Hapo atapata kitambi hicho ajute kuja JF kuomba ushauriKula kitimoto cha ugali au ndizi na bia nne kila siku jipe wiki mbili then test nguo zako
Mbona na mimi kwetu hakuna watu wembamba wale wakukomaa dizain za kina Ruby ama Mange?
Kwetu nyama zipo. Hayo makalio ndio sisemi lakini mimi sasa sijui ulitumika udongo gani
nakuelewa hata mie natamani kuna muda hata nguo flan za kidada unaona hazikupendezi.Aisee
Ukiipata na mm naiomba
Jamani jamani mbona nalidhika mie?! Kuna kipindi nilinenepa rafiki angu mmoja akaanza kuninanga ila ule mwili sijui ulienda wapi na umegoma kurudiHahahahh We utakua mtoto wa mwisho No way....Nafsi yako hailidhiki ila utanenepa tuu usijari utakua kama wenzio [emoji38][emoji38]
Kama mtoa Mada ana hiy asili afanyaje ??
Ukiwa mwembamba au? Unatamani kunenepa?nakuelewa hata mie natamani kuna muda hata nguo flan za kidada unaona hazikupendezi.
Insha Allah. AminWengine tunatamani kukonda wengine mnataka kunenepa..kila la kheri.
😂😂😂😂Insha Allah. Amin
😂😂😂😂
Ukiwa mwembamba au? Unatamani kunenepa?
Me mwili wangu unachukua nguo nyingi ila dera nimeshashindwa kuvaa
natamani kuongezeka kidogo, unajua kuna mwili wa udada maana sasa hivi wadogo zangu wananizidi na nimewaacha miaka mingi .Ukiwa mwembamba au? Unatamani kunenepa?
Me mwili wangu unachukua nguo nyingi ila dera nimeshashindwa kuvaa
NaonaSisi wengine kunenepa ni kugusa tuu, Kidgo tuu imo [emoji38][emoji38]
Mtoa Mada jaribu Gym pia kule unatengeneza mwili Safi tuu jap jitihada Must. Risk ni kwamba unaeza kuwa V shaped body usipofanya Correctly
Siwezi kuvaa nguo ndefuKwa hiyo ukivaa dera ni kama umevaa kanzu tu!
Kipato changu kwa mwezi ni laki saba oky nipe iyo dietNitajie kipato chako kwa mwezi kihasi gani nikupe ratiba ambayo ukiifanya ndani ya miezi mitatu mtaani watakuwa wanakuita "TETEMA" TWIPWATIPWA aka BONGE au BIG.
Siwezi kuvaa nguo ndefu
Ongeza jitihada za kula...ila masecond born uwa na nyama sana kupita dada zao.natamani kuongezeka kidogo, unajua kuna mwili wa udada maana sasa hivi wadogo zangu wananizidi na nimewaacha miaka mingi .
Huo usumbufu siuwezi.Kuna wenzio wanavaa halafu wanaichomeka kwenye kufuli iwe iwe fupi.
Mie nishakula vyote hvyo kasoro hizo bia tena sio mwezi ila miezi cha ajabu nimepungua zaidi...Kula kitimoto cha ugali au ndizi na bia nne kila siku jipe wiki mbili then test nguo zako
Huo usumbufu siuwezi.
Kwanza navaa dera naenda wapi!! Msibani navaà skin jeans namix na khanga imeisha juu na kimtandio