Karatasi yenye maelezo yanayohusu shitaka inaitwa CHARGE SHEET( CHARGE).
Kifungu namba 228(1) cha sheria ya MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI (in english CRIMINAL PROCEDURE ACT) inasema KIINI CHA SHITAKA KITASOMWA NA MAHAKAMA NA MSHTAKIWA ATAULIZWA ANAKUBALI MASHTAKA AU ANAKATAA UKWELI WA MASHTAKA? Kwa lugha nyepesi mtuhumiwa atasomewa kosa aliloshtakiwa nalo na ataulizwa unakubali kuwa tuhuma hizo ni za kweli au si za kweli?
Mshatakiwa anatakiwa kujibu kuhusu tuhuma hizo kama anazikubali au anazikataa, kujibu huko kunaitwa plea. Plea maana yake ni kujibu au kureply kuhusu tuhuma zilizopo katika charge kama ni za kweli ama si za kweli.
NAMNA YA KUJIBU KUHUSIANA NA MASHTAKA ULIOSOMEWA.
Sheria inasema iwapo mshtakiwa atakubali kuwa shitaka analoshtakiwa nalo ni la kweli, yani amekiri kulifanya, hakimu anatakiwa aandike maelezo yanayohusu kukubali kwake na papo hapo HAKIMU atoe HUKUMU ya kumtia hatiani . kifungu namba 228(2) kimesema ivyo.
HASARA ZA KUKUBALI SHITAKA NI HIZI ZIFUATAZO
1. Unahukumiwa papo hapo
2. Hauruhusiwi kukata rufaa tena
Kwa mujibu wa kifungu namba 360 cha criminal procedure ACT kinasema no appeal on a plea of guilty. Ushauri wangu unaposomewa shitaka mtu yeyote asikudanganye ukubali tuhuma ili usamehewe au usimchoshe hakimu au sababu nyingine yeyote unapokubali unahukumiwa mara moja na huruhusiwi kukata rufaa tena. Ni bora ukakataa shitaka either kwa kujibu kuwa si kweli au kunyamaza kimya kutojibu lolote, maana sheria inasema shitaka linaposomwa na mshtakiwa akakaa kimya , hakimu anatakiwa andike amekataa shitaka na aendelee na kesi . Mfano Juma Saidi unashtakiwa kwa kumuibia Hussein Adamu saa yake , wewe mshtakiwa unatakiwa ukatae shitaka au unyamaze kimya .
Pia kama shtaka hilo uliwahi kushtakiwa nalo na ukatoka kwa msamaha wa raisi unajibu nilishtakiwa nikatoka kwa msamaha wa raisi mfano leo kina babu seya wakamatwe tena kwa kosa lile la ubakaji au ulishtakiwa ukafungwa ukatumikia adhabu yote ikaisha pia unajibu nilishatumika adhabu yangu ikaisha.
Pia kama ulishitakiwa na ukakosekana na hatia kwa kosa hilo hilo ukaja kukamatwa tena pia unatakiwa ujibu nilishitakiwa nikakosekana na hatia