Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Subiri utanenepa muda ukifika. Wala usiutamani.
Na ukija usije ukalia ukasema unataka kukonda.
Me kabla sijaolewa nilikuwa na kg around 48 to 50. Saivi ninakaribia kg 80. Kupunguza kg 1 tu ishu. Natamani nifike walau 60 kg lkn meshindwa. [emoji26]
wewe unasema ukweli. Hongera
 
kama we ni member wa ile chama ya kina omondi (S.P.U- skinny people united) rudisha kadi ya chama kwanza.
 
maskini mimi hata nikitembea magoti inasuguana ka vyuma chakavu
Kesi yako ni tofauti, nilitaka kukuambia kunywa bia angalau mbili kila siku, pia chapati, vitumbua, mchana ugali mboga na nyama/samaki. jioni bia, ndizi na nyama choma.
 
Ok do this tafuta lishe chukua matama Uwele Ulezi mahindi karanga saga upate unga wake uwe unapika uji wake me mwenyewe nilikuwa mwembamba sana but nilipo anza kazi daah sehemu zote za misosi dar zilnikoma
 
kama we ni member wa ile chama ya kina omondi (S.P.U- skinny people united) rudisha kadi ya chama kwanza.
siwezi rudisha membership inasaidiaga tunapata hata maindi ya kukaanga tu.wakati mwingine tushindie chakula ya kuku
 
Kesi yako ni tofauti, nilitaka kukuambia kunywa bia angalau mbili kila siku, pia chapati, vitumbua, mchana ugali mboga na nyama/samaki. jioni bia, ndizi na nyama choma.
nakweli iyo kesi kwisha. naweza kukukopa elfu 10 nikaitoe photocopy ni imagin niko na pesa mingi
 
nimekonda mpaka naambiwa niko na Experience na kupunguza uzito
Pole na mie nakumbuka 2014 nilikondaa mpaka nikatoka visoap dish kwenye shingo kama model ( best zangu wakawa wananitania nikieka maji yanaeza yasimwagike mpaka jioni hahaha)
Ila imepita kipindi ninenepa baada ya kuridhika kidogo
 
Back
Top Bottom