Fahamu nyimbo kali sana za kumdectia mpenzi wako zitakazomfanya alainike hata kama ana hasira vipi

Yaani kunawengine hawasikilizagi maneno ila wanapenda beat
 
If you are happy and you know it ni ya kutaka bonge la slap.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pengine umefika Muda muafaka kuongezwa na jukwaa mahsusi kwaajili ya Watoto.

Nawasilisha.
 
Ila tuacheni utani. Naona na nyie wenyewe mmeshangaa na kucheka, so hta wapenzi wenu watashangaa na kucheka pia. Nimependa ubunifu huu mdogo kuliko kufikiria nyimbo ngumu za kizungu ambazo unaweza kuimba ukakosea neno ukatamka tusi na akazidi kuchukia...!! Halafu ss usiombe ukakuta wewe unakosea maneno, halafu yeye anayajua..!!! Hahahahahaha
 
Hivi na wewe unajiita "The great thinker"?? Ama kweli JF imevamiwa na wavaa milegezo.
 
Hivi na wewe unajiita "The great thinker"?? Ama kweli JF imevamiwa na wavaa milegezo.
Mkuu siku zote great thinker huwa anafikiri tofauti kuliko mtu mwingine ukiona unafikiri jambo ambalo wengi wanafikiri hivyo hivyo jua wazi kuwa wewe sio great thinker
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…