Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Wandugu hiki sio kitu kigeni kwa nchi zetu za kiafrika watu hutafuta utajiri kwa namna yoyote Ile muhimu wafanikishe mambo Yao!
Bila Shaka umewahi kusikia kuhusu kafara ya biashara au jini wa biashara ..ambapo mtu ili ammiliki huyu jini wa biashara ni lazima afanye kafara
Zipo kafara nyingi lakini lengo la kafara zote hizi ni kutafuta namna ya kupata mali isiyo halali au wizi wa kiuchawi
Leo nimzungumzie mteja anavyoweza kujikuta akiwa dukani au ofisini kwa mtu anayetumia uchawi kuuza ''' kwanza kabisa hata wewe huenda hali hii imewahi kukutokea
Umewahi kuingia dukani kwa lengo la kununua bidhaa ya 20000, na ukajikuta ghafla unaanza kununua vitu hovyo hata havipo kwenye mpangilio wako?
Kitendo Cha kuingia TU dukani tayari yule jini anajua mfukoni unakiasi gani na achofanya huyo jini ni kukupumbaza Kuhakikisha kwamba hiyo pesa huondoki nayo kabisa unaweza kusahau hata kilichokupeleka na ukaanza kununua vitu vya ghalama na wakati mwingine Hauna hata kazi navyo utanunua saa utanunua laptop utanunua glass za maua utanunua simu na hivyo vyote havikuwemo kabisa kwenye hiyo bajeti utalipia pesa unaachiwa nauli unatoka unaenda lakini ghafla unaanza kuhisi umetumia pesa nje na malengo baadae unagundua ulivyovinunua huna kazi navyo Kwa kipindi hicho ...kesho yake asubhi unaanza kuviuza Tena kwa bei yoyote!! Ukiona hali hiyo ujue duka ulikokuwa umeingia halikuwa salama kwako jaribu kuomba mungu Kila unapokuwa na malengo Fulani kuyatimiza ni vigumu kwani u chawi upo