Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

[emoji1][emoji38][emoji38][emoji38]
Daah vitu vingine ujue ni Genetic Make Up ni ngumu Sana kubadiri Mfano Albinism
Life isn't fair, hapo kuna watu wadogo tuu Lkn wana miili kama watu wazima
Fairness haip cha huyu kimeenda kule cha kule kimerudi huku [emoji28][emoji28][emoji28]
acha tu mkuu...mbaya zaidi career yangu inanifanya nikutane na vitoto vidoogo ambavyo vina miili mikubwa kunizidi...basi apo inabidi tu niendane nao kigumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtindi ule wa azamu au mtindi wa man made?
Me nakunywaga sana yoghurt zile za Asas,, kuna kipindi home mmama mmoja alikuwa analeta aliotengeneza mwenyewe nilipata shavu asee ila sasa huku nilipo sina access ya kupata wa man made..labda mtindi ule mtu anagandisha mwenyewe

Hiyo smoothie nitajaribu maana huku ndizi ni nyingi

Yeah, tena ata huko uliko kama unaweza tengeneza mwenyewe, maziwa unayotumia usitoe ile cream ata kidogo....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ujue tunatiririka hapa na ushauri wakati muhusika aliomba ushauri 2012! Usikute alishanenepeana hadi vidole na viganja amefanana na glove la plastic ukilijaza upepo linavokuwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mwingine ameomba ushauri juzi,
Uzi wake uliunganishwa kwenye huu Uzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha Yesu alisema tu ila ilikuwa ni lazima mapenzi yatimizwe.
Sasa we dogo unawazaga manini? Course work ama [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama Hadi Alisema hivyo ujue haikuwa kazi rahisi.

Mimi Ni Nani hasa nisiwaze?shule ndio tunapumzika tu hivyo..hapo hakuna stress[emoji126]

Nawaza maisha,mipango ikienda ndivyo sivyo soap dish zinarudi..yaani naweza kukonda kwa kuwaza kitu kidogo tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi umwipata ipi Hadi Sasa?
Ujue Mimi Niko siriazi[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepata ya smoothie maziwa na ndizi mixed na parachichi then na kijiko cha asali

Peanut butter kila mlo ukishindwa lamba kabisa

Kula kila wakati ( me hapa sahii nimeshakula Mara mbili)...akili yako ikiwaza chakula tu amka hapo hapo ukale usisubiei njaa iume

Nitaanza na hizo kwanza. Mambo ya kila jioni kitimoto siyawezi kwanza kitimoto yenyewe elfu 12
 
Hivi ujue tunatiririka hapa na ushauri wakati muhusika aliomba ushauri 2012! Usikute alishanenepeana hadi vidole na viganja amefanana na glove la plastic ukilijaza upepo linavokuwa
Sio kweli
Sisi tulianza na huu Uzi tokea jana...baadaye Mods wakakorokocha huko comment ya mtu wakaifanya Uzi leo usiku huu Uzi umechanganywa na wa zamani
 
Nimepata ya smoothie maziwa na ndizi mixed na parachichi then na kijiko cha asali

Peanut butter kila mlo ukishindwa lamba kabisa

Kula kila wakati ( me hapa sahii nimeshakula Mara mbili)...akili yako ikiwaza chakula tu amka hapo hapo ukale usisubiei njaa iume

Nitaanza na hizo kwanza. Mambo ya kila jioni kitimoto siyawezi kwanza kitimoto yenyewe elfu 12

bila kusahau kulala muda wa kutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom