Fahamu namna wataalamu wa mahusiano wana rate(grade) wanawake kwenye soko la mahusiano.

Huyo Ni Shabiki Wa Yanga Na Tunajua Wenye Akili Tuliotajiwa Huyu Hayumo.
 
Tatizo la mwanamke ni umri kadri unavyosonga anaweza kutoka namba 10 akatulia kwenye 2 au 3,,
Upo sahihi kabisa. Umri ndio factor pekee ambayo humtoa mwanamke kutoka daraja moja kumshusha la chini.

Kwa mfano nikikuwekea binti mzuri sana hapa wa miaka 23 ambaye ameshalala na mwanaume m'moja tu,wewe ndie utakuwa mwanaume wake wa pili halafu nikakuwekea na bikra wa miaka 44mzuri lakini. Wewe muda huo ukiwa na miaka 45 una pesa zako,utachukua mwanamke yupi kati ya hao wawili?
 
Anaeza kua namba 1 kimwili ila medula yake ni 10/10 and vice versa. Hicho kigezo vp au tuna_consider tu physical appearance.
Sijajua kwa upande wako ila kwa kinachoonekana mara kwa mara ni kuwa wanaume huwanza kuvutiwa na physical appearance ya mwanamke kabla ya kumfahamu vizuri. Ndio maana unaweza vutiwa na mwanamke then baada ya kuongea maneno mawili tu akakukinai asikuvutie tena. Kilichotokea ni ulivutiwa kwanza kabla haujachagua kumpenda.
 
Vaa miwani
Mwanzo uzi nilikuwa sijauwekea aya na ilikuwa ni kwasababu uzi wakati naedit ukajipost wenyewe kabla mimi sijamaliza kuedit ndio maana akaona hiyo akasema unaumiza macho aya zilikuwa zimeungana hakuna nafasi kati ya aya na aya.

Hapo ni kwasababu nime edit ndio maana.
 
Jamaa kaanzisha TBS zake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…

All in all,
Naona umeweka S.I unit ya urembo kwa wanawake.

STANDARD INTERNATIONAL UNIT πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ

Watu huko enzi za medieval time walishindwa ku define BEAUTY maana beauty ipo perceptual bias.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…