Fahamu neno kwa ushihi: Sio Tofari ni TOFALI

Fahamu neno kwa ushihi: Sio Tofari ni TOFALI

Lambilambi-rambirambi
Tofari-Tofali
Ni watu kutokea mkoa wa kigoma
Wala siyo kigoma,mijitu mingi tu haijui kuandika na kutamka kiswahili,utasikia raza,apa,apana,ao,kazalika nk, unajiuliza huko shule wafundishwa nini siku hizi!? Kutwa wako shule,hawajui jiografia hata ya nchi yao,wala historia,shule waingia alfajir watoka jioni
 
Back
Top Bottom