Barieda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 1,808
- 2,470
Hapana mkuu, niko free na vyakula vyote.Una allergy yoyote na maziwa au vyakula vinavyotokana na ngano..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu, niko free na vyakula vyote.Una allergy yoyote na maziwa au vyakula vinavyotokana na ngano..?
Umeangalia swala la aina ya godoro utumialo mkuu. (mean no offense mkuu)Mbavu huwa zinachoka au kuuma wakati wa kulala hata usingz nashindwa kufurahia.
Hapana mkuu, niko free na vyakula vyote.
Umeangalia swala la aina ya godoro utumialo mkuu. (mean no offense mkuu)[/QUOTE
Ndiyo lakin hii sina hakika coz nishalala sehemu tofauti tofauti lakin ni vilevile tu.
Matunda kama ni kikwazo naweza acha kabisa na suala la vyakula vya protein nitalifikiria zaidi.Basi pengine kuna matatizo katika mfumo wako wa umeng'enyaji wa chakula mkuu, au vidonda vya tumbo kama ambavyo umeambiwa hivyo kufanya absorption ya nutrients kutoka katika vyakula unavyokula iwe ineffective to some %.
Otherwise anza kula sana vyakula vya protein na punguza matunda na veggies kwenye diet yako.
Kichwa cha chini ni sahihi kabisa na mpaka unajiogopa, lakin hiyo siyo sababu ya kukufanya ufurahie maisha.Mbona rais Kagame yupo vizuri na ni mwembamba.
Nje ya MADA: Nasikia wanaume wembamba wamejaliwa "kichwa cha chini" kinakuwa kikubwa sana
Sasaaa huoni kama na Mimi nitakuwa na tabia kama za nguruwe.kula vidonge vya kunenepesha nguruwe, au kula chakula chao kinaitwa bigpig hakika ndani ya wiki moja utajisahau
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 mpaka sasa, urefu wangu ni 180cm, uzito wangu ni 60kg mimi ni mwembamba sana ( bones) hali hii naona ni kero kwangu kwa sababu wembamba siyo asili yangu ni hali ambayo imeanza kunipata tangu nilivyofikisha miaka 25 nilivyokuwa chini ya hapo nilikuwa nina kg kati ya 64-66kgs
Naomba ushauri nifanyeje ili niweze kuongezeka unene (uzito) angalau nifikishe 65+kg, ili nifurahie maisha? Chakula najitahidi sana kula na napenda kula, pia nilikuwa napenda kufanya mazoezi ya mbio kila siku jioni nilikimbia kutoka mwenge to Afrikana na kurudi, baada ya kumwona daktari kanizuia kabisa ili nimantain uzito, nina mwaka na nusu nimeacha mazoezi kabisa lakini bado uzito wangu umesimamia 60kg.
Nimekuelewa mkuu.Mkuu mi naona kama unajifutia magonjwa kwa kutaka kuwa mnene,kikubwa jikubali,Mimi Niko kama wewe ulivyo,ila najikubali sana na sitaki unene,ukitaka unene jianda kuugua presha,kisukari nk ikiwa utashindwa kuuhudumia huo unene,ahsante,safari njema ya kuutafuta unene
Boss punyeto huwa sipigi kabisa Nina makoloni yangu pendwa nikizidiwa huwa nayastua nagonga.Je, unapiga sana punyeto? Kama ndivyo tafadhali wacha mara moja na ujiangalizie kwa kipindi cha mwezi hivi.
Koroga cement uchanganye na hamira hapo sawa in a week utajikataaa[emoji125][emoji125]Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 mpaka sasa, urefu wangu ni 180cm, uzito wangu ni 60kg mimi ni mwembamba sana ( bones) hali hii naona ni kero kwangu kwa sababu wembamba siyo asili yangu ni hali ambayo imeanza kunipata tangu nilivyofikisha miaka 25 nilivyokuwa chini ya hapo nilikuwa nina kg kati ya 64-66kgs
Naomba ushauri nifanyeje ili niweze kuongezeka unene (uzito) angalau nifikishe 65+kg, ili nifurahie maisha? Chakula najitahidi sana kula na napenda kula, pia nilikuwa napenda kufanya mazoezi ya mbio kila siku jioni nilikimbia kutoka mwenge to Afrikana na kurudi, baada ya kumwona daktari kanizuia kabisa ili nimantain uzito, nina mwaka na nusu nimeacha mazoezi kabisa lakini bado uzito wangu umesimamia 60kg.
Hongera sana Mkuu.Mi nina 75 kg nimepima jana imeniumiza sana, maana nlikiwa nimejipa goli nisivukishe 75 nina 175cm
Mkuu we hufai kabisa, naomba nyama choma unanipa kaa la moto.Koroga cement uchanganye na hamira hapo sawa in a week utajikataaa[emoji125][emoji125]