huzalishwa pale tu mtu au kitu chenye uzito kitakapo kuwa katika mwendo, seli za mbegu za nguvu za kiume (Sperms) huwa katika speed fulani pale unaposisimka na nishati huzaliwa.
Kwa namna hiyo, hivyo ndivyo nishati ya ngono huzaliwa, na nishati hiyo either ikiwa baridi (Yin energy) au moto (Yang energy) hutakiwa kupandishwa juu kupitia mfereji mkuu wa nishati uliopo kwenye uti wa mgongo, kwenye uti wa mgongo hutambuliwa kama mfereji mkuu wa nishati sababu ya wingi wake wa neva, neva zote za mwili hutokea hapo. Na usisahau kwamba taarifa hupita kama charge za umeme katika mfumo wa neva, hivyo kuzaliwa kwa nishati.

👉Nishati ya ngono huzaliashwa kwenye korodani, sehemu ambapo mbegu za kiume hutengenezwa, zikianza kupandishwa juu hufika katika eneo la "hiatus" mwanzo wa mfupa wa "sacram" sehemu hii huchukuliwa kama pampu, inayosukuma nishati ya ngono ili iweze kupanda juu kwenda kwenye ubongo, pia kwenye ubongo kuna pambu ya cranium ambayo huirudisha nishati chini.

👉Iwapo kukawa na kizuizi katika pambu hizi mbili, basi nishati hukwama kupanda juu, na mazoezi ya upumuaji wa uchezeshaji korodani (Dance of the Testis Exercise) husaidia kufungua vizuizi hivyo. Imethibitishwa kitaalamu kwamba, Mijongeo midogo ya Jointi za mifupa ya "cranium" ya nane hutokea pale tu unapopumua, haswa haswa upumuaji wa uchezeshaji korodani.

👉Upumuaji huu huimarisha jointi za mifupa ya cranium, hivyo kusaidia uzalishwaji wa kimiminika cha "cerebrospinal fluid" ambacho ni muhimu katika utendaji kazi wa neva na mtiririko wa nishati. Kuimarika kwa jointi za mifupa husaidia kupunguza na kuondoa maumivu makali ya kichwa yasiyotibika (i.e migraine headache, matatizo ya shingo na matatizo ya uoni ) uponyaji huu hutokea baada ya kuimarishwa utendaji kazi wa neva.

👉Wiki hii ntakua free kidogo, hivyo mjiandae kwa elimu kuhusu mazoezi ya upumuaji ili muanze kufungua mifereji ya nishati iliyofungwa na kutengeneza sakiti ya mzunguko wa Nishati.
Hiyo ni hatua ya awali ya kupandisha nishati ya Kundalini kama inavyojulikana katika tamaduni za kihindu.
Be humble, jiepushe na umwagaji usio na faida, kisha tutamaliza na namna ya kubadilishana nishati ya kike (yang energy) na nishati ya kiume (yin energy) /Ying yang ☯️ balansing kwa kutumia ngono takatifu.

ITAENDELEA....
✍️ Dogoli kinyamkela Is Always Dogoli kinyamkela
Be humble Just stay connected with Me, stay connected with Us, The serpent Bloodline serpent 🐍
 
DIALECT OF GODS
"Lugha ya miungu"

🤜SEHEMU 01: Lugha na ufahamu.

Ni siku nyingine katika mwezi muzuro, Eye, Great, Supreme, Dogoli kinyamkela
1736959369916.jpg
, From the Serpent Bloodline, nakuwasilishia maarifa yakufungua Jicho lako ili sote tupate kuuona ulaghai huu wa dunia, For its written that, "The real Eye Realize".

Dini sio dhana pekee Iliyotumiwa na jamii kongwe za siri (-Za walioangaziwa"ILLUMINATES" Wabeba nuru"WALUSIFERIA/LUCIFERIANS"-) katika harakati za utumwa wa fikra na udhibiti wa akili yaani MIND CONTROL, Lugha na matamshi ni moja ya nyenzo Zinazohusika kuleta vizuizi katika uamsho wa kifikra kwa namna isiyoonekana kwa macho.

Lugha au matamshi ya lugha vinaathari katika ufahamu wako, ubongo na mwili wote kiujumla, lugha tuzungumzazo zina "tone" za sauti zenye mawimbi yanayopanda na kushuka, uzungumzaji wa lugha ni sawa na mziki, mziki unaweza kubadili "mood" yako, hisia zako na kila DNA iundayo mwili wako.
Usikilizapo sauti za mziki Unaotetema na nishati yako, hukufanya ujiskie vizuri,uwe na furaha tofauti kabisa na mziki wenye mitetemo tofauti na nishati yako hakika utakufanya ujiskie tofauti,kwa namna usiyopendezwa nayo, vivyo hivyo matamshi ya lugha yalivyo. Mitetemo na "Tone" za lugha uzungumzayo huweza kuathiri hadi katika viwango vya kimolekyuli (molecule level). Miili yetu kwa 70% ni maji, ni rahisi sana kubadili mpangilio wa molekyuli ktk maji yaliotulia au yanayotembea kwa kiwango kidog cha mtetemo au tone, Ni vyema kutetema nishati zetu kwa mema kama upendo,furaha nk ili kuwa na mtiririko mzuri wa nishati.

Mtu mweusi anahistoria kubwa yenye maajabu makubwa yaliyowashangaza ndugu zetu weupe "Caucasoids" na kuwashawishi waiibe na kujivisha uhusika Na kuanza kujidai kuwa ni historia yao huku wakiruhusu historia ya mtu mweusi kujazwa na utumwa tu, ili hali wao wameanza kuwepo katika uso wa dunia hii takribani miaka 6000 tu iliyopita.
Sasa wengi wenu msichokijua ni kwamba, mwanamke (- mweusi, jamii ya Ptahites - wakazi wa awàli wa Africa-) alianza kuongea mapema zaidi ya mwanaume, na mwanaume Alianza kuchora na kuandika Mapema zaid ya mwanamke.

Ni miaka takribani 58,000 iliyopita ambapo miungu walifanya mabadiliko ya kijenetiki kwa mwanamke, na kupelekea Zoloto au 'boksi la sauti/Larynx' kutengenezeka juu kidogo ya koo la sauti "trachea", zoloto/boksi la sauti hilo Liliwezesha kuzalisha mitetemo na baadae sauti, hivyo kumwezesha mwanamke kuweza kuelezea hisia zake Kwa misamiati.
Na baada ya vizazi kadhaa kupita baada ya takribani miaka 4000, mwanamke alianza kumfundisha mwanaume kuongea kama mtoto afundishwavyo lugha na mamaye.
Kwa mwanaume ilitokea kasoro, zoloto lake lilionekana kama kukwama kooni Sababu ya uwingi wa sumu ya Reptilia (-ambayo kitaalamu huitwa homoni ya testosterone-) ambayo Mwanaume aliipata kutokana na muingiliano wa miungu Jamii ya Reptilia, hivyo kupelekea mbenuko wa magegedu ya boksi la sauti,mbenuko huo hutambulika kama Adams apple. Kwa wanaume, mbenuko uonekanao shingoni ndio huitwa apple/tufaa la Adam.
Hata sasa wakati wa balehe, homoni ya testosterone ndiyo hurefusha kamba za sauti/vocal cords zilizopo ndani ya Zoloto/boksi la sauti/Larynx na kumfanya mwanaume awe na sauti ya bezi.

Japokuwa kuna geni (vinasaba) nyingi zinazohusika na Uwezo wa kutamka matamshi, geni za "FOXP2" ambazo hupatikana katika chromosome ya saba, ni maalumu kwa ajili ya kuchakata uwezo wa lugha na matamshi, Geni hizi zipo "active" zaidi kwa mwanamke kuliko Mwanaume.
Na ndio maana mwanamke anauwezo mkubwa wa kuongea kuliko mwanaume, pia mtoto wa kike huwahi kuongea mapema zaidi kuliko mtoto wa kiume baada ya kuzaliwa , mwanake anamisamiati mingi na huongea vzr lafudhi, ikitokea mwanaume anaongea sana utaskia "huyu anaongea kama mwanamke". Hali hiyo ya kuongea Lugha fulani vizuri Huathiri namna mtu anavyofikiri kuhusu uhalisia.

Katika uwanja wa wataalamu wa lugha, Linguistics, DHANA YA SAPIR-WHORF hueleza kwamba, ”The particular language one speaks influences the way one thinks about reality". Ikiwa na maana kwamba, Lugha aizungumzayo mtu Huathiri namna ya kufikri kwa mtu huyo "
Ikiwa lugha "A" inamajina takribani 40 ya hali tofauti tofauti za barafu, inamaanisha mtu azungumzae Lugha " A" atakua na hali kubwa ya ufahamu kuhusu barafu kuliko mtu azungumzae Lugha yenye nomino mbili au moja kwa hali mbalimbali za barafu.

Hivyo ni vyema kwetu sisi kuzungumza lugha Yetu asili ili kuweza Kuvunja Vifungo na manuizi yanayowekwa kwenye fahamu zetu kwa kutumia lugha. Lugha yetu ya kwanza watu weusi iliitwa "Nuwaupiki" ikitambulika kwa majina tofauti kutokana na nyakati,eneo na watu wenyewe.
Kwa sasa pia hutambuliwa kama lugha ya michoro ya pangoni (HIEROGLYPHS/CUNEIFORM). hii ndo lugha wanadamu walijifunza kutoka kwa Annunaki- ambao vitabu vyenu vya dini huwaita miungu. Lugha hii ina sayansi ndani yake hata katika alfabeti zake, na hapo mbele utapata uhusiano wa lugha hii na meneno yanayotumika katika ku-chant, mantra, enns na magick .

ITAENDELEA...
 
Back
Top Bottom