Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Samahani, we ni me au ke?? Kama ni ke tafuta kitu kinaitwa, "Ujauzito" huu hupatikana kwa kukutana mume na mkewe. Utaongezeka haraka kuliko ujuavyo.

Kama ni me kula sana chipsy kuku na mayai mengi saana. Usifanye mazoezi wala usijiunge na majike makubwa kwako. Haya leta swali jingine
 
Wengine tunapambania kuongeza uwezo wa akili kumbe wengine mna yenu! Au ndo tuseme Kila mtu anatafuta ambacho Hana..?
 
Samahani, we ni me au ke?? Kama ni ke tafuta kitu kinaitwa, "Ujauzito" huu hupatikana kwa kukutana mume na mkewe. Utaongezeka haraka kuliko ujuavyo.
Kama ni me kula sana chipsy kuku na mayai mengi saana. Usifanye mazoezi wala usijiunge na majike makubwa kwako. Haya leta swali jingine
Sawa acha nijaribu japo Hata mazoezi hua sifanyi
 
Dah! Mkuu mimi naongezeka uzito kila kukicha na hata sili vyakula siku hizi nakunywa kunywa tu vinywaji ndio mlo wangu alafu nina stress za ajabu ambazo nikikupa wewe unakufa sijui naumwa nini 😭😭
 
Sawa acha nijaribu japo Hata mazoezi hua sifanyi
Hujajibu swali we ni me au ke?? Kama ni me achana na mazoezi kabisa kabisaa. Kaa mkao wa hasara hasara tu. Lala kwa kochi na joice mkononi ukikunywa kwa mrija. Kula manyama kuku mengi na mayai juu yake na machipsy
 
Hahahah!!! Mimi ni kijana wa kiume
 
Dah! Mkuu mimi naongezeka uzito kila kukicha na hata sili vyakula siku hizi nakunywa kunywa tu vinywaji ndio mlo wangu alafu nina stress za ajabu ambazo nikikupa wewe unakufa sijui naumwa nini 😭😭
hongera yako mimi natamani sana kua na mwili aisee
 
Ndio hivyo mkuu natamani niwe na mwili kidogo
Angalia na umri wako kilo huenda na umri Kuna average za kilo ktk Kila umri fulani wapo madaktari humu wanaweza kukusaidia au ka Google huko uone sio unalalama tu kumbe ndo zinakufaa hizo Kama vipi kapime magonjwa yanayoandikwa mwa herufi kubwa kama HIV 😜
 
Ukiwa na uzito mdogo sana hilo ni tatizo, tutaweza kujua kama ni tatizo kwa kuangalia uwiano wa uzito wako na urefu ili kufahamu body mass index yako (BMI) ,

Baada ya kujua BMI yako unaweza kujua ni mbinu zipi utumie ili kuongeza uzito kiafya bila kupata matatizo zaidi

Unaweza kuongeza uzito wako kiafya kwa njia hizi
_ Kuongeza intake ya vyakula vyenye protini zaidi kama bile nyama, kuku, mayai ,karanga, ndizi, maziwa

_ fanya mazoezi ya kunyakua vitu vizito

- uzito wako wa sasa ni muhimu ili tuweze kujua ni kiasi gani cha protini utahitaji kufikia uzito fulani ,mafano mtu wa kawaida nahitaji protini kiasi cha 0.8g-1g/kg body weight ambayo unaweza kukipata kwa kuongeza kiwango cha protini katika mlo wako

Hii itakusaidia kufumuka na kugain weight ukiwa na misuli yenye nguvu zaidi.

We wazi urefu na uzito wako nikushauri zaidi tujue wapi pakuanzia
Kama kichwa kinavyo jieleza,

Natafuta msaada jinsi ya kuongeza mwili pamoja na uzito maana kila siku nazidi kukonda pia kupungua uzito ili hali nakula kama kawaida na siumwi chochote.

Msaada tafadhari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa na uzito mdogo sana hilo ni tatizo, tutaweza kujua kama ni tatizo kwa kuangalia uwiano wa uzito wako na urefu ili kufahamu body mass index yako (BMI) ,

Baada ya kujua BMI yako unaweza kujua ni mbinu zipi utumie ili kuongeza uzito kiafya bila kupata matatizo zaidi

Unaweza kuongeza uzito wako kiafya kwa njia hizi
_Kuongeza intake ya vyakula vyenye protini zaidi kama bile nyama, kuku, mayai ,karanga, ndizi, maziwa

_huku ukifanya mazoezi ya kunyakua vitu vizito

Hii itakusaidia kufumuka na kugain weight ukiwa na misuli yenye nguvu zaidi.

We wazi urefu na uzito wako nikushauri zaidi tujue wapi pakuanzia

Sent using Jamii Forums mobile app
Urefu wangu ni fut 5 na nch 8 mkuu uzito ni kilo 52
 
Kaka kunenepa sio Kula au kuwa maisha ya kizembe tu,bila kuwa Psychosocially free hata umalize tray ya Yai kila siku hunenepi Ng'o! We unataka kunenepa ilhali kichwa kimaejaa mimawazo kibao kuhusu Ada,Kodi ,Ajira sijui Kuoa na mwisho hili LiCorona halafu uanadai siumwi na nakula km kawaida ila sinenepi!
Hahahah!!! Mimi ni kijana wa kiume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hongera yako mimi natamani sana kua na mwili aisee
Nina 73 kilos from 64 hii ni too much kwangu nina kamwili kadogo tu ila najifill uzito hadi acrobatics zimeanza kunishinda
 
Back
Top Bottom