Fahamu neno kwa ushihi: Sio Tofari ni TOFALI

Fahamu neno kwa ushihi: Sio Tofari ni TOFALI

Kama mtu hana uhakika na neno kwamba ni Lau R basi ni boraaa ukatumia neno L tu inakuwa haitishi.

neno mahari ya ndoa hata ukiltamka mahali haitishi kivileee.

Ila neno skuli wewe unasema skuri ? Haha itatisha
 
Hapa kuna mtu anasema "Madalaka" badala ya "Madaraka".
 
Back
Top Bottom