Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
5. Hakikisha wakati wa kutunzika mzinga wako mlango wa mzinga unakuwa mashariki au magharibi.
Shukrani sana mkuu ila hilo sharti kama la mganga wa kienyeji kulikoni??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
5. Hakikisha wakati wa kutunzika mzinga wako mlango wa mzinga unakuwa mashariki au magharibi.
Nyuki awaliwi bali mazao yao kama Asali ndiyo huliwa.
Haina madhara yoyote zaidi ya harufu inayoweza kuwavitia nyuki, haiwashi hivyo sidhani kama unaweza kutumika kama silaha.
Nadhani sikupata wasaa wa kukujibu swali hili, masoko yapo lakini pamoja na kuwepo lazima tuelezane umweli, soko la bidhaa yoyote lazima upambane nalo haiwezekani ukiwa na Asali hapo baasi wateja watakuja tu, laaa hasha, lazima wajue unapatikanaje na uhakika was mzigo wako wanapohktaji, hasa kwa wasoko makubwa na yale ya njeUmesema nyuki ana mazao sita, mbali na asali mengine ni yapi hayo? Soko lake likoje nalo?
Waonaje ungekuwa na dirisha dogo usambaze hiyo dawa ya kuwavutia nyuki ili tununue kwakoSasa mkuu huko mtandaoni hii unaiagiza kwa jina gani mana hapo naona kichina tupu