Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

good!!! ila umenisimanga,umeniponda na ukanishauri asanteeee!
nimekusistizia kwa sababu mimi pia nilikua kama mifupa
nmekonda kama kitu gani..
hayo ndiyo niloyofanya ndugu
saivi ukiniona
mashallah nmenoga, kishape kizuri
hatari sanaaa[emoji125]
 
Subiri utanenepa muda ukifika. Wala usiutamani.
Na ukija usije ukalia ukasema unataka kukonda.
Me kabla sijaolewa nilikuwa na kg around 48 to 50. Saivi ninakaribia kg 80. Kupunguza kg 1 tu ishu. Natamani nifike walau 60 kg lkn meshindwa. [emoji26]
Kwa umri wako huo wa miaka 40 ni sawa tu mbona.
 
umeniona kweli??? alafu pesa khakuna altenative zingine
Unatuzingua ujue..uanataka kunenepa na pesa huna? Tafuta pesa kwanza .. Wewe utakuwa huna haja ya kula.. Ww tafuta pesa tafuta pesaa ukipata pesa utanenep.. Mengine unatupotezea tu muda blazaaa
 
Ungekuwa mdada ningekwambia uwe unakunywa wareno. Zina protein za kutosha....
 
Unatuzingua ujue..uanataka kunenepa na pesa huna? Tafuta pesa kwanza .. Wewe utakuwa huna haja ya kula.. Ww tafuta pesa tafuta pesaa ukipata pesa utanenep.. Mengine unatupotezea tu muda blazaaa
DAh!!! sasa nishasema interview naangaliwa tu hata siulizwi maswali na sipi wata to do
 
Subiri utanenepa muda ukifika. Wala usiutamani.
Na ukija usije ukalia ukasema unataka kukonda.
Me kabla sijaolewa nilikuwa na kg around 48 to 50. Saivi ninakaribia kg 80. Kupunguza kg 1 tu ishu. Natamani nifike walau 60 kg lkn meshindwa. [emoji26]
Kumbe ndoa tamu
 
nimekusistizia kwa sababu mimi pia nilikua kama mifupa
nmekonda kama kitu gani..
hayo ndiyo niloyofanya ndugu
saivi ukiniona
mashallah nmenoga, kishape kizuri
hatari sanaaa[emoji125]
Ni pm kapicha please!
 
Maziwa ongeza intake ya maziwa hata gallon 1 kwa siku kama utaweza. Kikombe kimoja cha maziwa kina 8g of fat, 12g of sugar na 8g of protein pamoja na nutrients zingine zinazopatikana kwenye maziwa. And vice versa is true, kwa mtu anayetaka kupungua inabidi apunguze kunywa maziwa kama ni mtumiaji maziwa sana.

1gallon per day halafu njoo unipe mrejesho ndani ya mwezi.
 
Back
Top Bottom