miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Mkuu, unene sio mzuri bakia hivyo hivyo ulivyo, ingawa watu pembeni wakikuona wanakuona Damu 2 Maji 1 , lkn mwili ulio nao kiafya ni bora zaidi ( Kama wembamba wa kawaida hauumwi) kuliko huo unene unaoutaka.Narudia mkuu acha mawazo ya kutaka unene.Habari zenu, najua unene uliozidi si mzuri lakini mimi ni mwembamba sana hivo naombeni ushauri nipate kujua nini cha kufanya au nile vyakula gani ili niweze kunenepa kwa haraka zaidi.
Kuna supplement za forever living kama ifuatavyo full cream milik,forever kids,aloe bits and peaches,fprever honey and bee pollen kama utahitaji utanipm ili niweke order.Habari zenu, najua unene uliozidi si mzuri lakini mimi ni mwembamba sana hivo naombeni ushauri nipate kujua nini cha kufanya au nile vyakula gani ili niweze kunenepa kwa haraka zaidi.
siumwi kiongozi, mi nimwembamba tangu utotoni, sasa nimekua naitaji mwili uongezeke, we nishauri tu nini nile kaka....
Mi nahitaji kunawiri tu i mean kung'aa kiafya! Nami nifanyeje??
Hakikisha unakunywa Lita moja ya mafuta ya kupikia KORIE, KUTWA *3. NB - LITAMOJA KWA SIKU.
I guess alimaanisha anataka mwili uongezeke na kujaa kidogo. Well Ni kuridhika tu, nuthin serious. Kula midawa ndio mwanzo wa kupata mi cancer hence cutting ur life short. Msosi mzuri plus kuridhika dats it.unataka kunenepa ili iweje ? unajitakia magongwa wewe.