Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Mkuu kanuni hivyo unavyotaka kanuni zinakataa..huwezi kutaka unene halafu hutaki kufanya juhudi zozote za kukata tumbo hiyo haiwezekani,maisha hayajawahi kuwa rahisi namna hiyo..hayo unayotaka nayafananisha na mwanamke anaetaka kuolewa ila hataki kutoa unyumba kwa mumuwe sasa sidhani kama yuko serious na ndoa..

Mungu Ibariki Tanzania[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Morogoro
 
Kula chakula mdo mdo, sio unakula kingi kwa wakati mmoja,

Usile masaa mawili au matatu kabla ya kulala,

Lalia upande wa kulia au chali

Kunywa maji mengi

Usile mavyakula ya Artificial sana na vyenye sukari nyingi kma majuisi na mayai ya kisasa

Mwisho ujue sio kila mtu ananenepa, wengine sisi hata iweje bado ni vimbau mbau.
Mkuu kuhusu mayai ya kisasa imekuwa ni dhana tu.

Lakini ukiangalia food value ya yai la kienyeji na hilo la 'kizungu' kiwango cha protein na corestrol kinalingana!

Kama issue ni kukwepa ma protein ya yai, usibague, acha kula kitu chochote kinachoitwa yai.

Lakini kusema sijui hili ni yai la kinyamwezi, sijui la kizungu ni kujiua mwenyewe bila kukusudia.
 
Ni mwembamba mwenywe nyama, ila sasa nataka ziongezeke ongezeke
Ila kwa kweli sikatai. Kwetu sisi wabantu mwanamke mnene ana heshima zake. Na siyo anaheshimiwa na wanaume tu, hata wanawake wenziye wanamheshimu pia.
 
Mkuu kanuni hivyo unavyotaka kanuni zinakataa..huwezi kutaka unene halafu hutaki kufanya juhudi zozote za kukata tumbo hiyo haiwezekani,maisha hayajawahi kuwa rahisi namna hiyo..hayo unayotaka nayafananisha na mwanamke anaetaka kuolewa ila hataki kutoa unyumba kwa mumuwe sasa sidhani kama yuko serious na ndoa..

Mungu Ibariki Tanzania[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Morogoro
hahaaa...mkuuu mbona kuna watu ni wanene ila the whole body lakin hawana vitambi na hawafanyi mazoezi kabisa
 
ntalifatilia pia hili

Back
Top Bottom