My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,592
- 11,810
[emoji38][emoji38][emoji38]
Kwani hata ule we vipi we mwenzetu hunenepi ??
Kwani hata ule we vipi we mwenzetu hunenepi ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me nnaweza kuwa bonge juma3 na juma4. Alhamis na Ijumaa nikajiona kama nishapungua 😂😂[emoji38][emoji38][emoji38]
Kwani hata ule we vipi we mwenzetu hunenepi?
Huu mwili utakuwa hauna shukrani[emoji38][emoji38][emoji38]
Kwani hata ule we vipi we mwenzetu hunenepi ??
AiseeWadau habari,natafuta dawa ya kuongeza ukubwa wa mwili,yaani kunenepa.Sio dawa per se ila zile virutubisho vya kunenepesha.Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi wengine kunenepa ni kugusa tuu, Kidgo tuu imo [emoji38][emoji38]Me nnaweza kuwa bonge juma3 na juma4. Alhamis na Ijumaa nikajiona kama nishapungua [emoji23][emoji23]
Mwenzako anataka kunenepa we gym unataka ukamkomaze....Sisi wengine kunenepa ni kugusa tuu, Kidgo tuu imo [emoji38][emoji38]
Mtoa Mada jaribu Gym pia kule unatengeneza mwili Safi tuu jap jitihada Must. Risk ni kwamba unaeza kuwa V shaped body usipofanya Correctly
Si anakua na Mwili Mkubwa wakibaunsa baunsa wala hakomai MwiliMwenzako anataka kunenepa we gym unataka ukamkomaze....
Hebu tuelekeze na sisi tukaguse tu iwemo
Mbona na mimi kwetu hakuna watu wembamba wale wakukomaa dizain za kina Ruby ama Mange?Si anakua na Mwili Mkubwa wakibaunsa baunsa wala hakomai Mwili
Labda kama anataka mwili wa kiboss kitamb nini, mashavu hayo hap sijui afanye
.
[emoji38][emoji38][emoji38]Asili tuu hakun la ziada
Nyumbani Hakuna mtu mwembamba wa kutisha tumeshiba shiba[emoji16]
Wewe unene utaupata tuu ngoja uzae [emoji1787][emoji1787]
Wadau habari,natafuta dawa ya kuongeza ukubwa wa mwili,yaani kunenepa.Sio dawa per se ila zile virutubisho vya kunenepesha.Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app
JidanganyeMkuu jikubali,tatizo hujiamini,Mimi ni mwebamba na mrefu watu hunicheka na Sina tatizo lolote kiafya,kikubwa najikubali sana ,hakuna siku nimekaa nikawa au kutamani kuwa mnene
Tambua, kuwa na mwili mnene kuna kuweka kwenye hatari ya 10% ya kufa kuliko mtu mtu mwembamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe toa mambo ya vipato achana nayo. Toa hata kwa rangeNitajie kipato chako kwa mwezi kihasi gani nikupe ratiba ambayo ukiifanya ndani ya miezi mitatu mtaani watakuwa wanakuita "TETEMA" TWIPWATIPWA aka BONGE au BIG.
Sasa nikimpa ratiba ya Menu halafu kipato chake tia maji tia maji hakitamsaidia.Wewe toa mambo ya vipato achana nayo. Toa hata kwa range
Eti waliokauka😂😂 ila duniani kuna mambo, wanene wanatamani kupungua, na wembamba wanatamani kunenepa basi tabu tupuJidanganye
Kwanza inategemea huo wembamba ni wa aina ipi ...kuna mwembamba mwenye nyama na wale waliokauka
Kula kitimoto cha ugali au ndizi na bia nne kila siku jipe wiki mbili then test nguo zakoWadau habari,natafuta dawa ya kuongeza ukubwa wa mwili,yaani kunenepa.Sio dawa per se ila zile virutubisho vya kunenepesha.Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app
We una kisangaSasa nikimpa ratiba ya Menu halafu kipato chake tia maji tia maji hakitamsaidia.