Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Msaada ninaoutaka nitajiwe kifaa cha kupima uzuriUna uhakika mzee au unataka msaada gani ili kuelewa mada vizuri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msaada ninaoutaka nitajiwe kifaa cha kupima uzuriUna uhakika mzee au unataka msaada gani ili kuelewa mada vizuri?
Punguza skankaWa kwangu yupo namba 10 hapo na hua nakutana nae Ndotoni tubapiga story
Nazungumzia kifaa cha kukujulisha kama huyu level namba 6 au 3Macho yako ndio yanapima,uzuri hauambiwi na mtu mwingine kuwa huu ndio uzuri macho yako yanaamua.
Ndio tunakutana Ndotoni ila hana sura 1Huyo ni jini mzee kuwa makini namba kumi ngumu sana kuwapata.
Okay,nakubaliana kuwa haukubaliani na mimi, nipe hoja zako nakusikiliza.Sikubaliani na wewe mkuu.
Nadhani utakuwa mgeni wa maswala ya mahusiano especially unaonekana kuwa sio mfuatiliaji wala msikilizaji mzuri wa podcast materials za kisasa.Siamini kama kuna mwanasaikolojia, mwanasosholojia, au mtaalam yeyote wa mahusiano anayepima mvuto kwa hichi kigezo, labda unithibitishie.
Hakuna sehemu nimesema mvuto ni muonekano pekee ila kabla haunamjua mtu tabia ni kipi huanza kuvutiwa nacho,au wewe ni kipofu unapenda watu kwa kutumia sauti zao kwanza badala ya muonekano?Mvuto upo kimtazamo, na mvuto sio muonekano pekee.
Inategemea unaongelea akina nani mimi sijaongelea hawa "self proclaimed" psychological influencers,me naongelea experienced life and relationships coaches and academically trained professionalz. Wapo wengi sana. Unamfahamu Teal Swan, Sadia Khan, Dk. Jordan Peterson, Kevin Samuels, Conor Santry, Dr. Umar Johnson kwa kuwataja wachache tu,je unawajua hawa na kufuatilia podcast materials zao?🤔Hichi kigezo nakiona kwa wanamitandao waongo waongo wanaotengeneza maudhui kuwalenga vijana balehe.
Nitenge muda kabisa nakuja online kwaajiri ya kuandika mzaha,mzee upo serious kwenye hili unalosema?Labda kama unatumia muktadha wa mzaha tu.
Most wanaume wanaosettle na wanawake hucheza na group kuanzia namba 2 hadi 4 ndipo kwenye utulivu kama uchumi wako ni wa mashaka.Kwa mujibu huo kwahio wife material ni kwanzia 4 had 6 professor? Kwengne kujipa stress sio
Hii ni sita mzee. Kwa macho ya haraka. Ina tako na upaja wa maana sina uhakika .guu wa chini kama upo vema. Sura ipo kawaida,nywele kaweka feki,na mwili wake ni wakujimaintain yaani anajimaintain kuwa hivyo. Na hapa hatuna uhakika kama edit hazijahusika.Ukute pisi to yeye, ingawa ni single mother ila kimuonekano (kwenye shepu) ni solid 7/10 kama huyu dada hapa chini au sio To yeye Melancholic
View attachment 3250653
Aaah okay,hatutumii kifaa. Kama umenisoma vizuri niligusia baadhi ya sababu kwann unumweka mtu katika namba fulani.Nazungumzia kifaa cha kukujulisha kama huyu level namba 6 au 3
Aaah okay,hatutumii kifaa. Kama umenisoma vizuri niligusia baadhi ya sababu kwann unumweka mtu katika namba fulani.Nazungumzia kifaa cha kukujulisha kama huyu level namba 6 au 3
Mzee unatomba jini.😂😂😂Ndio tunakutana Ndotoni ila hana sura 1
Kwa hiyo Beyoncé ni namba ngapi?Unamuona Beyonce bila make up anakuwa mali au sio mali?
Asonge aende wapi wewe...mwanamke uzuri wake unaisha pale ambapo kidume ulishamkojolea mara tatu tuuTatizo la mwanamke ni umri kadri unavyosonga anaweza kutoka namba 10 akatulia kwenye 2 au 3,,