Mnazareth
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 3,474
- 7,404
Hahaha!!kabisa Aisee!!Kuna miili haina adabu kabisa
Nahisi mwili wangu na wako ndio haina adabu na utii Kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha!!kabisa Aisee!!Kuna miili haina adabu kabisa
Kama Arusha...utarudi nayo ulipotoka
Unene huu sasa utakuwa ugonjwaNjoo uchukue.....
View attachment 1428803
Haha wangu una adabu ila hauna utii...naweza nenepa vizuri tu ila nikiumwa hata mafua tu naisha mpaka najishangaaHahaha!!kabisa Aisee!!
Nahisi mwili wangu na wako ndio haina adabu na utii Kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Naelewa ni watu wa aina gani wanayavaaI can imagine, hivi unajua haya mavazi popularity yake ni maeneo na maeneo.
Naamini kuna mikoa ukipeleka huwezi kuuza.
Ndio jamaa anautafuta
Naelewa ni watu wa aina gani wanayavaa
hasa kwenye shughuli au vigoma .
napenda magauni yaliyo loose hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah kumbe wako umekosa tu utii!!Haha wangu una adabu ila hauna utii...naweza nenepa vizuri tu ila nikiumwa hata mafua tu naisha mpaka najishangaa
Sure thingKuna kuzoea tu kuvaa hata kama huendi huko, mfano ukiwa unashinda home, sometimes ni vazi la rahisi kuvaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jidanganye
Kwanza inategemea huo wembamba ni wa aina ipi ...kuna mwembamba mwenye nyama na wale waliokauka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We una kisanga
Sasa mtu hata kama ana kipato fulani and then
Asubuhi mchana yuko ofisn au kwenye inshu zake then home ni jioni tu huoni hata akikwambia haitosaidia?
Vipato vina budget zake sio hela yote utamalizia kwenye msosi. Usiwe kama hukusoma hesabu za makadirio ....we kadiria mfano kwa siku maximum 10k etc
Huo huo ndio mzurinatamani kuongezeka kidogo, unajua kuna mwili wa udada maana sasa hivi wadogo zangu wananizidi na nimewaacha miaka mingi .
Dogo unacheka badala utaje dawa hapa
Unataka mwenzako aendelee kukauka?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]simiss Super Villain siwezi kuwaacha nyuma team visoap dish [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee[emoji134]Siwezi kuvaa nguo ndefu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unataka mwenzako aendelee kukauka?
Dawa ni kuridhikaDogo unacheka badala utaje dawa hapa