Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Mbona yangu ni ndogo zaidi ya hapo na nimeridhika nayo? Ngoja wakulishe yale madude utakoma kutaka dude refu nene
 
Kama unauwezo wa kupata Maziwa fresh kila siku basi kunywa kila siku jioni kikombe kimoja kikubwa. Baada ya miezi mitatu lete mrejesho hapa chamsingi vyakula vingine ule. Kwa urefu wako hutakiwi kuzidi 80kg.
Binafsi nilikuwa na 61kg wakati urefu wangu ni 175cm hapo ilikuwa natakiwa niongeze kilogram 14. Nilikunywa maziwa na kuanza kula hovyo nikajikuta nimeongeza kilo 28 yaani mara 2. Sasa nipo napambana tena kuzipunguza hizo 14. Kupunguza ni kazi kubwa sana.
 
Utaongezeka tu mwili wenyewe ukiamua, hata mimi nilikuwaga kimbaumbau sana, nilikuwa na urefu kama wako then kilo zangu zilikuwa zinachezea btn 61-64, lakini sahivi hadi watu wananishangaa, wiki iliyopita nimepima nna 80.3kg, nadhani na kuridhika kumechangia maana stress zimepungua tofauti na nyuma
 
urefu na uzito inabidi viendane
1536857303436.jpeg
 
Habarini, wajuzi wanipe tricks za kuwa mnene, me ni me yani ni mwembamba hata upepo huwa unipa kashKash mda mwingine. [emoji23]Nipewe ushauri nile vyakula niweze kunenepa kweli nife ni mwili huu haitapendeza nataka nijue ukiwa mnene inakuwaje..
 
Mhhh! Unene taabu tu bora ukae ivo hivo.
Ila nasikiaga vidonge vya nguruwe vinanenepesha watu.
 
Hamia kwa Zionist, miezi kadhaa tu unarudi nyumbani kitufe [emoji125][emoji125]
 
Bila picha siredi yako ni hadithi za kusadikika
 
Back
Top Bottom