Fahamu namna timu ambazo hazitaanzia hatua ya awali mashindano ya klabu bingwa Afrika zinavyopatikana

Simba ni nafasi ya 7. Kama hujui takwimu acha kuandika magazeti uchwara
kwa matokeo ya msimu huu Simba inashika nafasi ya 9 ila kwa matokeo ya msimu wa kufikikirika Simba inashika nafasi ya 7 tambua tu kuwa mashindano ya CAF champions league msimu ujao 2023/2024) inachukua performance ya msimu huu (2022/2023) na wala haitochukia matokeo ya msimu wa kufikikirika.

 
Ni watu wachache sana wataelewa hiki ulichoandika. Binafsi nimekuelewa.
Huu uzi utapima mashabiki vs wapenda timu. Hata ukisoma comments unaona jinsi watu wanaikimbia kuzijibu hoja wamebakia kumu attack mleta uzi kaleta gazeti lakini hakuna aliyeweza hata kusahisha hoja zake.
 
Natoa somo kwa wajinga na wapumbavu wasiojua kitu. Vipi nawewe ni miongoni mwa hao waliopo kwenye kundi la wasiojua rank na namna inavyotokea hadi timu isianzie hatua ya awali? Mipira mnajifunzia kwa wachambuzi badala ya kuufatilia mpira.
🚮
 
Naomba kupewa ufafanuzi kuhusu kilichoandikwa!
 
Sasa kwann uandike mgazeti wote ule,mwenzio kaandika mistari michache tu umeelewa.
Unafikiri sisi hatuna kazi nyingine za kufanya?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Nani aliyekulazimisha kusoma? Huyo tumeelewana kati ya mimi na yeye. Je wewe umemuelewa na kukubaliana na alichokisema?
 
Naona unazidi kujichanganya..sijui unajua unachokisema..eleza kwa maneno machache ueleweke
 
Naomba kupewa ufafanuzi kuhusu kilichoandikwa!
Ni kwamba timu zinarukishwa hatua ni kwavile nchi zingine ambazo ni wanachama pia wa CAF hawapeleki timu zao mashindano ya CAF hivyo hupunguza idadi ya timu kutofika 64. CAF wanalazimika kubalansi ili timu ziwe 32 katika hatua inayofuata.
 
Naona unazidi kujichanganya..sijui unajua unachokisema..eleza kwa maneno machache ueleweke
Najua nachokisema na ndio maana nime attach na uthibitisho mbalimbali naongea vitu ninavyokua na uhakika navyo. Je kabla ya ku comment umesoma alichokiandika niliyemjibu kisha ndipo usome nilichomjibu?
 
naomba kusahihisha!

CAF ina wanachama 56 na sio 54 kama ulivyoandika hapo (kumbuka kuna Zanzibar na visiwa vingine nafikiri ni re-union vinaingizwa kama wanachama ingawa sio nchi),

kwaio kama vyama vyote vitashiriki kutakua na timu 68 (24+44), hivyo kutakua na raundi 3, ile ya timu 8, kisha timu 64 kisha timu 16.....

kuhusu simba angalia walio juu yake kama wote wapo champions league,
 
Nani aliyekulazimisha kusoma? Huyo tumeelewana kati ya mimi na yeye. Je wewe umemuelewa na kukubaliana na alichokisema?
Kuna watu humu jukwaani wana matatizo ya kisaikolojia. Hivyo unatakiwa tu kuwachukulia.
 
kwa kuongezea, kwa timu zinazoshiriki CCL msimu huu wa 23-24 Simba ni ya 7!

juu yake kuna Raja na Berkane ambao hawatashiriki CL kulingana na nafasi walizopo kwenye ligi yao ya ndani, hivyo ni sahihi kusema Simba yupo namba 7 kwa timu zilizopo CL
 
🙏🙏 Mkuu wewe ni mpenzi wa mpira, nashukuru kwa masahihisho hapo kwenye raundi ya timu 8. Ni vigezo vipi vitakavyotumika kuzipata timu za kucheza hiyo raundi ya timu 8?
 
hapa wale walikuaga wanajibu swali tofauti na lililoulizwa na baraza watatoka kappa [emoji23][emoji1787] sana sana watakuzadia matusi ya kutosha.
 
Sudani hawapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…