Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

-kula sana kuzidi kiwango chako,mapochopocho
-upe moyo kile roho inapenda, sio moyo unataka hiko we unaupa hiki
-Relax
-Fanya vitu unavyopenda, halafu maisha usiyachukulie serious sana yatakuumiza usinenepe
-usiwe mtu wa vinyongo
 
Asubuhi kula mayai matatu,glass ya maziwa fresh,chapati mbili na supu nzito ya mbuzi,mchana piga ugali na nusu kilo ya kitimoto shusha na bia mbili,usiku kula wali nYama shusha na bia.Njoo baada ya mwezi ulete mrejesho.
Hapo lazima anenepe
 
Mwembamba anataka unene na mnene anataka wembamba, Ila mzee baba ungeridhika tu na Hali yko coz itafika mahala utaongezeka tu.
 
mkuu unene ni miongoni mwa magonjwa.
fanya haya kupata mwili wa wastani
Kula kiafya ikiwa ni uwiano sawa wa makundi ya vyakula ila wanga na proteni inafaa izidi katika milo yako na fanya mazoezi ya kujenga mwili/fitness (usifanye mazoezi ya aerobic mie napenda ita mazoezi ya kula mwili)

ukiyafanya haya ndani ya wiki mbili matokeo utayaona
 
Hawa Tipwa tipwa tetema wanawaza namna ya kuwa slim-shedy wengine wanawaza namna ya kuwa Tetema! Vice versa
 
Hata kwenye hizo picha zinaonesha huyo mwembamba yupo sexy and free.

Kuongeza nyama si mbaya, kula milo kamili ongezea na maziwa

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
Kinachotesa baadhi ya watu ni 'culture' tu ya waafrica
Baadhi wanaona unene ndio anaonekana ana hali nzuri hata kama inamletea maradhi...ama ndo tako linaonekana nk

Wazungu wembamba ndio kila kitu..'thinner is better for them.,
 
Wakuu
Nahitaji niwe na mwili wenye uzito wa kufikia kilo 60 angalau niweze kuwa na muonekano

kwa sasa niko na kilo 54 na mrefu kiasi, nitumie mbinu gani niweze kuongeza uneno na hatimaye uzito wa mwili maana njia ya kula kitimoto, kunywa maziwa na matunda kila uchwao imefeli najiona palepale
msaada tafadhali
 
Tulio na hizo 60 tunataka tufike 70 halafu Kuna Bata zenye 70 zinataka zirudi 60..😅
Kweli maisha mchanganyikao

Mkuu we tulia hapohapo zinakutosha hizo usiige kunya kwa tembo utachanika naniliu..😂
 
Tulio na hizo 60 tunataka tufike 70 halafu Kuna Bata zenye 70 zinataka zirudi 60..[emoji28]
Kweli maisha mchanganyikao

Mkuu we tulia hapohapo zinakutosha hizo usiige kunya kwa tembo utachanika naniliu..[emoji23]
mkuu mimi nahitaji 60 tu angalau zinipe muonekano

wataalamu wa sekta hii watoe muongozo
 
Wakuu
Nahitaji niwe na mwili wenye uzito wa kufikia kilo 60 angalau niweze kuwa na muonekano

kwa sasa niko na kilo 54 na mrefu kiasi, nitumie mbinu gani niweze kuongeza uneno na hatimaye uzito wa mwili maana njia ya kula kitimoto, kunywa maziwa na matunda kila uchwao imefeli najiona palepale
msaada tafadhali
Hebu tufafanulie kwanza muonekano gani hasa unaoutaka,Kitambi kikubwa,matako yaongezeke,kifua,uso ujajae,mikono au...!
 
Relax,acha kua na hofu,hasira au kuwaza sana,kifupi ridhika na life lako,kuongeza uzito sio issue inayohusiana na nutrition pekee bali ni kurelax pia.
 
we utakuwa na tatizo!
tako liondoe kwenye ufafanuzi wako
Nilijua hutanielewa ila fanya uchunguzi utapata majibu,kuna watu wanapenda kuwa na matako makubwa sio yale extreme ila ya kiwango flani ili wakivaa suruali zikae vizuri,uwe na amani mkuu...
 
Nilijua hutanielewa ila fanya uchunguzi utapata majibu,kuna watu wanapenda kuwa na matako makubwa sio yale extreme ila ya kiwango flani ili wakivaa suruali zikae vizuri,uwe na amani mkuu...
Aiseee huyo si mwanaume!

hapo labda nipate ka kitambi flani ivi vha kuchomekea shati lionekane pia cha kufutia simu
 
Back
Top Bottom