Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

ha ha ha ha hebu tupiamo kapicha tuone kibodi cha 1GB kilivyo mkuu..
niko size hii, ila huyu mnene kidogo, jamani nachekwa na watu mpaka napungua nusu kilo 1 kwa siku
Valeria+Levitin.jpg
 
Usile tena wewe nunua mafuta ya veg ya kupikia kunywa hata lita tano kwa siku...huku ukijipima uzito toka siku unaanza...halafu lwta mrejesho baada ya wiki mbili umefikia wapi...kumbuka ukifata ushauri huu ni uamuzi wako sijakulazimisha...eeeh
 
sasa unanisaidiaje mi strees hazzitaacha coz kila saa nachekwa mi mwembamba,hata mi najichekaga sai ingine
Kaka ngoja nikupe tips:
Kwanza kula vyakula kama wali ndizi mbivu parachichi supu .. Una uwe unakula kila baada ya masaa matatu Usingoja hadi usikie njaa ndio ule.. Wewe kula tu muda wote.. Kula each after three hours.. Usiwe unakula mara tatu kwa siku.. Kula tende sana.. Cc mzizimkavu
 
tobaaa!!! na haka kamwili hakana hata maji unataka niarishe upepo
 
Kaka ngoja nikupe tips:
Kwanza kula vyakula kama wali ndizi mbivu parachichi supu .. Una uwe unakula kila baada ya masaa matatu Usingoja hadi usikie njaa ndio ule.. Wewe kula tu muda wote.. Kula each after three hours.. Usiwe unakula mara tatu kwa siku.. Kula tende sana.. Cc mzizimkavu
Nashukuru sananitazingatia
 
Kula vitamin supplements B complex. ...
 
sasa unanisaidiaje mi strees hazzitaacha coz kila saa nachekwa mi mwembamba,hata mi najichekaga sai ingine
Jikubali vile ulivyo, usijali jinsi watu wanvyokucheka au wanavyokuchukulia.
Ukifanikiwa hapo mwenyewe utaanza kuona mabadiliko.
 
Back
Top Bottom