Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Sijawahi
Kuna nyingine unanenepa ila sio kihivyo bana
Nyingine zinatoa chunusi
Nyingine unasoftika
Nyingine zinakondesha

Nna experience na ya kunenepesha na kusoftika

Dduuu Noma na Nusu
Kumbe kila hizi Niaje zina perform extra job tofaut, achilia ile common [emoji38][emoji38][emoji38]
Kumbe zimewah kuku-umua Mwili [emoji1787][emoji1787]
 
Tutatumia smoothie na mafukizi ya chakula kwa wingi.
Fukia tu hata viporo..vinasaidia Sana kutengeneza tumbo [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumbo nililonalo linanitosha 😂😂

Sipendi mwanaume mwenye kitambi, sasa nikikazana na viporo afu nikapata kitambi asee kigezo changu hakitaeleweka nikija kutafuta mchumba
 
Tumbo nililonalo linanitosha [emoji23][emoji23]

Sipendi mwanaume mwenye kitambi, sasa nikikazana na viporo afu nikapata kitambi asee kigezo changu hakitaeleweka nikija kutafuta mchumba
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Viporo vinasaidia kuongeza mwili.
Mimi kwa Sasa natafuta kitambi kwa kugonga viporo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom