Fahamu namna wataalamu wa mahusiano wana rate(grade) wanawake kwenye soko la mahusiano.

Siwaoni wanawake WA JF kwenye huu Uzi kwani tatizo ni nini?
Hawapendi ukweli. Tumewazoesha uongo uongo,kuwasifia na maneno ya uongo kiasi kwamba ukiwaambia ukweli wanaona wanatukanwa au kusimangwa.😂😂😂

Kimya chao ina maana wamesoma na kuona ukweli unasemwa so wameamua kupiga kimya kukwepa ukweli.
 
Huu sio mtazamo wangu bali ni kipimo cha kisasa halali kabisa ambacho kinatumiwa nyakati hizi
 
Hakuna kitu kizuri kama kujitambua Rating yako, sie tulio kwenye 1/10 tumetulia zetu tu hapa hatuna shida na mtu, wanaume wote ni kama kaka zetu na marafiki zetu tu
Ha ha ha ha ha 😂 😂 😂 😂
We acha kuchora wenzako wa hilo kundi. We hapo upo zako namba 6 unawacheka wenzako, hilo tako na mshepu plus rangi ya mtume na nywele hizo unakuwaje namba 1?😂😂😂
 
nimefanya kosa kudhani kwamba mtu mwenye taaluma hawezi kukosea kwenye jambo la taaluma yake

hizi hoja bado sikubaliani nazo

hata kama muonekano unakuja kwanza kama humjui mtu, bado sio kigezo pekee
 
Umemkosea HESHIMA HAMISA MOBETO ni Mwanamke mzuri sema umasikini wa familia na Taifa letu kwa ujumla lakini katoto ka watu kangekulia DUBAI sipati picha pia umepatia kuelezea mpaka namba 6 the rest is poor
 
Obviously wa 23
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…