Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kuna maneno yanakwenda pote, kutegemea na lahaja.Yaani ni kama vile binzari na binzali😎
Kama kuloga na kuroga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna maneno yanakwenda pote, kutegemea na lahaja.Yaani ni kama vile binzari na binzali😎
Nimegugu ni Kachumbari na BinzariYaani ni kama vile binzari na binzali😎
R n L ni ugonjwa wa taifa.Jana nineona mtumishi mmoja wa Bunge mwenye kujidai sana kaandika "Porisi".
Au balozi na barozi😎Kuna maneno yanakwenda pote, kutegemea na lahaja.
Kama kuloga na kuroga.
Hahaha inategemea na mkataji tu wa hiyo kachumba.....Mie hii ndio sijawahi kujua usahihi wake:
ni kachumbari au kachumbali
Kuna wanaokata kachumbali na kachumbari 😁Hahaha inategemea na mkataji tu wa hiyo kachumba.....
Kubananga in English pleaseLugha za mama ziro
Kiingereza ndo kabisaa
Kiswahili nacho tunakibananga
Yaani tupo tupo tu!
Unguja mjini tunamka bizari bila nYaani ni kama vile binzari na binzali😎
Unguja mjini tunatamka kachumbar, bila I mwishoni 🤣Mie hii ndio sijawahi kujua usahihi wake:
ni kachumbari au kachumbali