Fahamu sheria wakati unapofikishwa mahakamani na kusomewa shitaka

Jemmie

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2018
Posts
216
Reaction score
285
Karatasi yenye maelezo yanayohusu shitaka inaitwa CHARGE SHEET( CHARGE).

Kifungu namba 228(1) cha sheria ya MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI (in english CRIMINAL PROCEDURE ACT) inasema KIINI CHA SHITAKA KITASOMWA NA MAHAKAMA NA MSHTAKIWA ATAULIZWA ANAKUBALI MASHTAKA AU ANAKATAA UKWELI WA MASHTAKA? Kwa lugha nyepesi mtuhumiwa atasomewa kosa aliloshtakiwa nalo na ataulizwa unakubali kuwa tuhuma hizo ni za kweli au si za kweli?

Mshatakiwa anatakiwa kujibu kuhusu tuhuma hizo kama anazikubali au anazikataa, kujibu huko kunaitwa plea. Plea maana yake ni kujibu au kureply kuhusu tuhuma zilizopo katika charge kama ni za kweli ama si za kweli.

NAMNA YA KUJIBU KUHUSIANA NA MASHTAKA ULIOSOMEWA.

Sheria inasema iwapo mshtakiwa atakubali kuwa shitaka analoshtakiwa nalo ni la kweli, yani amekiri kulifanya, hakimu anatakiwa aandike maelezo yanayohusu kukubali kwake na papo hapo HAKIMU atoe HUKUMU ya kumtia hatiani . kifungu namba 228(2) kimesema ivyo.

HASARA ZA KUKUBALI SHITAKA NI HIZI ZIFUATAZO

1. Unahukumiwa papo hapo
2. Hauruhusiwi kukata rufaa tena

Kwa mujibu wa kifungu namba 360 cha criminal procedure ACT kinasema no appeal on a plea of guilty. Ushauri wangu unaposomewa shitaka mtu yeyote asikudanganye ukubali tuhuma ili usamehewe au usimchoshe hakimu au sababu nyingine yeyote unapokubali unahukumiwa mara moja na huruhusiwi kukata rufaa tena. Ni bora ukakataa shitaka either kwa kujibu kuwa si kweli au kunyamaza kimya kutojibu lolote, maana sheria inasema shitaka linaposomwa na mshtakiwa akakaa kimya , hakimu anatakiwa andike amekataa shitaka na aendelee na kesi . Mfano Juma Saidi unashtakiwa kwa kumuibia Hussein Adamu saa yake , wewe mshtakiwa unatakiwa ukatae shitaka au unyamaze kimya .

Pia kama shtaka hilo uliwahi kushtakiwa nalo na ukatoka kwa msamaha wa raisi unajibu nilishtakiwa nikatoka kwa msamaha wa raisi mfano leo kina babu seya wakamatwe tena kwa kosa lile la ubakaji au ulishtakiwa ukafungwa ukatumikia adhabu yote ikaisha pia unajibu nilishatumika adhabu yangu ikaisha.

Pia kama ulishitakiwa na ukakosekana na hatia kwa kosa hilo hilo ukaja kukamatwa tena pia unatakiwa ujibu nilishitakiwa nikakosekana na hatia
 
Asante msomi kwa MADINI.[emoji18]

Hilo swala la kushtakiwa mara mbili kwa kosa moja, kisheria linaitwa DOUBLE JEOPARDY, Criminal Procedure inasema "hakuna mtu anaetakiwa kushitakiwa mara mbili kwa kosa moja". Na pindi mstakiwa akitumia utetezi huo, na kuweza kuthibitisha mbele ya mahakama, case yake itafutwa papo hapo. (Kwa lugha ya mtaani, tunaita KNOCK OUT - NGUMI YA PUA).[emoji57] [emoji18]

Sababu ya makatazo haya kisheria,

Nia na madhumuni ya katazo la mtu kushitakiwa mara mbili kwa kosa moja alilofanya, sio kwasababu ata adhibiwa mara MBILI kwa hilo kosa moja alilofanya, bali atakua katika HATARI (JEOPARDY) mara mbili kwa kosa moja; mtuhumiwa, iwe ameachiwa au amehukumiwa adhabu fulani, tayari anakua kaishaingia katika HATARI (JEOPARDY) mara ya kwanza alivyoshitakiwa.

Adhabu mbili kutolewa katika kosa moja hua inatokea na inaruhusiwa kisheria, kuna wakati fulani mtuhumiwa anaweza kupewa adhabu ya KUFUNGWA (SENTENCE) na KULIPA FIDIA/FINE ( PAYMENY OF COMPENSATION/FINE) kwa kosa moja alilofanya.

Nawasilisha,
 
Mkuu vp hukumu ya kupanga njama ?
Inategemea na njama gani, mfano;

Kifungu Number 215 (Cha Sheria ya Makosa Ya Jina) kinasema;

"Mtu yoyote anapanga njama na mtu yoyote kwa nia ya KUUA, kumuua mtu yoyote iwe raia wa Tanganyika au popote pale duniani, ana kosa kisheria, na hukumu yake ni kufungwa jela MIAKA 14".
 
Karatasi yenye maelezo yanayohusu shitaka inaitwa CHARGE SHEET( CHARGE).

Kifungu namba 228(1) cha sheria ya MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI (in english CRIMINAL PROCEDURE ACT) inasema KIINI CHA SHITAKA KITASOMWA NA MAHAKAMA NA MSHTAKIWA ATAULIZWA ANAKUBALI MASHTAKA AU ANAKATAA UKWELI WA MASHTAKA? Kwa lugha nyepesi mtuhumiwa atasomewa kosa aliloshtakiwa nalo na ataulizwa unakubali kuwa tuhuma hizo ni za kweli au si za kweli?

Mshatakiwa anatakiwa kujibu kuhusu tuhuma hizo kama anazikubali au anazikataa, kujibu huko kunaitwa plea. Plea maana yake ni kujibu au kureply kuhusu tuhuma zilizopo katika charge kama ni za kweli ama si za kweli.

NAMNA YA KUJIBU KUHUSIANA NA MASHTAKA ULIOSOMEWA.

Sheria inasema iwapo mshtakiwa atakubali kuwa shitaka analoshtakiwa nalo ni la kweli, yani amekiri kulifanya, hakimu anatakiwa aandike maelezo yanayohusu kukubali kwake na papo hapo HAKIMU atoe HUKUMU ya kumtia hatiani . kifungu namba 228(2) kimesema ivyo.

HASARA ZA KUKUBALI SHITAKA NI HIZI ZIFUATAZO

1. Unahukumiwa papo hapo
2. Hauruhusiwi kukata rufaa tena

Kwa mujibu wa kifungu namba 360 cha criminal procedure ACT kinasema no appeal on a plea of guilty. Ushauri wangu unaposomewa shitaka mtu yeyote asikudanganye ukubali tuhuma ili usamehewe au usimchoshe hakimu au sababu nyingine yeyote unapokubali unahukumiwa mara moja na huruhusiwi kukata rufaa tena. Ni bora ukakataa shitaka either kwa kujibu kuwa si kweli au kunyamaza kimya kutojibu lolote, maana sheria inasema shitaka linaposomwa na mshtakiwa akakaa kimya , hakimu anatakiwa andike amekataa shitaka na aendelee na kesi . Mfano Juma Saidi unashtakiwa kwa kumuibia Hussein Adamu saa yake , wewe mshtakiwa unatakiwa ukatae shitaka au unyamaze kimya .

Pia kama shtaka hilo uliwahi kushtakiwa nalo na ukatoka kwa msamaha wa raisi unajibu nilishtakiwa nikatoka kwa msamaha wa raisi mfano leo kina babu seya wakamatwe tena kwa kosa lile la ubakaji au ulishtakiwa ukafungwa ukatumikia adhabu yote ikaisha pia unajibu nilishatumika adhabu yangu ikaisha.

Pia kama ulishitakiwa na ukakosekana na hatia kwa kosa hilo hilo ukaja kukamatwa tena pia unatakiwa ujibu nilishitakiwa nikakosekana na hatia
Shukran mkuu
 
ukikiri kosa sio kwamba hautaruhusiwa kukata rufaa tena, bali utakua limited kwa sababu zako na kwamba utaomba upunguziwe adhabu.kwa mfano mshitakiwa anaweza kuenter a plea of guilty kwa kosa la wizi akafungwa miaka 7 lakini anaweza kuappeal na akapunguziwa adhabu kutegemea na ukubwa au thamani ya mali aliyoiba vilevile mahakama aliyopeleka maombi yake ya rufaa inaweza kuzingatia uzoefu wa mrufani katika kutenda makosa ya jinai
 
Mkuu habari,, KUNA kesi nimekutana nayo, jamaa mmoja amekamatwa na mali za wizi kwake chini ya upekuzi wa police na mjumbe,, sasa cha ajabu katika hati ya mashtaka amejumlisha na jamaa mwingine katika shtaka iloilo kuwa na yeye alikamatwa na mtuhumiwa namba moja,, wakati huyo mshtakiwa namba mbili akuwepo wakati anakamatwa mshtakiwa namba moja,, na wala kwake hapajui, hapa kesi kama iyo inakuaje
 
ukikiri kosa sio kwamba hautaruhusiwa kukata rufaa tena, bali utakua limited kwa sababu zako na kwamba utaomba upunguziwe adhabu.kwa mfano mshitakiwa anaweza kuenter a plea of guilty kwa kosa la wizi akafungwa miaka 7 lakini anaweza kuappeal na akapunguziwa adhabu kutegemea na ukubwa au thamani ya mali aliyoiba vilevile mahakama aliyopeleka maombi yake ya rufaa inaweza kuzingatia uzoefu wa mrufani katika kutenda makosa ya jinai
Mkuu sheria ya upekuzi inasemaje naomba kufahamishwa,, je askari ili apekue nyumba ya mtu au office ya mtu taratibu zipoje,,na je wakamiliza kupekua na kukuta kitu au kutokukuta kitu,,huwa wanatakiwa nn wafanye ili itumike mahakamani kuthibitisha kuwa kwako au kwenye office yako hawajakuta kitu au vitu walivyoandika wamekuta sio kweli
 
Asante msomi kwa MADINI.[emoji18]

Hilo swala la kushtakiwa mara mbili kwa kosa moja, kisheria linaitwa DOUBLE JEOPARDY, Criminal Procedure inasema "hakuna mtu anaetakiwa kushitakiwa mara mbili kwa kosa moja". Na pindi mstakiwa akitumia utetezi huo, na kuweza kuthibitisha mbele ya mahakama, case yake itafutwa papo hapo. (Kwa lugha ya mtaani, tunaita KNOCK OUT - NGUMI YA PUA).[emoji57] [emoji18]

Sababu ya makatazo haya kisheria,

Nia na madhumuni ya katazo la mtu kushitakiwa mara mbili kwa kosa moja alilofanya, sio kwasababu ata adhibiwa mara MBILI kwa hilo kosa moja alilofanya, bali atakua katika HATARI (JEOPARDY) mara mbili kwa kosa moja; mtuhumiwa, iwe ameachiwa au amehukumiwa adhabu fulani, tayari anakua kaishaingia katika HATARI (JEOPARDY) mara ya kwanza alivyoshitakiwa.

Adhabu mbili kutolewa katika kosa moja hua inatokea na inaruhusiwa kisheria, kuna wakati fulani mtuhumiwa anaweza kupewa adhabu ya KUFUNGWA (SENTENCE) na KULIPA FIDIA/FINE ( PAYMENY OF COMPENSATION/FINE) kwa kosa moja alilofanya.

Nawasilisha,
Hivi hii double jeopard ndio hiyo RES JUDICATA?
 
Sheria ni ngumu pia ni nyepesi nilicho jifunza ni kuwa makini wakati wa kutoa maelezo ili usiji changanye,
 
Karatasi yenye maelezo yanayohusu shitaka inaitwa CHARGE SHEET( CHARGE).

Kifungu namba 228(1) cha sheria ya MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI (in english CRIMINAL PROCEDURE ACT) inasema KIINI CHA SHITAKA KITASOMWA NA MAHAKAMA NA MSHTAKIWA ATAULIZWA ANAKUBALI MASHTAKA AU ANAKATAA UKWELI WA MASHTAKA? Kwa lugha nyepesi mtuhumiwa atasomewa kosa aliloshtakiwa nalo na ataulizwa unakubali kuwa tuhuma hizo ni za kweli au si za kweli?

Mshatakiwa anatakiwa kujibu kuhusu tuhuma hizo kama anazikubali au anazikataa, kujibu huko kunaitwa plea. Plea maana yake ni kujibu au kureply kuhusu tuhuma zilizopo katika charge kama ni za kweli ama si za kweli.

NAMNA YA KUJIBU KUHUSIANA NA MASHTAKA ULIOSOMEWA.

Sheria inasema iwapo mshtakiwa atakubali kuwa shitaka analoshtakiwa nalo ni la kweli, yani amekiri kulifanya, hakimu anatakiwa aandike maelezo yanayohusu kukubali kwake na papo hapo HAKIMU atoe HUKUMU ya kumtia hatiani . kifungu namba 228(2) kimesema ivyo.

HASARA ZA KUKUBALI SHITAKA NI HIZI ZIFUATAZO

1. Unahukumiwa papo hapo
2. Hauruhusiwi kukata rufaa tena

Kwa mujibu wa kifungu namba 360 cha criminal procedure ACT kinasema no appeal on a plea of guilty. Ushauri wangu unaposomewa shitaka mtu yeyote asikudanganye ukubali tuhuma ili usamehewe au usimchoshe hakimu au sababu nyingine yeyote unapokubali unahukumiwa mara moja na huruhusiwi kukata rufaa tena. Ni bora ukakataa shitaka either kwa kujibu kuwa si kweli au kunyamaza kimya kutojibu lolote, maana sheria inasema shitaka linaposomwa na mshtakiwa akakaa kimya , hakimu anatakiwa andike amekataa shitaka na aendelee na kesi . Mfano Juma Saidi unashtakiwa kwa kumuibia Hussein Adamu saa yake , wewe mshtakiwa unatakiwa ukatae shitaka au unyamaze kimya .

Pia kama shtaka hilo uliwahi kushtakiwa nalo na ukatoka kwa msamaha wa raisi unajibu nilishtakiwa nikatoka kwa msamaha wa raisi mfano leo kina babu seya wakamatwe tena kwa kosa lile la ubakaji au ulishtakiwa ukafungwa ukatumikia adhabu yote ikaisha pia unajibu nilishatumika adhabu yangu ikaisha.

Pia kama ulishitakiwa na ukakosekana na hatia kwa kosa hilo hilo ukaja kukamatwa tena pia unatakiwa ujibu nilishitakiwa nikakosekana na hatia
Outre fois acquit,convict ,pardon etc
 
Back
Top Bottom