Fahamu namna wataalamu wa mahusiano wana rate(grade) wanawake kwenye soko la mahusiano.

Fahamu namna wataalamu wa mahusiano wana rate(grade) wanawake kwenye soko la mahusiano.

Ha ha ha ha ha 😂 😂 😂 😂
We acha kuchora wenzako wa hilo kundi. We hapo upo zako namba 6 unawacheka wenzako, hilo tako na mshepu plus rangi ya mtume na nywele hizo unakuwaje namba 1?😂😂😂
Hahaha huwa unapenda kubashiri jinsi nilivyo kwenye Uhalisia ilihali huna uhakika, mimi ndio nakuambia sasa hiyo namba sita umenipendelea mno, mimi ni namba moja mkuu kama unabisha sawa 🤣🤣
 
Back
Top Bottom