Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Kwa mwenye kujua wapi nitapata dawa ya kuongeza unene wa mwili naomba tuwasiliane.

Piga gym supplement na mass gainers,
Hautakuwa mnene ila utakuwa na mwili at the right size na mwenye afya nzuri. Unene ni burden kubwa na una risk kubwa ya kupata magonjwa kama non insulin dependent diabetes mellitus, atherosclerosis, heart failure stroke n.k
 
Asubuhi kula vitumbua na mayai ya kizungu plus soda,mchana chipsi yai plus soda n usiku chipsi yai plus soda...fululiza wiki nzima mlo...hiyo menu kwa kutaka utipwatipwa...
 
Asubuhi kula vitumbua na mayai ya kizungu plus soda,mchana chipsi yai plus soda n usiku chipsi yai plus soda...fululiza wiki nzima mlo...hiyo menu kwa kutaka utipwatipwa...

pia hakikisha kila wiki unamaliza crate mbili za bia unanunua unaweka ndani itakusaidia sana. Weekend ukitoka hakikisha unagonga kitimoto rosti kilo 3 pamoja na ugali wa ukwee usisahau castle lager pembeni
 
Daah duniani hapa
Wakati mie najinyima kula nipungue
Wengine wanataka unene

Ridhika na maisha uliyonayo mwili utakuja tu
 
Mtafute Huyu akupe siri ya mafanikio.
RickRoss_Before.jpg

Rick Ross After.jpg
 
Simple... just eat anything that comes your way without a timetable..! I garantee you results within first 2months.

Vigezo na masharti kuzingatiwa
 
kula maparachi....mayai.....ndizi....kila siku....
 
Usisahau kula kilo kitimoto.kilo moja kwa mlo.
Mara 2 kwa wiki.
 
Simple... just eat anything that comes your way without a timetable..! I garantee you results within first 2months.

Vigezo na masharti kuzingatiwa
Dah! Hii nimeipenda sana mkubwa!
 
Shoot steroid ndani ya mwili wako through blood vessels zako utaujenga mwili wako kwa haraka sana.:canada:
 
Hivi wana jamvi ni kweli kwamba premature baby wengi huwa hawa nenepi/ hawana mwili hata wanapo kuwa watu wazima?
 
Nilikuwa nina kilo 86 nimeshapunguza kilo 11 sasa nina kilo 75, sitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa unene maishani mwangu,ni maradhi ya kujitakia.

Niko very healthy kwa sasa ninayafurahia sana maisha yangu.Ushauri wangu ni kuwa achana kabisa na hayo mawazo unene sio mzuri,utapata maradhi ambayo mwishowe hutapona mpaka mwisho wa maisha yako utakuwa mtumwa wa madawa.
 
sema hapa bana na sie wengine tujue maana wengi tunataka kunenepa

Ok mkuu. Kuna suppliments unatumia ni
1. Lite ultra vanilla hii zaidi ni protein ina 21 amino acids zinazihitajika mwilini.wakati wa kuinywa inachanganywa na maziwa au juice fresh ya matunda.
2. Bits'n'pitches ina vitamins na inasaidia kuongeza hamu ya kula
 
Back
Top Bottom