Poor me sijui mtindi unagandishwa vipi ila kwa Mangi unauzwaYeah, tena ata huko uliko kama unaweza tengeneza mwenyewe, maziwa unayotumia usitoe ile cream ata kidogo....
Sent using Jamii Forums mobile app
Me mbona nalala? Tena nikilala sana nakonda sijui kwanini
Try na ya embe piaKwa Sasa natumia smoothie ya maziwa fresh nachanganya na ndizi na parachichi.
Ni tamu japo inakinai haraka
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya maziwa mbona hamsemi kama ni fresh au mtindi?Hata kwenye hizo picha zinaonesha huyo mwembamba yupo sexy and free.
Kuongeza nyama si mbaya, kula milo kamili ongezea na maziwa
Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimepata ya smoothie maziwa na ndizi mixed na parachichi then na kijiko cha asali
Peanut butter kila mlo ukishindwa lamba kabisa
Kula kila wakati ( me hapa sahii nimeshakula Mara mbili)...akili yako ikiwaza chakula tu amka hapo hapo ukale usisubiei njaa iume
Nitaanza na hizo kwanza. Mambo ya kila jioni kitimoto siyawezi kwanza kitimoto yenyewe elfu 12
Ulikuwa akilini mwangu au ni vipi? Yan asubuhi nilikuwa nna kazi ya kupitia comments zote za Uzi ulibebeshwa hapaKwa Sasa natumia smoothie ya maziwa fresh nachanganya na ndizi na parachichi.
Ni tamu japo inakinai haraka
Sent using Jamii Forums mobile app
Poor me sijui mtindi unagandishwa vipi ila kwa Mangi unauzwa
Me mbona nalala? Tena nikilala sana nakonda sijui kwanini
Hata mimi saivi nahisi mekuwa kimbaumbau! Ubaya ukipungua vinapungua vyote
MUNGU wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Poor me sijui mtindi unagandishwa vipi ila kwa Mangi unauzwa
Kumbe nitakuwa nabadilisha.aya love ukiwa una try aina tofauti tauti za smothie inakusaidia kutokuzikinai haraka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwili wangu hauna adabu
Naomba uniache πππππ
NiajeUlikuwa akilini mwangu au ni vipi? Yan asubuhi nilikuwa nna kazi ya kupitia comments zote za Uzi ulibebeshwa hapa
Usinambie habari za sperm. Eti zina protein aargh π€π€Niaje
Bado hujapata dawa ? [emoji38]..I honestly Kuna kitu nimekisikia (ain't sure) kwamba kinanenepash you girls. ila huo mdomo wakusema ndio Sina [emoji2][emoji2][emoji2]
Kumbe nitakuwa nabadilisha.
Hii ya ndizi nilianza nayo kwa Kasi ila ikanikinai
Ngoja niende kwenye embe Sasa[emoji3526]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naomba uniache [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]