Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Mkuu inategemeana na viungo vilivyochanganywa hayo makande. Makande waweza shiba kabisa.hahaaa makande hayashibishi..unaweza ukala sufuria zima ila baada ya nusu saa una njaa tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu inategemeana na viungo vilivyochanganywa hayo makande. Makande waweza shiba kabisa.hahaaa makande hayashibishi..unaweza ukala sufuria zima ila baada ya nusu saa una njaa tena
Weka diet yako kuanzia aubuhi mpaka usiku
Sawa acha nijaribu japo Hata mazoezi hua sifanyiSamahani, we ni me au ke?? Kama ni ke tafuta kitu kinaitwa, "Ujauzito" huu hupatikana kwa kukutana mume na mkewe. Utaongezeka haraka kuliko ujuavyo.
Kama ni me kula sana chipsy kuku na mayai mengi saana. Usifanye mazoezi wala usijiunge na majike makubwa kwako. Haya leta swali jingine
Ndio hivyo mkuu natamani niwe na mwili kidogoWengine tunapambania kuongeza uwezo wa akili kumbe wengine mna yenu! Au ndo tuseme Kila mtu anatafuta ambacho Hana..?
Kila mtu anatafuta asichokuwa nacho.Wengine tunapambania kuongeza uwezo wa akili kumbe wengine mna yenu! Au ndo tuseme Kila mtu anatafuta ambacho Hana..?
Hujajibu swali we ni me au ke?? Kama ni me achana na mazoezi kabisa kabisaa. Kaa mkao wa hasara hasara tu. Lala kwa kochi na joice mkononi ukikunywa kwa mrija. Kula manyama kuku mengi na mayai juu yake na machipsySawa acha nijaribu japo Hata mazoezi hua sifanyi
Hahahah!!! Mimi ni kijana wa kiumeHujajibu swali we ni me au ke?? Kama ni me achana na mazoezi kabisa kabisaa. Kaa mkao wa hasara hasara tu. Lala kwa kochi na joice mkononi ukikunywa kwa mrija. Kula manyama kuku mengi na mayai juu yake na machipsy
hongera yako mimi natamani sana kua na mwili aiseeDah! Mkuu mimi naongezeka uzito kila kukicha na hata sili vyakula siku hizi nakunywa kunywa tu vinywaji ndio mlo wangu alafu nina stress za ajabu ambazo nikikupa wewe unakufa sijui naumwa nini 😭😭
Angalia na umri wako kilo huenda na umri Kuna average za kilo ktk Kila umri fulani wapo madaktari humu wanaweza kukusaidia au ka Google huko uone sio unalalama tu kumbe ndo zinakufaa hizo Kama vipi kapime magonjwa yanayoandikwa mwa herufi kubwa kama HIV 😜Ndio hivyo mkuu natamani niwe na mwili kidogo
Kama kichwa kinavyo jieleza,
Natafuta msaada jinsi ya kuongeza mwili pamoja na uzito maana kila siku nazidi kukonda pia kupungua uzito ili hali nakula kama kawaida na siumwi chochote.
Msaada tafadhari
Urefu wangu ni fut 5 na nch 8 mkuu uzito ni kilo 52Ukiwa na uzito mdogo sana hilo ni tatizo, tutaweza kujua kama ni tatizo kwa kuangalia uwiano wa uzito wako na urefu ili kufahamu body mass index yako (BMI) ,
Baada ya kujua BMI yako unaweza kujua ni mbinu zipi utumie ili kuongeza uzito kiafya bila kupata matatizo zaidi
Unaweza kuongeza uzito wako kiafya kwa njia hizi
_Kuongeza intake ya vyakula vyenye protini zaidi kama bile nyama, kuku, mayai ,karanga, ndizi, maziwa
_huku ukifanya mazoezi ya kunyakua vitu vizito
Hii itakusaidia kufumuka na kugain weight ukiwa na misuli yenye nguvu zaidi.
We wazi urefu na uzito wako nikushauri zaidi tujue wapi pakuanzia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah!!! Mimi ni kijana wa kiume
Nina 73 kilos from 64 hii ni too much kwangu nina kamwili kadogo tu ila najifill uzito hadi acrobatics zimeanza kunishindahongera yako mimi natamani sana kua na mwili aisee