Cavill
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 379
- 1,284
Simple, Weka bili ya Maziwa Mgando, Nunua Trey la Mayai ya kisasa na Moja la Mayai ya kienyeji, Kila siku usiku baada ya Chakula Cha kawaida Hasa mida ya saa nne Chemsha yai mbili za kisasa na Moja la kienyeji kula then shushia na ziwa Mgando.
Pia Kama Ni mpenzi wa Muvi au kujisomea hakikisha unaandaa Muvi nzuri au kitabu kizuri every night ili Kama ulishinda ukiwa na msongo usiku uwe muda wako wa kurelax lengo Ni ku interrupt muda wako wa kulala ili uwe unalala Masaa machache, kwa calories utakazo kuwa umekula na Masaa machache ya kulala lazima utapata Obesity within three weeks or more.. ambao kibongo tunaita unene.. Ila pia ujiandae na Tatizo la Hormonal imbalance, lakini Kama lengo Ni kubongeka then do what you got to do.. I tried this and it worked!!