Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Yaani
Na mbinu nyingine ni kufilisiana tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani
Na mbinu nyingine ni kufilisiana tu
DahWatoto wa siku hizi... Yan kabisa unamcheka dada yako?
acha tu mkuu...mbaya zaidi career yangu inanifanya nikutane na vitoto vidoogo ambavyo vina miili mikubwa kunizidi...basi apo inabidi tu niendane nao kigumu[emoji1][emoji38][emoji38][emoji38]
Daah vitu vingine ujue ni Genetic Make Up ni ngumu Sana kubadiri Mfano Albinism
Life isn't fair, hapo kuna watu wadogo tuu Lkn wana miili kama watu wazima
Fairness haip cha huyu kimeenda kule cha kule kimerudi huku [emoji28][emoji28][emoji28]
nishajikubali...sasa ivi najitaidi tu kuendana na hali halisi ninayokutana nayo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtindi ule wa azamu au mtindi wa man made?
Me nakunywaga sana yoghurt zile za Asas,, kuna kipindi home mmama mmoja alikuwa analeta aliotengeneza mwenyewe nilipata shavu asee ila sasa huku nilipo sina access ya kupata wa man made..labda mtindi ule mtu anagandisha mwenyewe
Hiyo smoothie nitajaribu maana huku ndizi ni nyingi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi ujue tunatiririka hapa na ushauri wakati muhusika aliomba ushauri 2012! Usikute alishanenepeana hadi vidole na viganja amefanana na glove la plastic ukilijaza upepo linavokuwa
Yeah, tena ata huko uliko kama unaweza tengeneza mwenyewe, maziwa unayotumia usitoe ile cream ata kidogo....
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena mule kwa kujitahidi kabisa
Ndio humo humo sasa [emoji23][emoji23][emoji23]Me sio kimbau mbau at least uniweke kwenye kundi la wembamba [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haha Yesu alisema tu ila ilikuwa ni lazima mapenzi yatimizwe.
Sasa we dogo unawazaga manini? Course work ama [emoji3][emoji3]
Hivi ujue tunatiririka hapa na ushauri wakati muhusika aliomba ushauri 2012! Usikute alishanenepeana hadi vidole na viganja amefanana na glove la plastic ukilijaza upepo linavokuwa
Kwa Sasa natumia smoothie ya maziwa fresh nachanganya na ndizi na parachichi.noo tumia maziwa love, tena ni tamu haswa unaweka na asali kidogo na vanilla
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepata ya smoothie maziwa na ndizi mixed na parachichi then na kijiko cha asali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi umwipata ipi Hadi Sasa?
Ujue Mimi Niko siriazi[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweliHivi ujue tunatiririka hapa na ushauri wakati muhusika aliomba ushauri 2012! Usikute alishanenepeana hadi vidole na viganja amefanana na glove la plastic ukilijaza upepo linavokuwa
Nimepata ya smoothie maziwa na ndizi mixed na parachichi then na kijiko cha asali
Peanut butter kila mlo ukishindwa lamba kabisa
Kula kila wakati ( me hapa sahii nimeshakula Mara mbili)...akili yako ikiwaza chakula tu amka hapo hapo ukale usisubiei njaa iume
Nitaanza na hizo kwanza. Mambo ya kila jioni kitimoto siyawezi kwanza kitimoto yenyewe elfu 12