Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Mwanaume hutakiwi kunenepa,bali unatakiwa uwe na mwili wenye afya; chukulia mfano umenenepa sana ukawa unavaa suruali ya kitambaa.
 
We una kisanga
Sasa mtu hata kama ana kipato fulani and then
Asubuhi mchana yuko ofisn au kwenye inshu zake then home ni jioni tu huoni hata akikwambia haitosaidia?
Vipato vina budget zake sio hela yote utamalizia kwenye msosi. Usiwe kama hukusoma hesabu za makadirio ....we kadiria mfano kwa siku maximum 10k etc
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom