Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

KAMA UNAZO PESA AU UNAISHI UNAMTU UNAMTEGEMEA BAS WW UJIWEKE NDAN MWENZI MZIMA YANI UWE UNAKULA NA KULALA KULA NA KULALA PIA KAMA UNAWEZA USIBAGUE CHAKULA ULE VYOTE NA UKISHA KULA USITEMBEE TEMBEE SANA MWEZI TUU UTAANZAKUONA MABADILIKO!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna kaburi nimeliangukia huko kulifukua nakumbana na picha ya Depal. Aisee mbona umenona vizuri unahangaika nini kunenepa zaidi?
 
Naomba kujua sehemu naweza kupata dawa/protein ya kuongeza mwili. Nina kg 51 wakati urefu wangu ni futi 5 na inchi 5

Napatikana arusha
 
Kuja hapa ucalculate hii BMI Waseme

Na wewe mtoa mada unaweza check Instagram huko uwa wapo kibao. Kingine acha stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…