Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Mimi ni kijana wa 24 years umbo langu ni 1GB nataka ni angalau 4GB nisha kula mayai mboga za majani nyama mpka supu ya kitimoto na mtura si nenepi
 
Subiri utanenepa muda ukifika. Wala usiutamani.
Na ukija usije ukalia ukasema unataka kukonda.
Me kabla sijaolewa nilikuwa na kg around 48 to 50. Saivi ninakaribia kg 80. Kupunguza kg 1 tu ishu. Natamani nifike walau 60 kg lkn meshindwa. [emoji26]
 
Ni discipline tu, panga vyakula na tembea kwa lisaa limoja kila siku, itakuchukua muda mrefu lakini utafika.
 
Mmhu. Nataka yotee hayo. Lkn mekuwa mziitoooo. Kama nimerogwa.
Hk kula sasa. Nikiona kula kama sijawahi kuona chakula.
Naona mwisho ntakimbiwa. Mana bwana akiingia, akitoka ananisimbulia tyu.
[emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
Ukimaliza kufunga Ramadhani endelea na discipline ile inangawa unarelax kidogo, nimegundua mfungo ni mwanzo mzuri wa kukontrol kula kula.
 
Kunenepa ni kuridhika na maisha na kipato ulichonacho kwahiyo ukiridhika utaona 4GB zinakuja bila nguvu za mayai
 
Back
Top Bottom