Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha halabda Kama hujawahi kutukanwa
Jo njoo inbox tuongeeHa ha ha
Hajawahi huyu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizi ndo nyimbo kali balaa ukumuimbia mupenzi wako lazima alainike hata kama kachukia vipi , twende sasa tuimbe kwa pamoja
Mabata madogo dogo yanaogelea yanaogelea katika shamba zuri la bostani
Yanapenda kulia kwa kwa kwa kwakwa ,kwa kwa kwa kwa kwa kwa kwa
Yanapenda kutembea bila viatu bilaaaa ,bila viatu bilaaaaa katika shamba zuri la bustani[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji444]
Nyingine hii
Najua kuhesabu namba ,moja mbili tatu , nne tano sita saba nane tisa kumi
Vidole vya mikono yangu jumla yake kumi huku tano na huku tano jumla yake kumi[emoji446] [emoji445] [emoji445] [emoji443] [emoji442]
Ester hallow there I say come here
Look at the motor car ........[emoji446] [emoji446] [emoji445] [emoji443] [emoji445] hapa kama alikuwa anataka kuondoka lazima atarudi tu kwa bashasha tele na utapokea busu la nguvu la shavu
Nyingine ndo hii
If you are happy and now clap ur hands[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
If ur happy and now clap ur hands [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
If ur happy and now I really want u to show ........
Nikianza na mimi hii nyimbo iende kwa mke wangu shunista au shunie nampenda sana
Na wewe je taja nyimbo zako tumfikishie mama/baba chanja wako
If you are happy and you know it ni ya kutaka bonge la slap.
Alisema MUHAS halafu amelalamika kwamba aliambiwa Chuo kuna wanawake wengi tu lakini alivyofika hajawaona.
ha ha ha hahahahahahah mkuu kwakweli hapo lazma acheke hata kama alinuna.hahahahah u are so creative
Hahaaaa. Hello Kid Bro. Missed Ya.Karusii!
Hivi na wewe unajiita "The great thinker"?? Ama kweli JF imevamiwa na wavaa milegezo.Hizi ndo nyimbo kali balaa ukumuimbia mupenzi wako lazima alainike hata kama kachukia vipi , twende sasa tuimbe kwa pamoja
Mabata madogo dogo yanaogelea yanaogelea katika shamba zuri la bostani
Yanapenda kulia kwa kwa kwa kwakwa ,kwa kwa kwa kwa kwa kwa kwa
Yanapenda kutembea bila viatu bilaaaa ,bila viatu bilaaaaa katika shamba zuri la bustani[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji444]
Nyingine hii
Najua kuhesabu namba ,moja mbili tatu , nne tano sita saba nane tisa kumi
Vidole vya mikono yangu jumla yake kumi huku tano na huku tano jumla yake kumi[emoji446] [emoji445] [emoji445] [emoji443] [emoji442]
Ester hallow there I say come here
Look at the motor car ........[emoji446] [emoji446] [emoji445] [emoji443] [emoji445] hapa kama alikuwa anataka kuondoka lazima atarudi tu kwa bashasha tele na utapokea busu la nguvu la shavu
Nyingine ndo hii
If you are happy and now clap ur hands[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
If ur happy and now clap ur hands [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
If ur happy and now I really want u to show ........
Nikianza na mimi hii nyimbo iende kwa mke wangu shunista au shunie nampenda sana
Na wewe je taja nyimbo zako tumfikishie mama/baba chanja wako
Hahaaaa. Hello Kid Bro. Missed Ya.
Hahaha wee muache tu aingie kwenye 18 za watoto wa mjiniHa ha ha
Hajawahi huyu
Wont. Am back.Same here. Don't be a stranger.
Mkuu siku zote great thinker huwa anafikiri tofauti kuliko mtu mwingine ukiona unafikiri jambo ambalo wengi wanafikiri hivyo hivyo jua wazi kuwa wewe sio great thinkerHivi na wewe unajiita "The great thinker"?? Ama kweli JF imevamiwa na wavaa milegezo.
Wont. Am back.