Fahamu mbinu mbalimbali za kuongeza mauzo ya biashara yako

Dr, namba moja ndio ina maana tu, namba mbili na tatu zinakuja automatic! Hivyo, endelea kututafutia njia zingine hizo mbili! Mpaka sasa umetaja njia moja tu!

Kama namba moja ina maana kuliko hizo nyengine, unamaanisha kuwa ukitaka kufanikiwa katika biashara yako ni ku focus katika kupata wateja wapya tu jambo ambalo sio kweli.

Ukitaka kutengeneza shilingi milioni 10 kwa mwezi kwa kuuza bidhaa za Laki 1 unahitaji wateja 100 wapya kila mwezi.

Kupata wateja hao unahitaji kumiliki mfumo mzuri wa masoko (marketing system) yenye kukuletea wateja 100 kila mwezi.

Lakini kama uta leverage wateja 100 wa mwanzo na kuwafanya wa spend pesa zaidi kwako na wawe wanakuja kwako mara kwa mara basi kipato kinaweza kuongezeka mara 2,3, 5 au hata mara 10.
 
Utakuta hata duka huna, lkn unajifanya kushauri.

Biashara haipo simple kama unavyoelezea broo.
Ww ni sawa na wale inspirational speakers, wanayafnya maisha yanaonekana simple lkn ukiingia mtaani uloambiwa yte uyafanye ndo utafanikiwa yanabuma.
Au maprofesa na madokta wa vyuoni wanafundisha uchumi wakat wao hata duka hawajawah kufungua au kuuza.

Biashara sio rahis kama ulivyoelezea.
 
MMEELEZEA TU ADVANTAGES ZA ONLINE ADVERTS AND SERVICES. SA ELEZEENI NA DISADVANTAGES ZAKE ILI WA2 WAPIME FAIDA NA CHANGAMOTO/HASARA ZA ONLINE DEALS.

OVA
 
Ningependelea unifafanulie jinsi ya kumkatalia mteja wako kumpa mkopo, tatizo ukitoa mkopo na mteja kapotea. Je kuna njia gani za kuepusha hilo
MIMI NAUZA SPARE ZA PIKIPIKI WATEJA WANGU WA KUBWA N BODABODA KWAIYO KIUKWELI NAENDA KWA WATEJA KUONGEA NAO LAKINI UKIFIKA WANAKWAMBIA WANATAKA MKOPO NAFANYE HAPO KAKA..
 

Umetoa jibu as if tumezaliwa tumbo moja na unanifahamu vizuri.

Ungeaza angalau kuni google to get a background story yangu kwanza.

Biashara is simple. Na wanaohangaika ni wenye kutaka ku complicate.

Oh! And yes, I do run my own business. And no mimi sio motivational speaker.
 
MIMI NAUZA SPARE ZA PIKIPIKI WATEJA WANGU WA KUBWA N BODABODA KWAIYO KIUKWELI NAENDA KWA WATEJA KUONGEA NAO LAKINI UKIFIKA WANAKWAMBIA WANATAKA MKOPO NAFANYE HAPO KAKA..

Nani anamuhitaji mwenzake zaidi?

Wewe unamuhitaji huyo mteja au huyo mteja anakuhitaji wewe zaidi.

Kama wewe unamuhitaji mteja zaidi kuliko yeye anavyokuhitaji wewe inamaanisha kuna kasoro katika biashara yako.

Swali la kujiuliza ni je usipotoa huo mkopo watanunua kutoka kwako au wataenda kwa washindani wako?

Kama hawatonunua kutoka kwako basi angalia unakosea wapi na ujaribu kuboresha bidhaa/huduma zako.
 
*OFFICE/KIGOLI INAUZWA WAPENDWA IPO MTAA WA MAFIA NA SKUKUU NI KIGOLI CHA PEMPARS NA VITU VYA WATOTO INAUZWA NA KILA KITU KILICHOMO MWENYEWE KAHAMISHWA KIKAZI HIVYO WANAHAMA NDO AKAAMUA AUZE KWA MAELEZO ZAIDI 0688008799 NO YA MUHUSIKA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…