Fahamu,mwanamke haridhiki wala hatosheki

Tatizo wengi wetu unaenda dukani bila list ya manunuzi;umekutana na mtu from no where mnaanzisha mahusiano na wakati wewe mwenyewe inawezekana hujajiandaa kisaikolojia kukaa na mtu;kama tunapofanya manunuzi tunakuwa na budget hata mahusiano;usiingie kwenye mahusiano kisa umri unaruhusu kuna mengi ya kuzingatia;mf;kiuchumi;muda husika;n.k
 
Mambo mengine hata sitaki kuyawaza...

Upuuzi tuu [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
najua ushalizwa pole sna mkuu ndo ukubwa huo..
 
Kuacha hawawezi wamebaki kulalamika kama wamelazimishwa
Na mwanaume mlalamishi siku zote huwa hajikubali, muda wote anahisi atapigwa mizinga mara atachapiwa yaan tabu tupu.kuwa na mwanaume km huyu bora ukose.
 
mkuu mbona kama povu linakutoka, tiririkaa uelewekee
 
Hahaha
 
Kweli kabisa mkuu,kuna mwanamke alikuwa anajua kutupanga wanaume!Kuna Jamaa tulijuana kwamba tunatembea nae!Tukapanga tumshangaze.Kwa kweli hawana Aibu,alikuwa katulia yeye ndio akawa main speaker!......
 
Bora hata hao ambao baba wa watoto wanafahamika mpaka kuja kuchukua mtoto akifika miaka saba kuna ambao hawamjui hata baba mtoto nani wanataabika mtaani vibaya wanawake tunajielewa wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…