Mhando Godfrey
Member
- Dec 9, 2016
- 69
- 30
Tatizo wengi wetu unaenda dukani bila list ya manunuzi;umekutana na mtu from no where mnaanzisha mahusiano na wakati wewe mwenyewe inawezekana hujajiandaa kisaikolojia kukaa na mtu;kama tunapofanya manunuzi tunakuwa na budget hata mahusiano;usiingie kwenye mahusiano kisa umri unaruhusu kuna mengi ya kuzingatia;mf;kiuchumi;muda husika;n.k